Huwa najaribu kutengeneza heading fikirishi ili tujaribu kudadisi ukweli.
Nilisikia watu wanaongea kwamba kuna uhusiano kati ya majira mbali mbali ya mwezi na akili/ubongo wa binadamu.
Wengine wanasema kuna supernatural power ambayo ukikaa sehemu tulivu kama mlimani au sehemu yoyote tulivu...
Napitia kipindi kigumu sana kwenye mahusiano aisee mimi ni kijana 25+nimekuwa nikitamani sana kuwa kwenye mahusiano ofcourse nilikuwa nipo na mahusiano na mdada mmoja but atukudumu sana sababu ni gold diger hivyo nikaamua kumuacha kwa usalama wa pesa zangu na malengo yangu.
Baada ya kukaa muda...
Sina mengi ya kusema kichwa cha habari Kiko bayana karibu tuzungumze wengine mna mtazamo gani kuhusu wanawake hasa kuvaa shanga.
Vibe langu limekaa kwenye shanga, obviously shanga huambatana na miuno kama yote
Pang Fung Mi
Katika Harakati za Kujamiana na watu mbalimbali kwenye mitandao basi nikapata binti mmoja nikamwelewa sana Ila siku ya appointment picha alizotuma na mwana dada niliyekutana nae ilikuwa ni ardhi na mbingu
🤣Dah filter ipigwe fine wazee
Vipi kwenu, wadau ilikuaje mpaka ukasema hutaki tena...
Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
Basi bwana, mimi ni ke Nikasema nimekua single miaka 3 ngoja nijiunge dating site nione kama naweza pata mpnz.
Looooh....Najutraaa
Hivi unaweza pata mpnz wa na kuanzisha mahusiano kwenye dating app.?. Maana kila mmoja anataka kupiga na kusepa.
Je wapo waliopata wampenzi na mahusiano kwenye...
Wakuu
Naishi vipi na huyu mrembo wa kishua kama rafiki tu, naona haiwezekani.
Nitumie njia gani huu urafiki wa kawaida unipe tunda hili.
Wataalamu na wabobezi wa jf nijuzeni kwa niaba ya wadau wengine pia
Asante
DATING RULE 01.
Usimpe au kumfanyia mwanamke wako mambo makubwa ambayo hauwezi kumfanyia maisha yake yote au ku maintain moja kwa moja.
Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako utakayoweza kufanya hata ukimuoa.
DATING RULE NUMBER 02.
Mchumba akikukubali na akawa anakupenda kweli, kazi yake ni...
Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa,
Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA"
Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu
Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path.
Manzi akikuheshimu...
1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu...
Wadogo zangu kabla hujaanza mahusiano na mwanamke, hakikisha anaweza kula kwa kipato chake mwenyewe. Hakuna kuanza uhusiano na mtu anayekuomba mtaji, umkute bize na mambo yake ndiyo umpe support. Unaweza kudhani umepata mpenzi kumbe mwenzio kapata pa kuhemea. Kila mtu anastahili kupata kilicho...
Huyu ni binti ambae nilianza kuwasiliana nae kama mwezi hivi umepita na sikutaka mambo ya kuonekana nina uchu kwa kumtongoza haraka haraka mana tulikutana kwenye event flani ndo tukapeana namba za simu.
Kwa muda wote huo tulikua tunajuliana hali na chatting za hapa na pale mpaka tukaanza...
Habari wakuu, niliwahi kuuliza hili swali kipindi fulani ila sikupatw majibu hivyo nalirudisha tena kwenu wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye...
Mahusiano yana usiri mkubwa sana kiasi cha kujirudiarudia kwa watu wengi. Ufuatao ni ukweli kuhusu mapenzi na mahusiano
• Lazima muwe tofauti, mmoja mtulivu mwingine awe kicheche(ukweli mchungu)
• Lazima mmoja awe wa kujishusha au kuonekana mjinga kwa mwenzake(akianza kuonesha kujua mambo ndo...
Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nilifanikiwa kuwa kwenye mahusiano na mkaka mmoja hivi mwenye umri wa miaka 30.
Tulipendana kwa mtazamo wa macho ya nyama. Ila maisha yalibadilika nilivyobeba mimba. Mvutano ulikuwa mkubwa sana.
Let's go.... Safari yangu ya ujauzito bila baba wa...
Habarini,
Ukichunguza vizuri mahusiano mengi sahivi,
Mdada akiwa na birthday atategemea kupokea outing, lunch, and gifts toka kwa boyfriend wake, ila boyfriend akiwa na birthday mdada hatompa boyfriend kitu chochote.
Mkiwa mnatembea mtaani, mdada akiona kitu kizuri kitachomfaa, k.v kiatu...
Kigezo Cha kuwa kwenye mahusiano kimekuwa kimoja🤔tu utasikia watu mtaani Wakina dada wanasema "tafuta hela"?! Utaweza kummliki huyo demu
Lakini watu waliojipata kifedha mfano "vunja bei " wakati fulani alipublish sana swala la Kuhonga
Ina maana hakuna aspect nyingine zinazowakutanisha watu...
Kuna muda mwanamke yupo na wewe kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sababu ni masikini hana chaguo lingine la ziada.
Ukweli ni kwamba wanawake wengi tunaotembea nao na wale mliowaoa wanashikilia mahusiano ya mapenzi na wanaume zao kwa sababu wanataka msaada wa kiuchumi.
Ni masikini ,hawana...
Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
Asili ya muingiliano wa mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke kila upande una jukumu lake. Mwanaume ni provider na protector, mwanamke ni reciever na helper, na huu ndio ulikua msingi wa kumuweka mwanamke kando kwenye masuala magumu na muhimu.
Bahati mbaya hapo karne za katikati kuna baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.