maisha

  1. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Hatua Tano (05) Za Kupata Pesa ya kutatua Dharura za Maisha

    Rafiki yangu mpendwa, Dharura huwa zinatokea kwenye maisha yetu na pale ambapo mtu anakuwa hajajipanga kwa dharura, huwa zinamrudisha nyuma sana. Watu wengi wamenasa kwenye umasikini kwa sababu ya dharura mbalimbali wanazokutana nazo na kuwa hawajajipanga. Kwenye mipango yako ya kujenga...
  2. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania RAISI mpya wa Senegal afuta Kodi za bidhaa muhimu ili kupunguza gharama za maisha

    Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika bidhaa muhimu kama vile Mchele, Mafuta ya kupikia, mkate, mbolea nakadhalika. Wakati hayo...
  3. Logikos

    JamiiForums Tanzania Bima ya Maisha - Umuhimu na Uhalisia

    "Ndugu zako wanakupenda, kuwa kwako na Bima ya Maisha inaonyesha Unawajali Pia" Umuhimu: Maisha yamekuwa magumu na ya gharama sana, hata kitu kama kifo / mazishi /Misiba yamekuwa mzigo kwa familia na jamii na sababu ni jambo la ghafla unaweza ukakuta kifo chako kinawasumbua na kuwatia hasara na...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko aitaka EWURA kupima uhusiano wa Rasimali na mabadiliko ya Maisha ya watu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa za utendaji katika Sekta ndogo ya Umeme, Gesi Asilia na Mafuta kwa mwaka 2022/2023 ambapo ametoa maelekezo mahsusi kwa Wizara na Taasisi mbalimbali kufanyia kazi taarifa hizo zinazoonesha mafanikio na changamoto katika...
  5. Doto12

    JamiiForums Tanzania Zamani tuliishi maisha ya mangumi

    Tumekuwa tukitiliana ubabe na makonde mangumi watoto siku hizi haya mambo hawana. Yaani enzi zile kutolewa meno ni kitu cha kawaida. Kutolewa nundu kitu cha kawaida. Maisha yamebadilika kozazi hiki ni cha laptop na simu janja. Enzi zole za mpira utasikia redioni. Ni vitimu vyetu uchwara...
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama umeamua kuwa mchepuko basi zingatia yafuatayo

    .
  7. RedPill Prophet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, usifanye mambo ya kijinga ukiachwa na mwanamke. Ishi maisha yako na usonge mbele

    Wanaume wengi huchanganyikiwa kwa sababu tu mwanamke huachana nao. Hii inasababisha wanaume: - Kunywa pombe na kulewa, wengine wanatumia dawa za mitishamba na kichawi kwa lengo la kumpata. - Wanapoteza mwelekeo wa maisha na kuanza kutokuwa na tija, kwa sababu ya kuvunjika moyo wengine...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Njia sita (6) wanaume wanaweza kuepuka umaskini

    Na Dada Fridah Nakazwe 1. Pata mwanamke sahihi - Sahau slay queens na wanawake wenye sura lakini akili sifuri. Pata mwanamke ambaye sio tu atasaidia maono yako lakini pia atakusukuma kufikia zaidi. Mwanamke ambaye atakupa msukumo wa kufanya kazi kwa bidii na sio mwanamke anayekufanya uwe mgumu...
  9. Livanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni bora mwanaume anaekwenda kucheat na akarudi nyumbani. Kuliko mwanamke anayekufanyq ulee watoto ambao sio wako kwa maisha yako yote bila kujua

    This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia familia yake kumjali, kumheshimu na kumpenda mke wake kuliko kuishi na mwanamke anayekufanya ulee watoto...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Naelekea xpesa anaetaka kunifwata kukopa ajiandae maisha popote

    Allah shida nn pesa zipo tuhangaike nazo Mwenzenu nasusbiria msg za muhamala namiee niungane kwenye kikombe cha xpesa Anaetaka ajipange kweli...
  11. TWELVE12

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hivyo ndivyo watoto wa yule mzazi uliyemuumiza walibaki

    Kwenye hii dunia ukipata nafasi ya kumuhukumu binadamu mwenzako kamwe usimwone yeye peke yake kuna wengine wengi wanaomtegemea usio wajua wako nyuma ya maisha yake. #TAKARI KABLA YA KUMDHURU MWINGINE KWA LOLOTE.
  12. A GIRL OF THE GIRLS

    JamiiForums Tanzania Mizani ya maisha, kila mtu ana umuhimu

    Habari zenu wapendwa! Nachukua wasaha huu kuwashirikisha mtazamo wangu nakupenda kusikia kutoka kwenu Kuhusu Maisha. Nimekuwa najiuliza hivi kama ningejikuta duniani Niko peke yangu tu. Ningeishije, je ningetamani kuendelea kuishi hivyo mpweke? Hili swali ni gumu sana lkn maisha yanakuwa na...
  13. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Aina Nne za Utajiri: Njia ya Kuelekea Maisha Yenye Mafanikio

    Katika jitihada zetu za kuwa na maisha yanayotosheleza, ni muhimu kuelewa aina tofauti za utajiri. Utajiri haihusu pesa tu; unahusisha vipengele mbalimbali vya maisha yetu vinavyochangia ustawi wetu kwa ujumla. Leo, tutazungumzia aina nne za utajiri: Kifedha, Kijamii, Muda, na Kimwili, na tuone...
  14. kipanga85

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya mabachelor

    Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
  15. Gemini AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaomba Ushauri: Alisalitiwa na mume wake wakaachana, Mume akaoa na akapata Pesa. Maisha yamekuwa magumu anataka kuwa Mchepuko

    Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena...
  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Unaweza usiambiwe, ila sio vizuri kufanya mambo haya

    1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine. 2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani kama jambo sio dharura. 3. Ukipigiwa simu baada ya maongezi, usikate simu... Acha akate aliyepiga. 4...
  17. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wikiendi Njema: Maombi yangu kwa wanawake wote wa JF wawe wenye kutenda haki na kuwa kwenye unyoofu

    BINTI YANGU NJOO NIKUAMBIE HAPA. Mithali 20:7 [7]Mwenye haki aendaye katika unyofu wake, watoto wake wabarikiwa baada yake. Haki katika ndoa yako ambayo Mungu amekupa hakikisha unaishi katika haki, wamama wengi siku hizi hasa hawa mabinti wanajivunia watoto wao wakiwa wazuri wa sura, wakiwa na...
  18. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Siasa ni maisha

    Ni ukweli kuwa baadhi ya vijana wengi nchini kutokana na ukosefu wa ajira, wamepelekea kuwa wafuasi wa baadhi ya vyama vya siasa kwa lengo la kutarajia kupata ajira
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kumpa hela mama mkwe wako wa zamani ni sawa au niache kabisa kujipendekeza?

    Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni haja ya kuanza kuwachosha kuyaelezea. Ila sasa mama yake alikuwa ni mtu mwema kwangu kiasi kwamba...
  20. Travis Kitengo

    JamiiForums Tanzania Kupanga ni kuchagua, msinipangie maisha

    Nipo tu naenjoy bonge la flat screen
Back
Top Bottom