majambazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Upendo uliotukuka wa wanaume juu ya watoto, mke wazazi na ndugu zao ndio huwafanya wawe wezi, mafisadi, matapeli na hata majambazi

    Habari! Lengo la Uzi huu si kuhamasisha matendo maovu ya kijambazi, wizi, uporaji, utapeli au ufisadi. Lengo langu ni kuonyesha sababu kuu kwanini matendo haya maovu hufanywa hasa na wanaume zaidi kuliko wanawake. Ni upendo tu uliotukuka kwa ndugu zao na familia zao ndiyo hupelekea wanaume...
  2. K

    Sitasahau majambazi wenye siraha za moto walivyonipokonya mia 3

    Unaweza fikiri labda ni utani lakini hili ni tukio lililonipata miaka zaidi ya kumi wakati nikiwa mfanyabiashara wa samaki Nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumanne nikiwa nimeenda kuuza samaki kijiji kimoja cha huko Muleba nikiwa mimi na mjomba wangu Kijiji hicho kilisifika kwa wizi & ujambazi...
  3. D

    Ijue sanaa ya wezi (Vibaka na majambazi)

    Je, ulishawahi kutumia japo dakika chache kuwaza 'Saikolojia ya wezi? Wizi ni sanaa ya kuchukua kisicho halali yako! Wizi ni sayansi ya kujimilikisha visivyo vyako! Je; Inakuwaje mtu anakua mwizi? Chimbuko kuu la wizi ni DHIKI, TAMAA au MATATIZO YA KISAIKOLOJIA Chimbuko la kwanza la wizi...
  4. One dead, 13 students injured as bandits attack school buses in Elgeyo Marakwet

    The school bus that was attacked by bandits in Marakwet West (left). Some of the injured students admitted at Kapsowar hospital in Elgeyo Marakwet (right) A driver died and 13 students along with two teachers were injured on Thursday night after bandits attacked a convoy of school buses in...
  5. CCM huwa inawezaje kuwa na viongozi majambazi na katili?!

    Nikiwa nasikiliza rap ya Stori ya Nyokaa na Watengwa,nikakumbuka stori ya Clement Mabina aliyewahi kuwa Diwani wa Kisesa Mwanza kupitia CCM. Mabina alijua jitu kubwa huku kwa nje akifahamika kama Diwani, tajiri na mfanyabiashara maarufu. Lakini kwa ndani Mabina alikuwa jambazi na katili sana...
  6. Chuo cha Institute of Accountancy Arusha wamechukua ada zetu hawapokei simu

    Hiki chuo kilianziasha mafunzo kwa ngazi ya Masters kwa mfumo wa long distance learning. Na hoja zao ilikuwa kuwa watakuwa wanaweka recorded video za masomo ya darasani kwenye moodle yao ili wale wa blended wawe na uwezo wa kujipakulia na kusoma. Lakini baada ya kuchukua ada zetu simu zao...
  7. Kigoma: Majambazi matano yameuwa yakijibizana na polisi.

    Watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa wakati wa majibizano ya risasi na askari wa Jeshi la Polisi mkoani Kigoma wakati wakitekeleza tukio la utekaji na uporaji wa zana za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. https://t.co/I4edd1kmZF
  8. Majambazi yaliyovamia benki huko Kisumu yamedhibitiwa?

    Kenya hakuna askari. Vibaka wanne wamewaendesha polisi wa Kenya kutwa nzima. Hapa kwetu Tanzania ni jeshi la sungusungu tu lingetosha kuwadhibiti ndani ya dakika 45 tu. Poleni wakenya.
  9. Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Kitabu bora cha UJASUSI na USALAMA kiitwacho "IJUE HISTORIA" chenye kurasa 470 kinachoongelea historia za UJASUSI, UPELELEZI, SIRI ZA DUNIA, UGAIDI na UHALIFU kimeshatoka na kinapatikana kwa sh 25,000 tu. Pia kundi la "ijuehistoria" (WhatsApp group) lipo kwa gharama ya sh 3000 kwa mwezi. Namba...
  10. Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

    Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote
  11. Nyamhanga na Metu, majambazi waliotikisa jiji la Mwanza baada ya vita vya Kagera. Hivi bado wapo hai?

    Baada ya ya vita vya Kagera siraha zilitapakaa sana mkoani Mwanza na kanda ya ziwa. Majambazi wakubwa waliotikisa jiji la Mwanza miaka ya 19805-1988 ni Methu na Nyamhanga. Hivi hawa watu bado wapo? Nyamhanga kwao ilikuwa milima ya Nyashana. Methu alikiwa akiishi maeneo ya Mkudi. Siku moja...
  12. IGP Sirro: Majambazi hawana uwezo, wangekuwa wanaona silaha na mafunzo mlionayo wasingethubutu

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka Askari wa Jeshi hilo kutimiza wajibu wao ili kuweza kukabiliana na matukio ya uhalifu na wahalifu pamoja na vitendo vingine vya uvunjifu wa amani vinavyojitokeza kwenye jamii. IGP Sirro amesema hayo leo wakati wa hafla ya kufunga mafunzo...
  13. Simbachawene: Kati ya majambazi 10 wanaokamatwa, 3 wanatoka gerezani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema katika operesheni ya kuwasaka majambazi inayoendelea nchini kati ya majambazi kumi wanaokamatwa mitaani, watatu wanatoka gerezeni. Amesema kuwafunga majambazi hao hakusaidii sana kwa sababu wanarudi mitaani na kuendelea kufanya...
  14. Waziri Simbachawene: Majambazi yamenyamazishwa kimyakimya nchini, msako wabakaji, waporaji waendelea

    Na Felix Mwagara, MOHA – Kibakwe. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Jeshi la Polisi limewanyamazisha majambazi kimyakimya katika maeneo mbalimbali nchini baada ya hivi karibuni walipotaka kuijaribu Serikali. Amesema operesheni ya kwanza ya kupambana na majambazi...
  15. CCM tunapoitwa Chama cha Majambazi tuone aibu tujisafishe, Utetezi wa majambazi si sehemu yetu

    Kama ambavyo wapinzanzani wetu wamekua wakitupachika kina la Chama cha Majambazi kutokana viashiria vya matendo ya wanaccm wachache waliothaminiwa wakapewa nafasi serikali na chama lakini wanaendekeza tamaa, Wizi, unyang'anyi, utapeli, Ubabe, uonevu na uporaji wa mali za watu. Hii siyo misingi...
  16. Rais wa TFF Karia ana tatizo gani Kocha Fred Felix Minziro? Tazama video hii

    Leo ilikuwa fainali ya ligi daraja la kwanza kati ya mshindi wa kundi A na B, Mbeya kwanza vs Geita Gold. Geita inayonolewa na Minziro imeshinda. Sasa wakati Fred anaenda kuchukua tuzo yake Karia alihakikisha hampi mkono Baba Isaya. Hata kama wanatofauti zao,ila Karia kama kiongozi amefanya...
  17. N

    Tupeane updates za matukio ya wizi mitaani

    Heshima kwenu wanabodi, Wakubwa shikamooni, Ninaleta Uzi huu lengo tuweke wazi matukio ya wizi ambayo yamerudi kwa kasi nchini. Naombeni tuonyeshe jinsi gani wajanja wa mjini wanatuumiza. Imefika kipindi mpaka watu wameuawa kisoosoo. Watu wanaibiwa maduka sio poa. Okay, kwa kuanza binafsi...
  18. Simon Sirro uliwabipu majambazi, wamekupigia umebaki unahaha

    Sirro IGP. Magufuli aliwahi kukwambia. Namnukuu.. " I wish I kudu bii IGP"... Wki hizi mbili nimekaa nikiitafakari kauli ile ya Hayati. Alipo isema awali..wengi tulihisi amekudhalilisha...amekudharau na anaingilia mamlaka. Tulikuonea huruma. Kumbe hukustahili kuonewa huruma hata kidogo...
  19. D

    Wizi, udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani

    Ndugu wana JF, Wizi na udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani. Ndugu wananchi tuwe makini na ulinzi binafsi wa nyumbani. Sungusungu mtaani. Ikiwezekana tufanye mazoezi ya kutosha ili mwizi akiingia Chanel zako unammaliza kimya kimya kuna mzee hapa kaibiwa katoka na kitambi anahema...
  20. RC Makalla amuagiza Kamanda Wambura kuwapora silaha majambazi kabla hawajazitumia, amtaka awape ‘show’ kali

    Habari wanajamvi Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza sana RC Makalla kwa kauli yake leo juu ya uhalifu na ujambazi unao endelea jiji la Dare-es -saaam kwa kuwataka jeshi la polisi kuwapora haraka silaha majambazi kabla hawajazitumia. Ni ukweli ulio wazi majambazi wameanza kutishia amani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…