mahusiano

  1. PSL god

    JamiiForums Tanzania Usiingie kwenye mahusiano na mwanamke wa mtaa unaoishi

    Mwenye sikio na asikie 😁😁😁😁😁😁
  2. the truther

    JamiiForums Tanzania Mabinti wengi wananihitaji kwa ngono tu na siyo mahusiano

    Habari wadau..mi ni mgeni humu naomba nipokelewe.. Mi ni kijana wa makamo,Nina tatizo Moja kubwa na linanitesa sana.. Kwenye mahusiano natokea kupendwa sana na mabinti,lakini wanataka sex TU, nikitaka mahusiano ya kudumu hawataki. Inanichanganya sana, na wengine wanakuchana live,kwamba...
  3. Samaritantz

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mahusiano naomba ushauri

    Habari za wakati huu jamani. Mimi ninachangamoto moja ninapendwa na mwanamke ambae tayali kwao amesha tolewa posa na huyo mwanamke hataki kuniacha. Naombeni ushauri wadau.
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Makosa ya kuepuka baada ya mahusiano kuvunjika

    Mahusiano yanapovunjika huwa kuna mabadiliko ambayo hujitokeza ndani ya mwili, Watu wengi hawajui kueleza maumivu hayo husema tu "mapenzi yanauma sana" lakini ukihoji yanauma vipi na sehemu gani wengi hawajui wala hawawezi kueleza.Hivyo basi badala ya kuishi huku unasikia stori za mapenzi...
  5. niomi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kwa namna gani unamuacha mpenzi wako wa muda mrefu? Unachukua hatua gani akiwa anaongea vibaya kuhusu wewe?

    Habari zenu wana JamiiForums. Nimekuwa mfuatiliaji wa hili jukwaa kwa muda mrefu lakini kwa sasa nimeamua kujiunga kabisa ili niwe nachangia maoni mbalimbali, Leo nahitaji maoni yenu kwa wale(wanaume) walioamua kuwapiga chini wapenzi wao wa muda mrefu waliokuwa wamepanga mipango na kuahidiana...
  6. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Uhuni katika mahusiano

    Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha. Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya...
  7. monotheist

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mahusiano ya mapenzi niliyopitia mwaka 2024

    Mwaka 2024 lengo langu lilikua ni kitafuta mwenza hatimae tufunge ndoa lakini mambo yalikua tofauti kulingana na changamoto nilizokutana nazo katika mahusiano kutoka kwa wanawake mbalimbali Mwanamke wa kwanza; Huyu dada nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka 2023 nilimpenda sana na nilikua tayari...
  8. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania First impression at first sight ndiyo hubeba kibali cha mahusiano yoyote. Jipange vyema unapokwenda kukutana na mtu au taasisi kwa mara ya kwanza

    Usijieleze sana, maana haibadilishi chochote. Binadamu anakupenda ama kukukubali dakika tano tu za kwanza anapokuona, hata kabla hujajieleza. Namaanisha, binadamu anakukataa moyoni dakika tano tu za kwanza mara anapokuona kwa mara ya kwanza. BILA SABABU YOYOTE, yaani, JINSI ULIVYO TU...
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 ambayo MWANAMKE hutakiwi kuficha pale unapoanza MAHUSIANO!

    Mambo 5 ambayo MWANAMKE hutakiwi kuficha pale unapoanza MAHUSIANO! (1) Umri wako; Kuna wanaume wanajali kuhusu umri, najua unaogopa labda ukimuambia ukweli atakukimbia, ila jua kuwa ipo siku ataujua ukweli, kwa maana hiyo muambie mapema, ili asije kukuacha tayari ushampenda na ushapoteza muda...
  10. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Kijana unaishi ndani ya Jiji kama Dar es Salaam halafu unateswa na mahusiano

    Kabla ya yote, Maisha ni Mahusiano Dar es Salaam kama yalivyo majiji mengi kuna idadi kubwa ya watu. Na sehemu kubwa ya hao watu ni vijana. Kila mwaka kuna idadi kubwa ya vijana wa kike na kiume wanaingia jijini, iwe kutafuta elimu, kutafuta kazi, na hata kutembelea ndugu. Na wengi hapo...
  11. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ambaye ana kazi yake nzuri na elimu inakuwaje unaleta mwanaume zaidi ya mmoja sehemu uliyopanga?

    Wasalam wakuu. Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri. Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni...
  12. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Mapenzi! mapenzi! mapenzi! Nimetamka mara tatu. Sasa ole wako kijana! kabla hayajakukuta pitia hapa

    Vimiaka vyangu kadhaa katika mapenzi nimekuja na uzoefu ufuatao.. Mosi: Hakuna haki kwenye mapenzi,, the game is too brutal sometimes. 2,, Kuwa single ni level fulani ya uhayawani so avoid being single. 3,, The best friend of yours is your lover so be careful not to pass your only secrets to...
  13. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania KUWA NA PISI NYINGI INAKUWA HIVI

    Ngoja nitoe Siri ya kambi ipo hivi sisi wanaume hua tunapenda kua na mahusiano na mwanamke mmoja shida inaanzia nakufata nakutongoza unanizungusha ghafla namuona mwengine kwakua wewe sina uhakika utanikubalia naona nimjaribu na huyu nae anasema ntakujibu mambo Ni mengi mda mchache unaamua tena...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Sidumu kwenye mahusiano

    Kama kichwa cha hapo imeandika, mimi sijawahi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi sita nitaeleza kwa visa vya wanawake watatu. Wa kwanza nilidumu nae kwa mwezi mmoja, wakaenda kwao likizo baada ya hapo mahusiano yakaisha akawa ana dharau hata nikimwita mara anisimamishe njiani. Kama siku moja...
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli.

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake hujifanya wana mood swings na kuitumia kutesa na kupelekesha wanaume mabwege

    WANAWAKE HUJIFANYA WANA MOOD SWINGS NA KUITUMIA KUTESA NA KUPELEKESHA WANAUME MABWEGE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usikubali mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha mood swings. Usikubali! Kuna wanawake Wana tabia ya kupelekesha wanaume wakijifanya ati Wana mood swings. Mood swings...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

    Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi. Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku ya Jumanne kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 na maafisa wa Umoja wa Ulaya walijitayarisha...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kula bila kuona chakula chenyewe?

    Naam hujakosea, nitaeleza kwa ufupi kwakua mimi sio muandishi sana. Miaka kama miwili nyuma wakati nasoma chuo mwaka wa mwisho nilizama penzini na mtoto aitwae A... Fa (aged 19 - 21) alikua akiishi kigamboni huyu mtoto kwanza kabisa nilimpata kirahisi sana kwakua alikua ameachwa na bwana wake...
  19. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya mapenzi na ndoa huitaji mtu mmoja mjinga, two smart people they can’t ever fall in love

    Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili Ni Hilo tu nawafundisha...
  20. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Napenda kumtakia kila la heri member financial services, nahisi anapitia magumu kwenye mahusiano...

    Mimi siyo mdau sana wa kuanzisha nyuzi kuhusu member humu ndani lakini leo nimejikuta tu ninyooshe mkono wangu kumtakia heri member financial services. Leo nilikuwa napita humu nikakutana na uzi wake february akiuliza na kuomba ushauri kuhusu namna ya kukabiliana na hali ya kufikisha miaka 30...
Back
Top Bottom