Wanaume, huwezi kudanganya mwanamke.

Wanaume, huwezi kudanganya mwanamke.

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
17,132
Reaction score
32,621
Hivi huwa mnadhani wanawake hawajui?

Mwanamke anaweza kusmell a mile away wewe ni mwanaume aina gani...

She knows what kind of dude she's dealing with.

Ila aisee ndugu zangu huwezi kula mali nzuri kama wewe ni kapuku, utaishia kula kwa macho wenzako waliojipata wakisaza

Jisake, there's no free knifes out here, (hakuna visu vya bure) ukitaka mwanamke ambaye anakidhi viwango, lazima wewe uwe navyo hivyo viwango.

Kila siku huwa nawaambia hii dunia ni ya survival.. Hata hao wanawake wanacalculate hivi huyu atanipa maisha kweli? Unadhani wanatanguliza upendo? Broo amka, Huo handsome na maisha feki utaishia kuwa msindikizaji tu.

Let's work on ourselves guys..

Ili baadae uwe na option za kutosha.

Hakuna mwanamke anae date na kapuku my friend, hakuna.

Ulishaona tajiri analilia mapenzi? Tajiri mapenzi yana mlilia yeye..

Ni maskini tu ndo ambao wanapuyanga, kutwa kuongea wakati wasukuma mpira na ndinga kali ndo wanajiopolea visu kila leo..

Alafu tabia ya kusema sijui wanawake hawapewi hela ni ujinga na ulimbukeni tu.

Acha kuhudumia wenzio watafune mali.

Binafsi, nimeanza kuwaelewa wanawake, ni kama wanyama tu maana hata jike litapandwa na dume lenye nguvu.... Na nguvu siku hizi sio mwili bali maokoto...

So, wake the f up and chase the bag first, and all them cats shall be added unto you.
 
ukisha fika umri fulaani utaona hii dunia kila kitu ni cha kupita🚴, na silazima kila unachotaka ukipate🤲 gentleman hautaumiza kichwa eti demu fulani siwezi mpata never☝️, atae nikibali atakuja asie nikubali apite hivi👈,

Uta experience maisha matam sana🏊‍♂️🤸
 
Hivi huwa mnadhani wanawake hawajui?

Mwanamke anaweza kusmell a mile away wewe ni mwanaume aina gani...

She knows what kind of dude she's dealing with.

Ila aisee ndugu zangu huwezi kula mali nzuri kama wewe ni kapuku, utaishia kula kwa macho wenzako waliojipata wakisaza

Jisake, there's no free knifes out here, (hakuna visu vya bure) ukitaka mwanamke ambaye anakidhi viwango, lazima wewe uwe navyo hivyo viwango.

Kila siku huwa nawaambia hii dunia ni ya survival.. Hata hao wanawake wanacalculate hivi huyu atanipa maisha kweli? Unadhani wanatanguliza upendo? Broo amka, Huo handsome na maisha feki utaishia kuwa msindikizaji tu.

Let's work on ourselves guys..

Ili baadae uwe na option za kutosha.

Hakuna mwanamke anae date na kapuku my friend, hakuna.

Ulishaona tajiri analilia mapenzi? Tajiri mapenzi yana mlilia yeye..

Ni maskini tu ndo ambao wanapuyanga, kutwa kuongea wakati wasukuma mpira na ndinga kali ndo wanajiopolea visu kila leo..

Alafu tabia ya kusema sijui wanawake hawapewi hela ni ujinga na ulimbukeni tu.

Acha kuhudumia wenzio watafune mali.

Binafsi, nimeanza kuwaelewa wanawake, ni kama wanyama tu maana hata jike litapandwa na dume lenye nguvu.... Na nguvu siku hizi sio mwili bali maokoto...

So, wake the f up and chase the bag first, and all them cats shall be added unto you.
Wewe umejuaje mambo ya kike? Ya kaisairi yabaki kwa kaisari!
 
Uzuri ni kwamba mwanamke akiamua kucheat haangalii tajiri wala masikini.
 
Mtu aangalie ni aina gani ya mwanamke anamfaa, wakubaliane wabebabe, maana huwezi kuwa na kila kitu, vingine vitakupita. Wanawake wengi wanatoka familia masikini na wanaweza kuishi n wanaume wenye vipato vya kawaida tu.
 
My dear bottle unaskia hayo? Hivi yupo mwanamke duniani anayekuzidi wewe my dear bottle?
 
Back
Top Bottom