majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania WanaCCM hawamuelewi Rais anasema kwenye maono gani, wao ni kupiga makofi tu

    Ilikuwa mnafanya siri na kuudanganya umma leo Mwenyezi Mungu amewaadhiri vibaya sana sana hamna pa kujificha. Tena si kuudanganya umma wa Watanzania bali kuidanganya dunia nzima. Mnacheza na Mwenyezi Mungu atu dua zetu zimekubaliwa. Mmekwiba kura sawa tumepotezea, lakini kumsingizia Mwenyezi...
  2. JamiiForums Tanzania China: Kipimo cha corona kupitia haja kubwa kina ufanisi zaidi

    China imeanza kutumia aina mpya ya kuchukua sampuli za kipimo Cha Corona kupitia sehemu ya haja kubwa. Mamlaka zinasema aina hii ya kipimo ni ya kuaminika zaidi na haraka. Kipimo hiki kinahusisha kuingizwa kwa kifaa maalumu chenye pamba kama sentimita 1 ama 2 katika njia ya haja kubwa kisha...
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi yoyote ile ya halali nifanye wakati huo nikisubiri majibu ya kampuni za ulinzi nilizo omba

    Mkuu kampuni gan umeomba Mbona garda ukiomba unaanza mafunzo hapo hapo haina kusubili subili hovyo hovyo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango tunaomba majibu matumizi ya Dola kwenye upimaji wa Covid-19

    Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani. Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola. Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Maswali na majibu ya wadau wa sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma

    Updates ! Pia nitatumia uzi huu hapa, kuweka matangazo ya ajira kutoka Sekretarieti ya ajira(Utumishi) katika Ofisi ya Rais. 🙏 Pata majibu ya baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na wadau wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kupitia njia mbalimbali za mawasiliano wakitaka...
  6. JamiiForums Tanzania Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

    Wana JF uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
  7. JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…