maisha yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usijilinganishe na watu wengine. Ishi maisha yako, kuwa na shukrani

    Apply hizo vitu mbili hapo kwenye maisha yako after a few days utaona maana halisi ya maisha. Usiji-compare na watu wengine Ooh mbona fulani ana maisha mazuri,ana gari zuri,ana kazi nzuri,yuko na biashara ya kutisha stop that madness ishi maisha yako shukuru kwa kile ulichonacho. #StressFreeZone
  2. JamiiForums Tanzania Ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako?โ€

    Hamjambo! Hili ni swali muhimu sana. Swali la ukombozi. Majibu yake ndio msingi wa wewe kutoka hapo ulipo. JE ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako? Ni mumeo? Ni mkeo? Ni wazazi wako? Au watoto uliowazaa? Au serikali? Kama huna unayemsubiri. Sasa muambie Mtibeli hapa, nini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 35 imekufanya uache jambo gani ambalo zamani lilikuwa sehemu ya maisha yako ?

    Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
  4. JamiiForums Tanzania Maombi ya Yabezi ni muhimu sana kwa maisha yako, usiache kuyaomba.

    Maombi ya Yabezi yanatoka katika Biblia kwenye Kitabu cha 1 Mambo ya Nyakati 4:9-10. Yabezi alikuwa mtu aliyekuwa na mwanzo mgumu kwa sababu mama yake alimzaa kwa uchungu na kumpa jina "Yabezi" linalomaanisha "maumivu" au "teso." Hata hivyo, hakukubali jina lake au mazingira yake yamainishe...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mtiririko wa gundu unavyokufikia kupelekea utafutaji na amani ya maisha yako kuwa wa tabu sana

    Ushawahi jiuliza inakuwaje tajiri anahonga hadi nyumba mwanamke lakini mwanae akimuomba hata ps3 anakuwa mkali sana, Matajiri hutumia njia ya sex na mabinti wengi ili ku -extend energy ya utajiri wao wa giza. Sasa unakuta hawa mabinti wana kuwa carriers wa roho nzito na giza ndani yao...
  6. JamiiForums Tanzania Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

    Na walizungumza nini kwa mfano? Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana? au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha Yako bila Yesu yatakua Magumu sana lazima Kuna Siku Utapotea

    Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu. Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu. Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya kutosha? Unao upendo wa kutosha? Je unao uvumilivu na ustahimilivu wa kutosha? Unamhitaji Yesu ndugu...
  8. JamiiForums Tanzania Namna neno la Mungu kutoka kwenye Biblia linavyoweza kukupa MAARIFA kwenye maisha yako

    Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist ๐‘บ๐‘ฐ๐‘ต๐‘จ ๐‘ฒ๐‘จ๐‘ต๐‘ฐ๐‘บ๐‘จ ๐‘ฏ๐‘ผ๐‘ซ๐‘ผ๐‘ด๐‘จ ๐’€๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ผ ๐‘ต๐‘ฐ ๐‘ถ๐‘ต๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฌ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ ๐‘ต๐‘จ๐‘บ๐‘ฏ๐‘จ๐‘น๐‘ฌ ๐‘ต๐‘ฌ๐‘ต๐‘ถ ๐‘ณ๐‘จ ๐‘ด๐‘ผ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ผ ๐‘ต๐‘จ ๐‘พ๐‘จ๐‘ป๐‘ผ ๐‘ถ๐‘ต๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฌ ๐‘ณ๐‘ฐ๐‘พ๐‘ฌ๐’๐‘ฌ ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘พ๐‘จ๐‘ท๐‘จ ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ผ๐‘ฝ๐‘ผ ๐’€๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ฌ๐‘ต๐‘ซ๐‘ฌ๐‘ณ๐‘ฌ๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ท๐‘จ๐‘ด๐‘ฉ๐‘จ๐‘ต๐‘จ ๐‘ฒ๐‘พ๐‘ฌ๐‘ต๐’€๐‘ฌ ๐‘ด๐‘จ๐‘ฐ๐‘บ๐‘ฏ๐‘จ, ๐‘ด๐‘ฉ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ผ ๐’๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ฐ๐‘ญ๐‘ฐ๐‘ฒ๐‘น๐‘จ (๐‘ด๐‘จ๐‘จ๐‘น๐‘ฐ๐‘ญ๐‘จ) ๐‘ต๐‘จ ๐‘ด๐‘ฐ๐‘ผ๐‘ฑ๐‘ฐ๐’๐‘จ ๐™’๐™–๐™š๐™—๐™ง๐™–๐™ฃ๐™ž๐™– 4:12 ๐‘€๐‘Ž๐‘Ž๐‘›๐‘Ž ๐‘๐‘’๐‘›๐‘œ ๐‘™๐‘Ž ๐‘€๐‘ข๐‘›๐‘”๐‘ข ๐‘™๐‘– โ„Ž๐‘Ž๐‘–, ๐‘ก๐‘’๐‘›๐‘Ž ๐‘™๐‘–๐‘›๐‘Ž ๐‘›๐‘”๐‘ข๐‘ฃ๐‘ข...
  9. JamiiForums Tanzania Tunaishi sana kwa matumaini, ila nikutaarifu kuwa hata katika lowest point ya maisha yako kuna mtu atafaidika na tabu zako. Ukipata fursa leo usilale

    Kwa huu uchumi wetu wa "UPIGANIZATION" unatakiwa uChape ilale. Chapa kabisaaaaa mwana waneee Ichape kama kesho haipo Muda wa kumpuzika iwe kifo chako maana maisha hayana thamani tena. Unaetegemea urahisi kutoka kwake mpunga alionao ataula na vitukuu vyake na yeye mwenye aliiichapa ilale...
  10. JamiiForums Tanzania Prove me wrong, hizi kazi au biashara ukifanya usipobadilika uwezi kutoboa maisha yako yote

    Ualimu/kuajiriwa halmashauri. Wazee wa tgs brother hapa usipokuwa mwizi, usipofikiria nje ya box, usipokuwa na determination kali nafasi ya kutoboa itakuwa ni ndogo, kwasababu maisha yatakuwa magumu mpaka utakapostaafu. Ukibadilika ukawq smart ukaongeza ujuzi wako unaweza kupunguza ukali kidogo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu ambazo hupelekea wakati mwingine umeme kukatika katika

  12. JamiiForums Tanzania Watu wanne ambao unatakiwa kuwasamehe kwenye maisha yako

    Wa kwanza ni wazazi wako, Yes wazazi wako,wazazi wetu kwa namna moja au nyingine kwenye makuzi yetu kuna mambo ambayo huenda sio kwa ubaya au bila wao wenyewe kujua,tunajikuta wametukwaza sana na kutuachia majeraha makubwa sana. Tumekuwa tukiwalaumu,tukiwa chukia na saa nyingine kutopenda kuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mtumishi wa umma maisha yako yapo hatarini kwa ushirikina masaa 24 siku 365.

    Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo. Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia. Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
  14. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata. Leo nimeitwa kwenye kikao...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi AI Inavyoharibu Maisha Yako Kimya Kimya

    Akili Bandia (Artificial Intelligence - AI) haijaja na bunduki wala vita vya wazi, bali imeingia taratibu kupitia vioo vya simu zetu. Wakati wengi wakisherehekea urahisi unaoletwa na AI, kuna mabadiliko ya kimya kimya yanayotokea kwenye ubongo na maisha yetu ya kila siku: 1. Inaua Uwezo wa...
  16. JamiiForums Tanzania IPhone, SmartTV, AI... na vifaa vingi 'smart' vinakuangalia na kukufuatilia maisha yako

    IPhone ni EYEPhone = inakuangalia SmartTV ina uwezo wa kukurekodi ... haijaitwa smart bure AI inatangazwa kutusaidia... ivi wenye GMAIL umeshagundua AI inasummarise email zako? manake inazisoma. Kote tunakowasiliana INSTAGRAM, WHATSAPP sasa AI imerahisisha kutufuatilia * kuwa mtu wa kucheki...
  17. JamiiForums Tanzania Kama maisha yako hayasomeki usifikirie kabisa kufuga mbwa aina ya Belgian Malinois

    Kwa mtu ambaye maisha yake hayana utulivu au hayana ratiba maalumu, Belgian Malinois mara nyingi si chaguo sahihi. Kwa nini? 1. Anahitaji mazoezi mengi sana. Si kutembezwa dakika 20 tu ukaona inatosha. Mara nyingi huhitaji saa 1โ€“2 au zaidi za mazoezi makali na shughuli za akili kila siku. 2...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kumruhusu mtu aliyekuacha kurudi kwenye maisha yako, umemruhusu akuchukilie poa!

    Anachoongea kwa maandishi "Na nikuambie siri ya watu wanaorudi katika maisha yako. Wanao rudi au unaokubali kurudi. Kwanza, lazima ujuwe kwamba katika level ya watu kudharaulika, wewe uko kwenye level ya deki hiyo. Au ile bamba tunayoweka mlangoni kabla hatujaingia ndani tunafuta miguu yetu tu...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

    Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa). Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe. Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
  20. JamiiForums Tanzania USA kuna maeneo sio ya kutafuta maisha ni kutafutwa maisha yako

    Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa. Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo. Nikawaza hawa waliopo Ulaya mfano USA hapo new york wanaweza kuwa Dar ya Morogoro Malinyi ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ