maji

  1. P

    KERO Maji yanayotoka Tabora yana harufu kali sana za madawa. Wanazidisha sana madawa. (TUWASA) mtaleta madhara kwa watu

    Kuna baadhi ya maeneo mkoani tabora maji yanayotoka kwenye mfumo wa mabomba chini ya TUWASA yana harufu kali sana ya madawa. Hali hii ni tokea mwaka jana mwishoni hadi sasa. Harufu hiyo kero sana hasa pale unapoamua kuchemsha maji hayo ufanye yawe maji ya kunywa. Unakunywa maji yakiwa na harufu...
  2. PreGE2025 Wizara ya maji yazindua na kukabidhi kisima cha maji Buigiri

    WIZARA ya Maji imezindua na kukabidhi kisima cha Maji chenye uwezo wa kuzalisha lita 12000 kwa siku ambacho kitahudumia watu 120 wanaoishi katika eneo la Shule ya Msingi ya Buigiri wasioona wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, mara baada ya...
  3. 📍 Je ngiri maji ni nini (Hydrocel)

    🩺 Elimu ya Afya Leo: Hydrocele (Ngiri ya Maji) 📍 Imeandaliwa na: Hillary Francis Ndeng’aso Radiology Technologist (Mtaalamu wa Mionzi) | Health Educator (Muelimishaji wa Afya) | Genesis Project. 📲 IG: @hillary_officialtz 🔍 Hydrocele ni nini? Hydrocele ni hali ambapo maji hukusanyika kwenye...
  4. Nguvu ya ajabu ya maji yaliochanganywa na ndimu ya Unga kidogo

    Ukitaka mtu aropoke yote aliyofanya kwa siku hiyo wakati yuko usingizini basi akisha lala, chukua glass yoyote,itie maji ujazo kiasi kwamba kidole cha shahada kikiingizwa kitaenea ndani yamaji. Weka ndimu ya Unga nusu kijiko. Kisha akiwa amelala usingizi mzito chukua kidole chake kisha weka...
  5. Jirani yangu ameninyima maji ya kujengea

    Katika hali ambayo sikutaraji kbsaa ni hiki kitendo cha kunyimwa maji ya kujengea Nimemaliza karibia material karibia zote za kujengea nyumbani kwake na bila wasi wasi, sas ilipowadia kipindi cha kuseti msingi jmaaa akanijeuka mazima wakati nimemuambia nitalipia bill yote itakayo jitokezaa kwa...
  6. Waziri wa maji, Maji ya kawe, Mbezi beach yanakuja na udongo, watu wana fungus wanaharisha pharmacy zimetuchoka msaada

    MHESHIMIWA WAZIRI WA MAJI, HABARINI ZA UZIMA. Pole sana na kazi zenu nyingi za kuhudumia wananchi. Napenda kukuletea kilio cha wakazi wa maeneo ya Kawe, Mbezi Beach na Makazi Mapya, ambao kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikabiliwa na tatizo kubwa la maji ya bomba yanayokuja na udongo mzito...
  7. Eng Chiwelesa tunaweka vituo vya kuchotea maji Biharamulo, maji ni maendeleo

    Chini ya uwakilishi wa mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa mamlaka ya maji biharamulo imefanikiwa kuanzisha vituo vya utekaji maji katika vijiji vitano . Zoezi hili litafanyika huku wilaya ya biharamulo ikiwa inasubiri mradi mkubwa wa maji wa ziwa victoria Wananchi ambao ndio...
  8. Kumekucha: Wanaume wengi wa Dar hawana Nguvu za Kiume kwa kupenda kula Chips zenye Mafuta mengi hivyo waanze kula Chips zinazokaangwa na Maji

    Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
  9. Zaidi ya Tsh. Milioni 15.6 za madeni ya maji zimelipwa na wadaiwa zaidi ya 280 Manispaa ya Songea - Ruvuma

    Zaidi ya Shilingi Milioni 15 za madeni ya maji zimelipwa na wadaiwa zaidi ya 280 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, hiyo ni kutokana na ofa ya Rais Samia Suluhu kwa wateja wote ambao wanaodaiwa na kumesitishiwa huduma ya maji na Mamlaka za Maji nchini. Ofa hiyo imelenga kuhakikisha kuwa...
  10. Bajaji nne zapinduka muda tofauti Ubungo maji, hakuna vifo

    Wananchi wakisaidia kuwatoa abiria waliopata ajali ya bajaji iliyoanguka katika eneo la Ubungo Maji, mchepuko wa Barabara ya Morogoro. Kwa mujibu wa mashuhuda, bajaji nne zimeanguka katika eneo hilo kwa nyakati tofauti. Katika ajali hizo, hakuna vifo vilivyoripotiwa, lakini majeruhi kadhaa...
  11. Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu. Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
  12. Waziri Jumaa Aweso awataka Wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo na kufanya shughuli za kibinadamu ili kuepuka ukame. Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 2, 2025...
  13. PreGE2025 Serikali yaahidi kufikisha huduma ya maji kwenye makazi ya watu, Msomera

    Serikali imejipanga kuhakikisha huduma ya maji inaimarishwa kwa wananchi walioamua kuhamia eneo la Msomera, Handeni. Naibu Katibu Mkuu Bi. Agness Meena akiongea kwa Niaba ya Waziri wa Maji kuhusu huduma ya maji amesema kazi kubwa inafanyika kuhakikisha miundombinu ya maji inafika katika maeneo...
  14. L

    Tumbo linawaka moto kama kuna maji ya kuunguza yanamwagwa tumbo

    Naombeni msaada naungua tumbo, mbavu zinauma yaan sina raha, mgongo unauma vichomi kwenye mbavu na wakati mwingine kifuani
  15. Watanzania hawapo tayari kukombolewa. Kikawaida huwezi mlazimisha Punda kunywa maji

    Mpo Salama! Nilikuwa napitia orodha ya vijana wa Chadema na wanaharakati waliouawa, wengine kupotezwa kusikojulikana. Ni wengi. Na imechukua muda mrefu Sana. iko hivi; kwenye suala la Ukombozi huwezi komboa watu ambao hawapo tayari kukombolewa. Hata Mungu alipotuma Manabii zake, au...
  16. PreGE2025 Heche: Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi, inawezekanaje eneo lenye madini yasiyopatikana kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo?

    "Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi Hivi inawezekanaje eneo linalotoa madini yasiyopatikana kwingine kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo? Maji yanatoka ziwa Victoria yanakwenda Misri Jangwani watu wote wanapata maji, kutoa maji kutoka Arumeru yafike hapa imeshindikana miaka 63...
  17. PreGE2025 Serikali yatoa zaidi ya milioni 815 kukarabati mradi wa Maji Dihimba Mtwara

    SERIKALI kupitia Wizara ya Maji,imetoa Sh.815,453,185 ili kukarabati mradi wa Maji Dihimba utakaohudumia wakazi zaidi 7,489 wa Vijiji vya Dihimba,Mpondomo,Kinyamu na Ndumbwe vilivyopo Halmashauri ya Wilaya Mtwara Mkoani Mtwara. Meneja wa Ruwasa Wilaya ya Mtwara Hamis Mashindike alisema,kati...
  18. Makombe yote yanaenda kwa waarabu kama maombi yetu sifa apewe Mungu

    Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu Nakama...
  19. KERO Nyumba za Michenzani (Zanzibar) zinatiririsha maji yenye kinyesi Mtaani na Mamlaka hazichukui hatua zozote

    Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali lolote. Jambo hilo baya kwa afya linaweka hatarini afya za Wakazi wa hapo ikiwemo kuwa hatarini...
  20. V

    Wachimbaji visima vya maji safi na salama

    UTARATIBU WA KUCHIMBA KISIMA. 1. Ukitaka kuchimba kisima unatakiwa kufanya utafiti wa awali ili:- ● Kuangalia jiolojia ya eneo husika ● Kuangalia uwezekano wa kuwepo mikondo ya maji ardhini ● Historia ya eneo husika kuhusiana na suala la maji. 2. Gharama za kuchimba kisima/Visima hutegemea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…