Ukiwaweka wanasiasa hawa wawli , Tundu Lisu na Samia ukawaangalia vzr KWA jicho la kiroho au hata kawaida ,utagundua kitu ,
Samia anaishi na kulala nyumba nzuri na godoro la nchi 1000, anawalizi kila kona, anakula chakula cha kifalme, still hana amani kabisa,nuru haipo ,hata angepaka make up...