Kigoma: Majambazi matano yameuwa yakijibizana na polisi.

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa wakati wa majibizano ya risasi na askari wa Jeshi la Polisi mkoani Kigoma wakati wakitekeleza tukio la utekaji na uporaji wa zana za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. https://t.co/I4edd1kmZF
IMG_20211220_193400.jpg
 
Watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa wakati wa majibizano ya risasi na askari wa Jeshi la Polisi mkoani Kigoma wakati wakitekeleza tukio la utekaji na uporaji wa zana za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. https://t.co/I4edd1kmZFView attachment 2051565

Hawa waliopotelea na kina Ben, Lijenje na wenzao kusikojulikana wenye uthubutu wa kuendelea kuwaamini ni nyie tu.
 
Magaidi lazima yawachukie polisi

Magaidi yanapojiita polisi.

Wapumzike kwa amani wahanga wote:

1. Wapumzike kwa amani wafanya biashara wa madini wa Ifakara.
2. Wapumzike kwa amani waliopotelea mikononi mwa polisi
3. Apumzike kwa amani Hamza Mrefu.
4. Wapumzike kwa amani wote walioporwa roho zao kwenye dhuluma lukuki za namna hii.
 
Kuna watu wakickia majambazi wameuawa wanakereka,,,,wakifanya uhalifu na kuuwa askari na raia wanamsakama na kumlaumu mama. Hii nchi cjui nani aliwaloga. Acha wauawe
 
Bila chombo huru cha ku-monitor utendaji wa polisi watatumaliza na hakuna pa kulalamika. Checks and balances inakosekana upande wa polisi.
 
Watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa wakati wa majibizano ya risasi na askari wa Jeshi la Polisi mkoani Kigoma wakati wakitekeleza tukio la utekaji na uporaji wa zana za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. https://t.co/I4edd1kmZFView attachment 2051565
Siwamini polisi wa Tanzania.
Siwapendi polisi wa Tanzania
Nikisikia mtu amfyatua mjegeje na polisi wamechapika nafurahi sana.
P.I.P HAMZA asante kwa kidogo ulichofanya.
 
Magaidi yanapojiita polisi.

Wapumzike kwa amani:

1. Wapumzike wafanya biashara wa madini wa Ifakara.
2. Wapumzike kwa amani waliopotelea mikononi mwa polisi
3. Apumzike kwa amani Hamza Mrefu.
4. Wapumzike kwa amani wote walioporwa roho zao kwenye dhuluma lukuki za namna hii.
Amen, amen, amen.
P.I.P Hamza
 
Siku watakapofika majambazi majumbani kwenu mtajua tu umuhimu wa polisi na ubaya wa majambazi,,
Asee jambazi ni mtu mbaya sana usipomuua ni lazma akuue wewe tuliopitia hizo zahma tunaelewa mapambano na ubaya wa hao watu,,
#Go on our heroes
#Go on police ua hao majambazi ni watu wabaya sana ukiingia kwenye 18 zao.
 
Kuna jambazi mmoja aliua polisi wawili lakini bado raia walitaka akamatwe afikishwe kwenye vyombo vya Sheria

Hata Mimi ningekuwa polisi singesamehe mtu
 
Magaidi yanapojiita polisi.

Wapumzike kwa amani:

1. Wapumzike wafanya biashara wa madini wa Ifakara.
2. Wapumzike kwa amani waliopotelea mikononi mwa polisi
3. Apumzike kwa amani Hamza Mrefu.
4. Wapumzike kwa amani wote walioporwa roho zao kwenye dhuluma lukuki za namna hii.
Na wapumzike kwa amani polisi wote waliotangulia mbele za haki wakitekeleza majukumu yao kukulinda wewe pamoja na raia wengine wote
 
Na wapumzike kwa amani polisi wote waliotangulia mbele za haki wakitekeleza majukumu yao kukulinda wewe pamoja na raia wengine wote

Si tulishakubaliana police CCM wanalinda viroboto, wahuni na matapeli?

Basi waungulie jahanamu polisi wote waliotokomea na kina Ben, Lijenje, Azory, Malema na wenzao kusikojulikana.

Wasibakizwe pia waliopanga, kudhamiria, na kutekeleza shambulio la Lissu.

Yawafike makubwa waliowauwa wafanya biashara wa madini wa Ifakara.

Wasibakizwe waliosokomeza watu kwenye viroba.

Eeh mola wetu usimnusuru na adhabu yako awaye yote kwa dhuluma zao dhidi ya waja wako kwa sababu tu wao ni polisi.
 
Back
Top Bottom