maisha

  1. Navutiwa sana na simulizi za uhalisia wa maisha, msimuliaji akiwa mhusika

    Binafsi huwa ninapenda sana simulizi ambazo zina uhalisia wa maisha ya kila siku tunayoishi hususan kwetu sisi wapambanaji na watafutaji wa kila siku. Yaani simulizi ambazo msimuliaji ndiye mhusika na anasimulia kuhusu experience yake katika jambo au mambo fulani sanasana masuala ya utafutaji...
  2. Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

    Habari wanajf. Binafsi Niko visiwa vya Haiti Marekani ya kaskazini. Kiujumla Maisha ndio yalinifanya nikafika huku, kwa sikuwahi kuwaza kuwa ntavuka visiwa vyetu vya Tanzania Yaani Pemba na Unguja. WATU WA HUKU(WAHAITI) Watu wa huku ni weusi ti Kama sisi huwezi kutofautisha na wasukuma...
  3. Dogo ana miaka 17 tu tayari ana maisha mazuri na mpenzi

    Endrick mchezaji wa palmers ya Brazil katika umri wa miaka 17 tayari ana mafanikio makubwa ya kimaisha huku akimiliki mtoto mkali wa kula naye maisha. Dah kweli maisha hayapo fear
  4. RC Makonda: Nimekoswa koswa mara 3 kupoteza maisha

    Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa. Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama...
  5. Tuonyeshe picha ya baadhi ya vifaa vyako vya kazi vinavokupa maisha

    Kama viko store kwenu au hapo kibaruani kwako tupigie picha ya baadhi ya tools zako unazoziaminia na kuzitunza daima kwani ndizo zinazokupa ugali.
  6. Sio kila Single Mother anateseka na maisha wengine wanabarikiwa baada ya kuwa Single Mothers

    Shalom, Siwezi kusema mengi sana kuwa single mother ni matokeo ya maisha ya sisi wanadamu kama ilivyo kwa magonjwa na vifo na mengineyo. Kuna single mothers wamebarikiwa baada ya kuwa single mothers, wengine wamefunuluwa baraka na Neema tele baada ya kuachika kwenye ndoa zao. Kuna baadhi ya...
  7. Unafuu wa maisha na ugumu wa maisha ya Mtanzania huletwa na yeye mwenyewe

    Awali ya yote niwasalimu ndugu na wadau wa jamii forum ,pili nikushukuru wewe unaelisoma andiko hili tatu na mwisho nikuombe wewe ikiwa unaguswa na haya basi tumia nafasi ulio nayo bila kupima udogo ama ukubwa wake kuisaidia jamii yetu ipate kuwa na ufahamu amabao utasadia miongoni mwa wengi...
  8. Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo; 1. Tembea hatua 10,000 kwa siku 2. Kula kwa wastani 3. Punguza wanga 4. Epuka vitu vyenye sukari 5. Epuka sigara, pombe 7. Pata muda kidogo wa...
  9. Yawezekana kitabu cha Mhubiri ndio uhalisia sahihi wa maisha

    1. Mwandishi anaonekan ni mtu aliekua na wadhfa na mali, wapo wanasema mwandishi ni Mfalme Suleman ila wengine wanakataa. 2. Pamoja na mafanikio hayo, anaonekana amejawa na msongo wa mawazo na alie "disappointed"sana, mara nyingi husema " ...ni sawa na kufukuza upepo." 3. Anaonekana hana imani...
  10. M

    Dini za wakoloni hazina maisha marefu Afrika. Watu wameanza kujua ukweli

    Jamaa ameongea maneno makubwa sana. Jamaa Kaniacha hoi mwishoni tu alivyomalizia na stiki ya kutolea meno tunaagiza china
  11. K

    Ugumu wa maisha ndiyo utakuja kuiangusha CCM

    Wananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo. Leo nimesoma kuwa bei ya mafuta kwa mwezi huu wa Aprili imepanda tena. Kama jirani zetu hapa Kenya, Zambia bei ya mafuta kwao ni...
  12. Nitaandaa muswada wa kisheria kila kiongozi mwanasiasa alipwe kutokana na Hali ya maisha ya mwananchi wa wa kawaida yalivyo!

    Ndivyo nitakavyofanya kama chama changu ccm kikiniteua na nikashinda uchaguzi huko tuendako. 1. Siasa itakua sio ajira Tena Bali kipimo Cha uzalendo kama jeshi letu lilivyo sio ajira na siasa itakua hivyo hivyo!yaani mtu hatoingia siasani kutajirika kama ilivyo Sasa Hilo msahau,ukitaka utajiri...
  13. Hivi ni kweli kusoma vitabu kunaweza kubadilisha maisha ya mtu? una ushahidi wowote?

    Wakuu habari, Kwanini watu waliowahi kufanya makubwa hawakufanikisha hayo kupitia kusoma vitabu. Unakuta mtu anasoma kitabu cha How to influence people lakini hadi anakimaliza hana influence yoyote. Mtu anaandika kitabu cha how to get rich fast afu pesa ya kuchapisha hicho kitabu amekopa...
  14. E

    Maisha yamekuwa mwiba mtaani

    Wasalaam Wakuu, kila mmoja hapa anashuhudia mtaani kulivyo kugumu , hasa kwa wasaka tonge kama mm Sasabasi, ajitokeze mwana mwenye dili ngumu ili tushiriki wote hiyo ‘National cake ‘. Niko tayari Wasiotakiwa hapa ni wafuatao; Wale wa fanya kazi halali Mlioko kwenye system , hamtakiwi kabisa...
  15. Wadogo zangu wa kike hata kama nyumbani kwenu maisha ni magumu usikubali ndoa ya sogea tukae

    Mtu akitaka kuishi na wewe kanuni ni kutambulishana kwa wazazi wa pande zote mbili tena physically kama kwao ni mbali hakikisha mnaenda achana na biashara za kutambulishwa kwenye simu ama video call kama ni Kigoma pandeni Saratoga muende. Flat TV, sofa set, bedsofa, friji na sabufa zisifanye...
  16. Inasemekana hii ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

    Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha. Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.
  17. F

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
  18. Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
  19. Siri ya maisha mazuri

    Ni kuwa na nia ya kweli na ya dhati ya kufanikiwa kumshirikisha mungu katika mipango na vipaumbele kuelekea maisha mazuri.. Kuwa na bidii, maarifa na moyo wa kutokukata tamaa, pale unapokutana na magumu, mabonde na milima.. Na ukipita vizuri apo, huo unaweza kua mtaji lakini pia msingi muhimu...
  20. M

    Vijana mkitaka furaha ya maisha oa mke BIKIRA

    Mimi ni mzee naingia miaka 60 October . Nimeona mengi katika familia na ndoa za watu. Ukioa mwanamke ambaye alishaharibu USICHANA wake ni kama umeoa laana. Lakini ukioa mwanamke aliyejitunza usichana wake tangu kuzaliwa ni kama UMEOA BARAKA. Nina mengi ya kuwaeleza katika hili lakini itoshe tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…