maji

  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DAWASA yawafunda wenyeviti wa mitaa usimamizi huduma za Maji

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Saad Mtambule amezitaka taasisi zinazofanya kazi ndani ya wilaya hiyo kuiga mfano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ya kuwashirikia viongozi wa Serikali za mitaa kwenye utekelwzaji wa majukumu yao. Amesema hatua hiyo itawasadia...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Iipofika topic ya Kinjekitile tulimcheka sana na kumuona mshamba lakini hatukujua hata sisi tulikuwa tushapakwa dawa na kuambia risasi zitageuka maji

    Manipulation: Ni jinsi gani unaweza kumshawishi mwanadamu mwenzako?, its simple, mfanye akuamini zaidi ya nafsi yake, mfanye aamini ya kufikirika yana special connection na wewe. Confusion: Tulimshangaa sana ngwale lakini kuna upande mwingine ulituambia alifanya ushujaa ili ashawishi vijana...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote. Mungu akimpa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Janabi hujaliona hili? chuo chetu kikuu hakiruhusu wanachuo kuingia na maji ya kunywa maktaba

    Kuna taratibu zingine ukizikuta unaanza kujiuliza hawa waliwaza nini? Kwa aina ya viongozi waliopo pale chuoni kwetu sina shaka wote wanajua umuhimu wa kunywa maji kila wakati ili Ubongo ufanye kazi vizuri. Sasa inakuaje mwanafunzi anaingia maktaba anakatazwa kubeba maji ya kunywa na kule...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mita za maji ni janga jipya Dar na Pwani. Nani analipa fidia?

    Tufahamishwe hizi mita zinazoibwa hutumika kwa ajili nini tena? Kama mamlaka husika hawawezi kuzilinda kwa matumizi mengine kwa nini zifungwe nje? Mamlaka za maji wanawajibu wa kutafakari na kuzima kabisa matukio ya wizi wa mita za maji. Wananchi hawawezi kuwa walinzi wa mali zenu. Wenzenu...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu waziri maji: Ukituma mbunge anayekubalika kwa mawaziri miradi ya maendeleo itajazana jimboni kwako

    Naibu waziri wa maji Andrea Methew amesema baada ya Njalu Silanga kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa wabunge wa CCM mkoa wa Simiyu ambapo utendaji wake ulipelekea Rais Samia kuridhia kutoa bilioni 440 kwa ajili ya mradi wa maji kutoka ziwa Victoria huku akisema ndani ya jimbo hilo upatikanaji wa...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini wito wa kuichangia CHADEMA pesa ya maji na kuendeshea chama hicho uliotolewa na kiongozi wake mpya unasuasua kama vile umepuuzwa?

    Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli? Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai? Au wanahisi watadanganywa tena kama...
  8. B

    JamiiForums Tanzania MBUNGE SAMIZI ASIMAMA TENA BUNGENI KUPAMBANA KUHUSU MAJI JIMBONI MUHAMBWE

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuuliza Serikali kupeleka maji kwenye taasisi za shule na vituo vya afya na uanzishaji wa miradi ya maji. Fungua video hii kuona kila kitu alichouliza Mhe. Mbunge Samizi na majibu ya...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Maajabu picha bahari ya Galilaya kutokea angani inavyopendeza na kufanana na ramani ya bara la Afrika, Yesu Kristo alitembea juu ya maji yake

    Wadau hamjamboni nyote? Bahari nzuri ya kupendeza ya galilaya imefanana na bara la Afrika Maji yake Yana baraka kubwa sana Mungu ibariki Israel
  10. E

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Huduma ya kusafisha kisima cha maji

    Habari JF members. Ikiwa unamiliki kisima cha borehole na kina dalili zifuatavyo basi tambua kuwa wakati wa kukisafisha umefika; 1. Kisima kilichopunguza uwezo wa kutoka maji. 2. Maji yamebadilika rangi,. 3. Maji yanatoka na matope au michanga Kwa wingi. 4. Maji yamebadilika Radha. 5 . Maji...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu yasafisha Mto Ngerengere kuondoa matope na uchafu

    Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu, wameanza zoezi la kufukua Mto Ngerengere katika eneo la Mazimbu Manispaa ya Morogoro. Akizungunza wakati wa zoezi hilo Afisa wa Maji Bonde la Wami Ruvu Kidakio cha Ngerengere, Mhandisi Nangu Makula amesema zoezi hilo litaenda umbali wa mita 900 kutoka Mazimbu...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Madiwani Chalinze wailalamikia DAWASA kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi

    Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Chalinze wilayani Bagamoyo Pwani wamelalamikia kitendo cha Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira DAWASA Chalinze kwa kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi kwa kipindi kirefu Wamesema kukosekana kwa huduma hiyo kwa muda mrefu imewalazimu wananchi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Singida: Serikali yakiri Kijiji cha Dominiki kina changamoto ya maji, yaelezea mipango

    Siku chache baada ya Wananchi wa Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kulalamikia kuchota dumu sita hadi 12 ili wapatiwe huduma ya afya katika Zahanati ya Dominiki ikiwemo kwa Wanawake wanaotaka kujifungua kutokana na changamoto ya maji, Mamlaka husika imekiri uwepo wa changamoto...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Saranga Ubungo (Dar es Salaam) walia uhaba wa Maji, wadai ndoa zao ziko hatarini sababu muda mwingi wanautumia kutafuta maji

    Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, Wilaya ya Ubungo, wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange, wananchi hao wamelalamika kutokuwepo kwa huduma hiyo na kutegemea maji ya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania China ni kama maji usipoyaoga utayanywa - India yasitisha ununuzi wa drone

    India ina mgogoro wa mpaka na China. Sasa ilikuwa imeeweka oda ya drone 400 kwenye makampuni yake ya ndani kwa ajili ya usafirishaji wa vifaa kwa majeshi yaliyo mpakani. Sasa imekuja kugundua hizo drone zina vifaa kutoka China. Inadaiwa uchunguzi wao ulianza hapo awali baada ya drone zao za...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto mwenye umri wa miaka sita akutwa amefariki kwenye korongo la maji, wazazi tukumbuke usalama wa watoto kipindi hiki cha mvua

    Wakuu kipindi hiki cha mvua nyingi kwa baadhi ya mikoa ni hatari kwa usalama wa watoto wadogo, wazazi tuwe makini na watoto wetu hasa maeneo wanayocheza na kuwadhibiti kutoka nyumbani pindi mvua zinaponyesha ili tuwaepushe na hatari hizi. ===== Mtoto Aliyefahamika Kwa Jina La Vicent Konga...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania RUWASA Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,umeanza kutekeleza program ya uchimbaji visima 900/5 kwa kila Jimbo

    WAKALA wa maji na usafi wa mazingira vijijini(RUWASA) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,umeanza kutekeleza program ya uchimbaji visima 900/5 kwa kila Jimbo ambapo Wilaya hiyo yenye majimbo mawili ya Uchaguzi Tunduru Kusini na Kaskazini imepata mradi wa visima 10 vitakavyogharimu zaidi ya...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mashine za kuuza maji kwa coin zinauzwa

    Zipo mashine tatu za kuchakata maji kuwa safi. Kila mashine ina uwezo wa kuzalisha lita 250 kwa saa na inatumia mfumo wa coin katika uendeshaji. Mashine zote zipo katika hali nzuri (used) na zinapatikana Dar es Salaam. Bei ni TZS 6,000,000 kwa kila moja. Kwa wateja wa mikoani, tunatuma...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Naulizia tu..Pugu Boys...aka pond boys yalee maji ya fungus bado yapo??maana wengine yalututesa sana na kupunguza HATA uzao...

    Wale mliopotia pugu sec myanielewa Wengine waliitea pond boys Wengine fungus boys Yaani baadaeee BAADA ya mateso ya kujikuna SEHEMU za Siri kunywaa madawaaa kibaokoo Badoo wengine Hawakufanikiwa kupata uzaooo Na HATA walee waliopanga watoto wengi wakaishia MMOJA ama wwawililii maana Ile...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho… tuna wiki mbili tunapata maji machafu ya bomba

    Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu. Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba. Kwa...
Back
Top Bottom