maji

  1. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

    Wakuu… Naombeni mnifahamishe huyu Mkuu wa Kamandi ya Wana Maji, Meja Jenerali Ameir Hassan ni Komando? Nimeona ana bawa katika gwanda lake?
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupunguza gharama ya maji ya kunywa

    Kwakuwa kipato changu hakiniruhusu kununua maji ya kunywa, nimechukua hatua zifuatazo: 1. Kununua water dispenser na chupa zake 2, nikiweka chupa moja ya pili inabaki kuwa spea. Pia nimenunua water boiler ya lita 30, hivyo nachemsha maji, nayachuja na kitambaa kisafi cha nailoni, yakipoa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tanga: Waziri Aweso Akagua Mradi wa Maji wa Bilioni 170 Katika Kata ya Mswaha

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa Sekta ya Maji kuhakikisha wananchi wa kata ya Mswaha, wilaya ya Korogwe mkoani Tanga wananufaika vya kutosha na chanzo cha maji cha Mswaha Darajani kilichopo katika kata yao. Waziri Aweso amesema alipotembelea chanzo cha mradi huo...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Taarifa Muhimu kwa baadhi ya wateja kwenye Mikoa ya Dar es salaam na Pwani

    UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA KINYEREZI NA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME YA MSONGO WA KILOVOTI 132 KINYEREZI-GONGOLAMBOTO Ijumaa 15 Novemba, 2024. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuhusu maboresho ya miundombinu yanayoendelea...
  5. ILAN RAMON

    JamiiForums Tanzania Israel wapo tayari kutatua tatizo la maji Tanzania

    Israel imeonesha nia ya kusaidia Tanzania katika mchakato wa kuondoa chumvi kwenye maji ya Bahari ya Hindi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya maji kwa matumizi ya binadamu, majumbani, na viwandani, hasa katika maeneo ya pwani kama Tanga na Dar es Salaam. Mpango huu unalenga kushughulikia...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mfichue anayeiba maji ujipatie milioni moja

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya-UWSA), CPA Gilbert Kayange, amefanya ziara ya mtaa kwa mtaa katika Jiji la Mbeya kwa lengo la kukagua miundombinu ya maji, kusikiliza kero za wananchi, na kutatua changamoto mbalimbali za kihuduma kwa wateja wa...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kijiji cha Oltepes Longido kina maji, hakuna anayetumia mkojo wa ng'ombe kujisafisha akiwa hedhini

    "TULIKUA TUNAZUNGUMZIA CHANGAMOTO TULIZOPITIA MIAKA YA NYUMA" Kutokana na taarifa iliyotolewa inayodai kwamba wanawake wa kijiji cha Oltepes Longido hutumia mikojo ya ng'ombe kujisafisha wakiwa hedhini, Mhe. Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameagiza watendaji wa sekta ya Maji mkoani Arusha...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Maji yenye mafuta yanavyoathiri afya za wanachi nchini Sudan Kusini

    Huko hali ni mbaya kwa baadhi ya majimbo mfano Unity ambapo maji ya kunywa yamechanganyikana na mafuta kutokana na mafuriko. Mafuta yanachimbwa sehemu mbalimbali mfano Uarabuni . Je, na huko hawajali afya za wananchi au wawekezaji na watawala wanatuona wananchi kama manyani? Kuna kesi za...
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji: Watumia mkojo wa ng'ombe kujisafisha wakiwa hedhini

    Changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Oltepes kilichopo Kata ya Orbomba, wilayani Longido huwalazimu wasichana na wanawake wa eneo hilo kutumia siagi ya ng’ombe ili kudhibiti damu ya hedhi na mkojo wa ng’ombe kujisafisha. Wanawake hao hulazimika kutumia siagi hiyo (mafuta ya...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini

    Huduma ya maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Maji Mwaa Mwaa Mwaaaaaa Huu ni mwendelezo wa kazi ya uchimbaji wa visima 900, Hii ni Leo Jumapili Nov 10, 2024 na huu ni mtambo wa kuchimba kisima kirefu kwenye Kata ya Mabogini...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate. Hii ni mada ya swali jee wajua kuwa kwenye usafi binafsi wa mwili, kuna uwezekano Waislamu ni wasafi...
  12. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mabogini Moshi wapaza sauti tatizo la Maji safi na salama

    Wananchi wa Kata ya Mabogini wilaya ya Moshi Vijijini wamepaza sauti na kuitaka Mamlaka ya maji safi na uondoshaji majitaka Moshi mjini (MUWSA),kulitafutia ufumbuzi wa haraka tatizo hilo. Wananchi hawa wanapaza sauti kupitia group la WthsApp la Maendeleo Mabogini . Hapa chini ni moja ya...
  13. T

    JamiiForums Tanzania KERO Vilio shida maji: Wananchi Dar wadai kuona kwenye Tv Rais kumtua mama ndoo ila hawajui inatuliwa wapi

    Leo kwenye kipindi cha asubuhi cha Wasafi fm wameruhusu kupokea simu za malalamiko ya ukosefu wa maji, kwa hakika ni huzuni na masikitiko makubwa inaonekana eneo kubwa sana la jiji la Dar halina maji kulingana na uwingi wa simu zilizopigwa. Wapo walioenda mbali zaidi na kusema wamekuwa wakiona...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa Msakuzi, ili kupata hatma ya huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekutana na wananchi wa eneo la Msakuzi kwa Lubaba, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kufahamu mipango na maendeleo ya miradi ya uboreshaji huduma ya maji katika eneo hilo. Akizungumza katika mkutano wa ulioitishwa na wananchi hao...
  15. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji na Umeme Kahama

    Mimi ni mkazi wa Kahama Mjini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu sekta mbili: Kahama Urban Water Supply (KUWASA) na Tanesco Kahama. Huduma ya umeme imekuwa kero, kwani umekuwa ukikatika mara kwa mara bila taarifa maalum, hadi mara 5-9 kwa siku. Hali kadhalika, huduma ya maji pia...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya vitunguu maji

    Naombeni kujuzwa kuhusu biashara ya vitunguu maji, namna ya kuvitoa mashambani na kuleta sokoni. Bei yakununulia range yake pamoja na ya kuuzia, pia connectos za mashamban na wanakouzia sokoni.
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanasambaza maji kutoka Tanzania mpaka Gaza.

    Wanaukumbi. Watanzania waingia Gaza na misaada wakigawa chakula pamoja na maji ya kunywa kwa raia wa Palestina.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dodoma: Wakazi wa mtaa wa Mapinduzi, Makulu Oysterbay hatuna maji takriban miezi miwili

    Habari JamiiForums, mimi ni mkazi wa Dodoma, Makulu Oysterbay mtaa unaitwa Mapinduzi. Ni miezi miwili sasa maji hajawahi kutoka hata tone maji na hamna taarifa yoyote wala tahadhari na ni hali ambayo imekuwa inatokea mara kwa mara bila maelezo yoyote. Tumeshafika kwenye ofisi za wahusika na...
Back
Top Bottom