maisha

  1. JamiiForums Tanzania Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete asema magonjwa ya moyo yanaweza kuepukika kwa kufuata mtindo bora wa maisha

    Wakazi wa Mkoa wa Dodoma wameishukuru Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kutoa huduma za upimaji wa viashiria vya magonjwa ya moyo pamoja na ushauri wa jinsi ya kuyaepuka magonjwa hayo bila malipo yoyote yale. Huduma hiyo inatolewa katika maadhimisho ya miaka 70 ya baraza la uuguzi na...
  2. JamiiForums Tanzania Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

    Taarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini. Wiki 2 zilizopita kijana alifariki, kwa kushikwa na homa kali na kutokwa damu mdomoni na puani, baadae mama mzazi akaumwa ugonjwa huo amefariki jana mchana. Kijana wa...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha ni asili kama hautoi ni ngumu kupata kwa mtiririko mzuri

    Hata Kama una Maisha Magumu jiwekee utaratibu wa kutoa hata kidogo unachopata . Yaani kipindi nilipokuwa bahili nilikuwa sipati pesa hata kidogo nilikuwa naishi kiujanja ujanja Lakini hii kanuni ukipata unatoa kidogo wahitaji Basi ngumu kukosa kitu Yaani Kama hautoi Mfumo unakuruka unaenda...
  4. JamiiForums Tanzania Je, baba alitutesa au alitufundisha maisha?

    Baba yangu alikuwa kanali wa jeshi la wananchi (jwtz)huko kusini mwa Tanzania mkoa unaozalisha mahindi kwa wingi hapa nchini mzee wetu alikuwa mkali Sana Nakumbuka mwaka 2008 wakati Mimi nko darasa la sita ,kaka yangu mkubwa first born yupo form one na mdogo angu marehemu kwa Sasa (r.i.p)...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maisha ya tungi

    Ukienda bar kunywa pombe unaweza kumwona mschichana anayekudumia mbaya mbaya lakini kadiri unavyokunywa pombe anaendelea kuwa mzuri mzuri huwezi amini kuwa ndiye uliyemkuta mwanzo, unaweza kukuta unamuuliza ulikuwa muda wote. Eti wewe ni mrembo hivi? Lakini jambo la ajabu kuliko yote pindi...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Arranged Marriage (ndoa za kuchaguliwa na familia, ndugu, na jamaa) ndio mfumo sahihi kwa maisha ya dot com

    Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke. Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa. Hivyo hivyo kwa binti. Familia ziwe makini na kukataa ndoa ambazo familia ya mume na mke mtarajiwa hazijawai kujuana...
  7. JamiiForums Tanzania Sijaona positive impact ya mikutano ya hadhara tunayofanya. Wananchi wapo busy kutafuta maisha

    Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano. Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na...
  8. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume wakimbia familia zao kutokana na hali ngumu ya maisha

    Kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini na hivyo kusababisha upungufu wa chakula. Kwenye baadhi ya maeneo baadhi ya wanaume wamekimbia nyumba zao na kuwaacha wanawake na watoto pekee katika familia. Baadhi ya wanawake Wamekuwa wakijitaftia ridhiki kwa kwa kutembea umbali mrefu kuelekea...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wafuasi wa Azimio wafunga barabara wakilalamikia gharama ya maisha

    Wafuasi wa Azimio katika Kaunti ya Migori wamefunga sehemu ya barabara wakilalamikia gharama ya juu ya maisha na kuunga mkono mwito wa Raila Odinga wa maandamano makubwa. =============== Azimio supporters in Migori County block section of a road in protest over the high cost of living and...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanajisahau sana. Hawajui uswazi ni kawaida watoto kulala chumba kimoja na wazazi sababu ya ugumu wa maisha

    Mshahara wa mhindi sh 150,000 halafu chumba elfu 35 utaweza kupangisha vyumba viwili? Acheni porojo
  11. JamiiForums Tanzania Wamama wa Dar mtawaua Wanaume wa mikoani kwa presha

    Tupo na jamaa zangu mitaa ya Mawasiliano Dar, kuna jamaa toka Mbande sijui iko wapi, amekuja jijini akiwa na zawadi kwaajili ya rafiki yake wa kike waliyekutana naye mtandaoni, wamewasiliana na huyo mwanamama akafika mpaka lodge alipofikia akiwa na bodaboda, akaingia ndani aliko mja wake, baada...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnaosema kwenye maisha kuna bahati

    Nasimulia hapa true stori ya maisha yangu huenda ikamsaidia mwingine hasa anayepita njia nilizopita. Ipo hivi, mimi ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto tisa (tuliohai tupo sita nashukuru MUNGU kwa zawadi hii ya uhai) kati ya watoto tisa mimi tisa watano ni kiume na nne wa kike, katika...
  13. JamiiForums Tanzania Karibuni tujadili maisha ya ujanani na masuala mengineyo ya kimaisha

    Habari, Karibuni katika uzi huu pendwa wenye dhima na dira maalumu ya kujadili maisha ya ujanani, kwa kuangazia opportunities, weakness, strength za Rika hili la ujana linalo anzia miaka 18 mpaka 35 kwa sheria za hapa kwetu Tanzania. Vile vile hata kujadili masuala mengineyo ya kimaisha kama...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kumsahau Ex Wako

    Mtu unayempenda akikuacha inauma. Hasa pale unapokumbuka jinsi ulivyompenda na mlivyokua na furaha. Usiku huwa ni mrefu sana. Ukiwa bado huamini kama ndo mmeshaachana(umeachika) na unaona huna matumaini tena ya kumpata kama yule uliyempenda sana. Unachoka zaidi pale unapofikiria kuanza upya...
  15. JamiiForums Tanzania Usifuate mkumbo huu kwenye Maisha

    Habari, Kuna wakati tunashindwa kuamua kufanya maamuzi juu ya jambo au mambo yaliyopo Maishani. Inatokea ipo biashara unataka kufanya, kazi unataka kuacha, safari unapaswa kufanya lakini yote hufanyi kwanza wewe, na badala yake unaamua kutafuta ushauri Kila sehemu. Sisemi ushauri ni mbaya...
  16. JamiiForums Tanzania Zingatia Sifa Kuu 3 za Mwanamke wa Kujenga naye maisha (wife material)

    Kwanza kabla ya kuangalia sifa za mwanamke, angalia sifa zako kwanza kisha ujitathmini kama unastahili kuwa mwanamke mwenye sifa hizi. Ni muhimu kumpima mwanamke uliyenaye kama anafaa kuwa nawe maishani. Sio uwe naye sababu ndio mwanamke aliyekuonesha upendo. Ndio maana wakati wa uchumba...
  17. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya maisha niliyojifunza katika vita vya Ukraine na Russia

    1: Uwe makini kuhakiki kila move ya maisha yako. Kuna watu wako tayari kukutumia hata kama ukifa ila wao mambo yao yaende. Ukraine anatumiwa na US/NATO. 2: Jifunze kuchukua hatua mapema kwa gharama ndogo kuliko kusubiri umechelewa na kupata hasara kubwa isiyolipika. Kumbuka 80/20 Rule. Russia...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    Habari zenu wananchi wa Taifa la JamiiForums, leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and downs nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya huko way back na unatamani kuwasaidia wengine wasirudie makosa hayo. Wakati nipo chuo mwaka wa tatu...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Hali ya maisha kwa watu weusi yazidi kuwa mbaya USA

    Kwa kawaida watu wengi wasio na makazi nchini USA ni wale wa asili ya Afrika, sasa najiuliza, kundi hili tu ndio wavivu wa kufanya kazi? Kundi hili tu ndio wahanga wa madawa ya kulevya? Au ni tatizo la kimfumo zaidi? Lakini pia, kwenye video hapo chini, kwa siku za hivi karibuni, na wale wa...
  20. JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Dar es Salaam wanaishi maisha magumu mno

    Habari! Saa kumi usiku utashangaa kuona daladala ile kubwa Eacher imejaza watu na vifurushi vyao vya ujasiriamali. Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha. Jamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…