majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kutaja majibu ya kukatisha tamaa, ya hovyo au kuchefua ulowahi kuyapata kutoka kwa shangazi zako

    Wadau hamjamboni nyote? Je umewahi pata majibu ya hovyo na kukatisha tamaa kutoka kwa shangazi yako/zako? Ulichukua hatua gani? Karibu utupe uzoefu Tahadhari usitaje jina Wala sehemu anayeishi shangaziyo
  2. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Huyo Naibu Meya wa Kinondoni ninayo hakika hatomsahau huyo Mkurya

    Jibu moja tu na hakutaka kupepesa aisee! Heraaaaa!
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mafinga: Mgomo wa Wafanyabiashara waingia siku ya 4, RC Serukamba asema yeye hana majibu waulizwe waliogoma

    Wakati mgomo wa wafanyabiashara katika soko kuu Mafinga mkoani Iringa ukiinga siku ya nne nne leo, wafanyabiashara wa matunda, nafaka pamoja na samaki wamelalamikia wakisema mgomo huo unawaathiri kibiashara. Mgomo huo umesababisha adha kwa wananchi na wafanyabiashara wasio na maduka, wakisema...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Mfumo wa demokrasia hapa nchini ulianzishwa rasmi mwaka 1992 chini ya Rais Mwinyi akiwa ndiye mwenyekiti wa chama mapinduzi CCM, na ndio kilikuwa chama pekee cha siasa kabla ya hapo kutokana na mfumo wa siasa wa wakati huo. Najua suala la maamuzi ya kuruhusu mfumo wa mabadiliko ya kisiasa...
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Interview za Lissu zinaacha maswali mengi kuliko majibu

    Heshima sana wanajamvi, Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama. Interview zake zina muelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake. Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !. Mfano unaulizwa na...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
  7. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani Mwanamke kufurahia mapenzi baada ya kutolewa bikira?

    Inachukua muda gani mwanamke kuenjoy tendo la ndoa baada ya kubikiriwa? Nilimsikia mwanamke mmoja akisema inachukua miaka 3- 5 Niliistaajabu!! Huyu mwanamke ni wakawaida au?
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuhusiana na mgomo wa Wafanyabiashara

    Waziri Mwigulu Nchemba amedai kuwa VAT haitashushwa haya mambo ya migomo ni transitions tu huko mbele tutaelewana https://youtu.be/jaFFC54DVQk?si=_VNvINncCIzKRlIA
  9. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kutumia Watu Kama Hawa Kujibu Hoja ni Kujifedhehesha na Kutudharau Tunaohitaji Majibu

    Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press? Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Rose Tweve Asema Hajaridhishwa na Majibu ya Serikali

    📌 AHOJI UTEKELEZWAJI WA AAGIZO LA WAZIRI MKUU 📌 ATAKA KUJUA HALI YA KIUTENDAJI KWENYE HALMASHAURI ILIVYO MBUNGE wa Viti maalum Mkoani Iringa Mhe. Rose Tweve ametaka kujua kiundani juu ya utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa aliliolitowa mapema tarehe 22 Mei...
  11. Girland

    JamiiForums Tanzania Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

    Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani...
  12. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nimewaza ni namna gani Mindset yangu imenisababishia umasikini sioni kabisa! Majibu ya umasikini yanaangukia poor Government

    Wakuu mi nakataa kusema umasikini nilio nao umesababishwa na mindset yangu. Naona Tu ni poor government imesababisha Mfano: Nimesoma hadi chuo ajira serikalini hamna, zikitoka chache za kujuana (poor government) Nimefungua biashara, biashara ngumu bado TRA wananikadiria kadirio la juu Tax...
  13. Chinese blade

    JamiiForums Tanzania Wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni?

    Amani ya Mungu muweza wa yote iwe nanyi. Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili suala la kiimani, kuhusu wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni? Naomba mnisaidie kusolve kwa ushahidi wa maandiko.
  14. Abubakari Mussa

    JamiiForums Tanzania Twitter(X) kuna majibu ya ovyoo😅

    X unaweza kupost mambo yako nzuri ukaambuliaa kua comedy 😅😅😅 Vipi mdau wewe umeona jibu gani la utani likajuvunja mbavu? Tupia kwa replies
  15. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa hisabu na sisi wenye D tusaidiane kupata majibu hapa

    Wadau katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na jambo, naliwasilisha kwenu wanajukwaa tujue lipi ni jibu sahihi hapa? *wajasiriyamali msisahau kutembelea posting yangu ya Tanzania Tuitakayo Nimewawekea Madini, Nenda Kasome Uje Kunishukuru hapa
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mnaomuulizia Mzee Mkuchika majibu yenu haya hapa

    Ameonekana katika Tamasha la Yanga bungeni akipiga picha na Aziz Ki
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Noah Lembris asema hajaridhishwa na majibu ya Waziri Gwajima

    MHE. NOAH LEMBRIS, Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Akizungumza Kuhusu Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Bungeni Jijini Dodoma "Niliposoma taarifa ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, katika...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Watu ambao mmeoa Tanga mtupe majibu hapa hii je ni kweli

    Ati otikiii🤣🤣👇👇
  19. S

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya Yanga dhidi ya Mamelodi, majibu yanapaswa kutoka lini?

    Habari Wadau, Naomba kujua rufaa waliyokata Yanga dhidi ya Mamelodi kuhusiana na maamuzi ya Mwamuzi kukataa goli la Azizi K kwenye mechi ya robo fainali mkondo wa pili huko Afrika Kusini kati ya Yanda na Mamelodi, majibu yake yanapaswa kutolewa lini kwa mujibu wa sheria na kanuni za CAF? Japo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu. Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani, swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri...
Back
Top Bottom