Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea.
Je, ni suala gani hilo au ni siri gani hiyo kubwa namna hiyo?
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi wakuu majeshi wa ardhini na angani wakati nchi inapokabiliana na wanamgambo wa Islamic States kaskazini mwa nchi hiyo na uasi wa wanamgambo wanaohusishwa na chama kikuu cha upinzani.
Katika taarifa iliyotolewa usiku Alhamisi rais hakutoa sababu ya...
Serikali iliangalie hili.
Natizama mechi ya simba na jkt gani sijui hawa. yaani simba wanacheza mpira lakini hawa jkt wanacheza rafu tu.
Mugalu kapigwa buti kapoteza fahamu. sasa katolewa.
Manula kapigwa kichwa makusudi nadhani sasa atakuwa anapelekwa hospitali.
Mambo ya hovyo sana.
Hili ni bandiko la WITO
Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika nchi vamizi ni uvunjifu wa haki za binadamu. Nchi ya Somalia haijawahi kuomba seriikali ya Kenya na...
Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani
kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.