maisha

  1. JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
  2. JamiiForums Tanzania Kifo cha Mchungaji Msuya kilivyoibua kumbukumbu maisha yake

    Kifo cha Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanga, Sylvanus Msuya, kimeacha simanzi miongoni mwa waumini, viongozi wa dini na watu wengi walioguswa na ushuhuda wa maisha yake. Baadhi wamekumbuka safari yake ya kutoka kwenye changamoto za maisha hadi kuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni dua yangu siku zote za Maisha yangu

    Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana. Yoshua 24:15 Kwa hiyo, Mimi...
  4. JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

    Mimi nilipoteza ubikira wangu kwa kahaba... Inasikitisha sana lakini ndo ukweli wenyewe. Nakumbuka kipindi hicho tulipokuwa shule ya sekondari. Ikifika mida ya saa mbili usiku rafiki yangu mkubwa Ngaluli alikuwa akinichukua na kunipeleka sehemu ambayo makahaba huwa wanajiuza. Alikuwa ananipa...
  5. JamiiForums Tanzania Maisha yangu baada ya kufilisika kwenye forex

    ...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi AI Inavyoharibu Maisha Yako Kimya Kimya

    Akili Bandia (Artificial Intelligence - AI) haijaja na bunduki wala vita vya wazi, bali imeingia taratibu kupitia vioo vya simu zetu. Wakati wengi wakisherehekea urahisi unaoletwa na AI, kuna mabadiliko ya kimya kimya yanayotokea kwenye ubongo na maisha yetu ya kila siku: 1. Inaua Uwezo wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ndio uhalisia wa maisha ya Watanzania. CCM imekataliwa na Watanzania

    Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi. Ukiingia kwenye kila mtandao wa kijamii.CCM imekataliwa na wananchi. Hii ni picha halisi hata kwa maisha ya uraiani CCM haitakiwi.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    . Naomba niwasimulie tuu, Leo nimepatwa na jaribu gumu sana kwa mara yangu ya kwanza katika maisha yangu. Nimekuwa nikisoma thread nyingi tu humu JF kuhusu vijana kuacha masuala mazima ya tamaa, pamoja na mikasa ya watu iliyowapata kama story ya yule jamaa aliyekuwa wakimwita Apostle...
  9. JamiiForums Tanzania Furahi na wenzangu, ndo maisha - sitaki kujenga chuki (Kalikawe) ... sahihi, chuki na hasira bila msingi zitakutafuna

    https://youtu.be/-f-uON139bw?si=2E6ydXbWK3vumHvA
  10. JamiiForums Tanzania TUCHEKE TUONGEZE MIAKA, tupunguze majonzi... maisha yamekuwa crazy tosha

  11. JamiiForums Tanzania IPhone, SmartTV, AI... na vifaa vingi 'smart' vinakuangalia na kukufuatilia maisha yako

    IPhone ni EYEPhone = inakuangalia SmartTV ina uwezo wa kukurekodi ... haijaitwa smart bure AI inatangazwa kutusaidia... ivi wenye GMAIL umeshagundua AI inasummarise email zako? manake inazisoma. Kote tunakowasiliana INSTAGRAM, WHATSAPP sasa AI imerahisisha kutufuatilia * kuwa mtu wa kucheki...
  12. JamiiForums Tanzania Hayo Maisha Unayoishi Humo Ndani na Mkeo Ni Ukiamua Korekodi Utauza Sana

    Vile vimigogoro, fulana na huzuni mnazopitia humo ndani ni biashara tosha. Ila usisahau kazi ya editor, ndoa isije ota mbawa.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maisha ya wanafunzi shule ya Sekondari Lyamungo hatarini, shule haitoi huduma ya chakula cha jioni

    Kama mzazi na ndugu wa baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari LYAMUNGO iliyopo Wilaya ya Hai, Kilimanjaro; tungeomba TAMISEMI na Wizara ya Elimu wawe wazi kuhusu maisha halisi katika baadhi ya shule ili wazazi wawe na uhuru wa kuchagua wapi kijana wao patamfaa kupata taaluma...
  14. JamiiForums Tanzania Community Coin Banks/ Street Coin Banks: Hii ni kwaajili ya sekta au watu wasio na mifumo rasmi ya maisha

    Habari Tanzania !.... Naomba kuweka hapa jukwaani wazo la kuwezesha jamii au watu ambao wanakipato cha chini sana; kwa kuwawekea mfumo mzuri wa kuwasaidia kutoka katika umasikini na kupata thamani ya kufanya maisha wayatakayo. Naiomba jamii ipokee hili wazo. Tuanzishe Benki za kutunza Sarafu...
  15. JamiiForums Tanzania DED - Maswa, Bw Maisha Mtipa alazimisha watumishi wa umma wote Maswa DC kwenda kukesha na mwenge (Kibatari) tarehe 27/7/2026 uwanjani!

    Mliokuwa hamjui ni kwamba; Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..." Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana kwa kujipa matatizo hamjambo. Maisha ya kuungaunga (chini ya 1M), bado unaoa single mother?

    VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli. Hivi mmekosa wazazi wa kuwashauri? Au ndio mnadharau wazazi na walezi wenu. Maana sidhani kama kuna mzazi mwenye akili...
  17. JamiiForums Tanzania Dunia: Jela ya Wenye Ufahamu lakini Paradiso la Wajinga...

    Dunia imekuwa kama jela kwa wale wenye ufahamu wa kina. Wenye akili na macho ya ndani huona udanganyifu, uovu, na unafiki unaotawala jamii. Kwao, maisha si mchezo wa furaha bali ni mzigo wa maswali yasiyo na majibu. Wanateseka kwa kuona ukweli ambao wengine wanaukwepa. Ufahamu wao unawafanya...
  18. JamiiForums Tanzania Ili uwe maskini, subiri maisha yakubadilikie bila wewe kubadilika

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi husubiri siku nzuri zije, nafasi ijitokeze, au mtu fulani abadilishe maisha yao. Lakini maisha hayabadiliki kwa sababu muda umepita; hubadilika pale fikra, maamuzi na tabia za mtu zinapoanza kubadilika. Maisha yako hayabadilishwi na kile unachofikiri...
  19. JamiiForums Tanzania Kama maisha yako hayasomeki usifikirie kabisa kufuga mbwa aina ya Belgian Malinois

    Kwa mtu ambaye maisha yake hayana utulivu au hayana ratiba maalumu, Belgian Malinois mara nyingi si chaguo sahihi. Kwa nini? 1. Anahitaji mazoezi mengi sana. Si kutembezwa dakika 20 tu ukaona inatosha. Mara nyingi huhitaji saa 1–2 au zaidi za mazoezi makali na shughuli za akili kila siku. 2...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba ugumu wa maisha Kwa kiasi kikubwa tunasababisha wenyewe. Fungu la majani ya maboga Tsh300!

    Nipo hapa wife anachambua majani ya maboga Kwa ajiri ya mrenda (nimemuamru aniandalie Leo) Nimemuuliza vipi wanauzaje ka fungu kama haka? Naye kanijibu Tsh300/= nimehesabu majani yapo 8-10 TU Kwa kila fungu. Nikarudisha kumbukumbu Hadi mwaka 2016 nilikuwa naishia Kwa sister. Dada alikuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…