maji

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosekana Maji Nandagala Siku 3

    Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kero ya upatikanaji wa maji Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza

    Wakazi wa Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu, wakati mwingine hupita wiki moja hadi mbili bila kupata maji, na mara nyingi hulazimika kumpigia simu mwenyekiti wa eneo ili awasiliane na mamlaka husika. Kinachoshangaza ni...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kibaha Maili Moja Kwa Mbonde tumeshasahau huduma ya DAWASA, tukiwauliza wanasema maji hayana presha

    Habari ya uzima, ni mimi mwananchi kutoka Kibaha Maili Moja, Mtaa wa Muheza, mtaa wetu wa kwa Mbonde Msikitini hatupati maji kwa wiki mbili sasa na tukiwapiga DAWASA Kibaha wanadai presha ya maji iko chini. Tumechoka sanasana tunanunua maji ya maboza ya kwenye gari kwa gharama ya Sh 70,000...
  4. JamiiForums Tanzania Sigrada: Sometimes naona bora tungeendelea kutawaliwa na Wazungu, Waafrika wenzetu wanatuchelewesha sana

    Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo amesema "Siwezi kwenda CCM, Haina jipya. Miaka 65 tangu tumecha kutaliwa ajenda ni Barabara, maji umeme. Hawana jipya, kuna muda naona bora tungeendelea kutawaliwa ma Wazungu, hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha." "Mimi mdogo wangu, nitaenda...
  5. JamiiForums Tanzania ACT: Serikali imalize mgao wa maji Dar, Wananchi hawawezi kuendelea kubebeshwa gharama za uzembe na ufisadi

    ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi bila hakika ya huduma hiyo kwa siku kadhaa mfululizo. Katika maeneo tuliyofuatilia maji hutoka mara...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mchanyaniko wa Kitunguu swaumu, kituu maji ,karafuu una faiga gani kwa afya ?

    Nasikiia watu wanatumia sana hii kitu. Je inafaida zozote kwa afya ya binadamu? Naomba ushauri wenu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Mgao wa Maji maeneo ya Shekilango Dar? Kama Ndio, Tuambiwe Ukweli

    Wakazi wa NHC Shekilango, Ubungo, na maeneo mengine mengi tumekuwa tukikumbwa na tatizo kubwa la upatikanaji wa maji tangu mgao wa mwezi Desemba. Kinachoshangaza ni kwamba zamani eneo la NHC Shekilango lilikuwa linapata maji kwa uhakika karibu kila siku. Leo hii maji yanaweza yasionekane kwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya maji huku Nyamongo inapatikana wakija viongozi tu, wakiondoka tunarudi kwenye ukavu

    Nyamongo iko Tarime DC ni miongoni mwa maeneo ambayo Waziri Mkuu alitembelea lakini hatujaona mwenendo wa tatizo la maji maana wakija kusoma matumizi ya maji kwenye Mita wanaleta bili unawauliza vipi tutapata maji wanakujibu hama line? Hakuna maji, yani hakuna maji ya uhakika toka mwaka 2025.
  9. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yapanua Mtandao wa Maji, Liperanya kunufaika

    Moja ya mikakati ya kuhakikisha huduma ya majisafi inaendelea kuwa bora na uhakika kwa wananchi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) inaendelea na utekelezaji wa miradi ya kimkakati mikubwa na midogo katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam na Pwani...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji Kata ya Sombetini, Wilaya ya Arusha Mjini

    Ni wiki sasa inakwenda, wakazi wa kata ya Sombetini hatuna huduma ya maji safi. Hakuna taarifa yoyote toka kwa mamlaka husika ya maji safi na maji taka ya jiji la Arusha (AUWSA) huku wananchi tukitaabika na adha ya kupata maji safi kwa matumizi mbalimbali ya shughuli za kila siku. Tunaomba...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kijiji cha Manga, Mkoa wa Singida tuna miezi miwili bila kupata huduma ya maji

    Wakazi wa Kijiji cha Manga, Mkoa wa Singida, tunaomba msaada wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji, tumefikisha takribani miezi miwili bila kupata huduma ya maji. Hata kabla ya kipindi hiki, maji yalikuwa yakitoka kwa kusuasua, mara moja tu kwa wiki au wakati mwingine...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kijiji cha Nabweko, Ukerewe hatuna umeme wa TANESCO wala maji ya uhakika tangu Uhuru

    Wananchi wa Kijiji cha Nabweko, kilichopo Kisiwa cha Irugwa, Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa za huduma za msingi. Kwanza, tangu Tanzania ipate uhuru, kijiji chetu hakijawahi kufikiwa na huduma ya umeme wa TANESCO. Hadi leo, wananchi wanalazimika...
  13. JamiiForums Tanzania Kuzama sio kwenye maji tu

    KUZAMA SIYO KWENYE MAJI TU Tunaposema mtu amezama, mara nyingi tunafikiria amezama kwenye mto au bahari Lakini katika maisha, kuna kuzama kwa aina nyingi Wengine husema, Nimezama kwenye penzi Lakini pia kuna watu waliozama kwenye maovu na tabia ambazo zinawatesa kila siku Kuna kuzama...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa matamko ya waziri wa ndani ni rasmi Tanzania imekwenda na maji. Tupo kwenye utawala wa kijeshi.

    Haiwezekani mtanzania kupata huduma ya kulala kwenye nyumba ya wageni lazima awe na NIDA tofauti na hapo inahesabika mhalifu. Haiwezekani mikutano ya kisiasa inazuiliwa tena na waziri wa mambo ya ndani bila kutoa sababu za msingi. Tangazeni hali ya hatari ili tujue tunabanana vipi maana maisha...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero Ya Maji kwa Wakazi wa TABATA

    Kwa Takrabani mwaka sasa wakazi wa Tabata Tumekua katika Mgao wa Maji kwa siku Tatu ndani ya wiki Jumanne, Jumatano na Alhamisi. Lakini kwa muda mrefu ratiba zimekua hazifuatwi na mara Nyingi maji yakitolewa kuanzia saa 6 Usiku na kukatika baadha ya masaa machache. hii uladhimu kina mama na...
  16. JamiiForums Tanzania Pastor anusulika kufa maji baada ya kutaka kuigawanya bahari kama alivyofanya Nabii Musa

    Ndugu zangu katika imani kama hauna upako na kibali cha Mungu husithubutu utakufa maji.
  17. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kumwagia maji sehemu iliyojengwa na cement ua zege

    Faida za Kufanya Curing kwenye Ujenzi (Hasa Saruji/Concrete) Curing ni mchakato wa kudumisha unyevu, joto na muda unaofaa ili saruji iweze kuwa na nguvu kamili baada ya kumwaga. Ni hatua muhimu sana katika ujenzi wa zege (concrete). Haya ndiyo faida kuu za kufanya curing vizuri: ### 1...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania, Ujerumani Wasaini Mkataba wa Bilioni 60.7 Kuboresha Huduma za Maji Tunduma na Vwawa-Mlowo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wa Euro milioni 20 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 60.7 kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) kwa ajili ya kufadhili mradi wa Uboreshaji wa Huduma za...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Responded Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji

    Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji. Tangu maji yalipotoka Juni Mosi baada ya kulalamika Makao Makuu, hayajatoka tena. Hili si jambo la kwanza kutokea. Mara nyingi hatupati maji hadi tupige simu na kulalamika, kana kwamba huduma hiyo ni ya bure. Cha...
  20. B

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la uhaba wa maji Dar

    Kuna uhaba mkubwa sana wa Maji maeneo ya Kwa Msuguri, Dar. Ni zaidi ya wiki tatu Sasa maji hayatoki na bili zinaletwa. Watu tunanunua maji Kwa gharama kubwa. Au ni mbinu ya DAWASA ili watu wafanye biashara ya maji? Uhaba wa Maji huku ni zaidi ya Mwanza AWESO.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…