mahusiano

  1. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Pesa sio kitu pekee cha kumfanya mwanamke atulie na wewe kwenye ndoa au mahusiano

    Siku hizi kuwa na pesa sio kigezo cha kumfanya mwanamke wako au mke wako atulie kwenye ndoa au mahusiano yenu. Hili limethibitishwa na alichokifanya yule afisa wa Equatorial Guinea ambae ametembea na wanawake wengi na kufanikiwa kuwarekodi wote na kibaya zaidi hata wale wanawake wenyewe walikua...
  2. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wa siku hizi wanapaswa kupeana Password za Simu au kila mtu na yake?

    Kila siku tunasikia mijadala inayoibuka kuhusu privacy kwenye mahusiano, na swali kubwa ni hili: Je, wanandoa wa kisasa wanapaswa kupeana password za simu zao au kila mtu abaki na yake? Tuko kwenye enzi ya teknolojia, ambapo simu imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya mtu binafsi – kuna wale...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso, Aziz Ki aachwa

    Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka. Chanzo: mwanaspoti_tz
  4. Grahams

    JamiiForums Tanzania Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wandoa wapya ama Wapenzi waliokuwa wakiishi pamoja Kwa muda mrefu kuingia Kwenye migogoro na hatimaye Ndoa zao kuvunjika ama wakati mwingine uchumba wao wa muda mrefu kuvunjika. Tukiwa kama Wazazi ama watu tulioishi na kupitia mahusiano tunaweza...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Jenga Ndoto au Jenga Mahusiano: Chagua njia yako

    Kwa wadogo zangu wote ambao bado mnapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu) Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
  6. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Jenga ndoto au jenga mahusiano. Unatakiwa kuchagua kimoja

    Vijana wenzangu wote ambao bado tunapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu) Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
  7. Massawejr

    JamiiForums Tanzania Usemi wa kwamba mwanamke akikupenda hakuombi ela ni una ukwel kiasi gani?

    Hivi wadau nina swali moja. Hivi ule usemi wa kwamba mwanamke akikupenda hakuombi ela ni una ukwel kiasi gani?
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwanini Shemeji wa Kiume huwa na hisia za chuki unapokuwa na mahusiano na Dada yake?

    Wakuu tujadiliane hili kidogo Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara...
  9. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Utandawazi usikuharibu, Epuka mahusiano na binti au vijana wa shule! Jela kupo na vyumba vya cell za polisi vinahitaji watu.

    Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
  10. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

    Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri. Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
  11. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

    Kumetokea nini kwenye jamii ya Sasa mbona kila sehemu NDOA zimekuwa shubili Yani amani hakuna furaha ya MAHUSIANO hakuna tabu tupu shida ni nini?
  12. Ndesalee

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu unaelekea kunishinda.
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

    Kila mmoja utamani kuingia kwenye mahusiano; haijalishi anapata faida au hasara, ingawa wapo wachache wanaopata faida, na pia wapo wengine wanapata hasara na kujikuta wanarudi nyuma miaka 20 iliyopita kimaendeleo. Sasa ndugu zangu nawauliza; Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha...
  14. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanafanya mahusiano kama ajira

    Inakuwaje binti anaishi na familia yake, namaanisha baba na mama na bado analilia kuhudumiwa kama vile mtoto yatima?? mahusiano ndio kwanza yana wiki mbili sijakuowa unaishi kwenu na bado unataka kuhudumiwa kama mke wa wan ndoa, Aisee nimeshangaa sana bora nitafute visa tu nikimbie nchi hawa...
  15. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Usikute Yeye Ni Ndumilakuwili: Mapenzi ya Kijanja au Kuingizwa Chaka?

    Mwanaume au mwanamke wako anapokufanyia vituko vya kushangaza, kama ku-mute simu akilala au kubadilisha password mara kwa mara, unajua kuna mambo. Hivi unadhani ni sawa kuingia kwenye mahusiano ya kutomwamini mtu? Au kuna uwezekano kwamba huyu mtu wako ni mdumilakuwili? Karibu hapa tujadili...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidika sana kwenye mahusiano ama ndoa ?

    naomba mnisaidie kujibu ili swali maana watafiti hewa wamenichanganya na mchoro wao huu chini
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

    Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa. Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga. Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
  18. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya mbali ni aina nyingine ya utapeli

    Mahusiano mazuri ya kimapenzi ni yale ambayo wote wawili kwa maana ya mwanamke na mwanaume mpo mkoa mmoja hivyo ni rahisi kuonana. Pindi mmoja wenu anapokua mkoa mwingine mfano wewe mwanaume upo Dar na mpenzi wako yupo Kigoma tayari mahusiano hayo yataanza kupoteza mvuto. Mara nyingi kwenye...
  19. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza

    Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza. Uoga wa kumpoteza utakufanya kushusha chini standards zako na kupuuzia red flags unazoziona kutoka kwake. Iwe kumsomesha, kumfungulia biashara mwanamke n.k, usifanye ilo kosa, kwa sababu utakua mateka wa wema wako...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ule utaratibu wa wanandoa au wapenzi kuwa na vitanda viwili urudi tu italeta afya ya mahusiano

    kwa miaka ya zamani kwa baadhi ya makabila familia zilikuwa na utaratibu wa wenza kuishi nyumba mbili tofauti ambapo mme aliishi nyumba kubwa mke nyumba ndogo pamoja na watoto wake Baadhi ya makabila wao chumba kimoja kitanda viwili Kila mtu kitanda chake mme kitanda chake mke kitanda chake...
Back
Top Bottom