maharage

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kilimo Cha maharage chenye Tija (faida)

    Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia. Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki. Ukizingatia mbegu, upandaji, Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri? Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
  2. U

    Kwanini ukiiba Kitoweo jikoni ni rahisi kugundulika kuliko ukiiba mboga za majani au maharage?

    Tafakari ya kina
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Biashara ya Nafaka hasa maharage aina zote fika Gairo Kijiji cha Rubeho

    Wakuu habari za uzima wenu nyonte. Si Kwa ubaya Kwa wale wote hasa wafanyabiashara ya nafaka (maharage) mchongo upo morogoro wilaya ya Gairo Kijiji cha Rubeho umbali kama wa dk20 kutoka Gairo mjini. Nilifika mwenyewe kule katika harakati za hapa na pale nikakutana na mnada hivyo nikaanza...
  4. KING MIDAS

    Tujikumbushe kesi ya Magufuli

    Tundu Lissu ailaza chali Jamhuri, kesi ya Dennis Wilson aliyemkashifu Rais Magufuli Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameiangusha Jamhuri katika kesi ya kumkashifu JPM iliyokuwa ikimuhusu Dennis Wilson Wilson, mwanachama wa Chadema alishtakiwa na...
  5. L

    Maharage ya njano yanauzw

    Wakuu nina maharage ya njano gunia ishirini ziko bunju DSM. Nauza kwa mtu ambaye anaweza kuchukua gunia nyingi. Bei 2700. Zipo gunia 20, yani tani 2.
  6. ormystatus

    Kwanini Mkoa Wa Mtwara hawalimi Vitunguu na Maharage?

    Hali ya joto na aina ya udongo iliyopo mkoa wa Mtwara inaruhusu kabisa kufanya kilimo cha mazao ya Maharage na Vitunguu endapo tu utakuwa na chanzo cha maji cha kuaminika lakini watu hawalimi mazao hayo. Je, wadau wa kilimo mnadhani kwa nini watu hawalimi hayo mazao ingawa yanahitajika kwa...
  7. B

    Maharage ya njano yanauzwa

    sold
  8. Daby

    Nina Takribani Tani 16 za maharage mekundu. Bei ipoje Dar?

    Bei ya jumla. Kuhusu location usiwaze ninaweza kukusafirishia ulipo. Bei ipo vipi mjini Dar?
  9. funaku

    Cheo hiki kikubwa lazima kiheshimiwe sio kila aliyeshiba maharage tu awe anakitaja ovyo ovyo!

    Mamlaka hutoka kwa Mungu hayaji kiutaniutani tu. Sio wote tunaweza kuwa marais au mawaziri au viongozi. Hii ni karama yenye utukufu na kamwe haiwezi kubezwa tu. Ni kweli ipo mifano toka karne na karne inayoonesha baadhi ya Viongozi au watawala waliwahi kuabuse nafasi hizo. Uzoefu huo...
  10. Madame B

    Tupike pamoja wali nazi, maharage nazi na miguu ya kuku.

    Leo siku ya Ijumaa niliamka nikiwa nina hamu ya kula kitu kichachu chachu japo sina 🦎 wala nini. Asubuhi huwa naamka na hii detox special kwa ajili ya kupunguza uzito. Imenipunguza toka huko niliko mpaka sahv kwenye kg 75. Huwa nina program hiyo kwani hukata uzito balaa na huwa nakuwa nayo...
  11. gallow bird

    Ni miaka mingi hawa watu humu ndani wamepotea au kuzimika

    Huyu mtu mwenye ndoto/maoni ya kweli tu wapi!?..nakumbuka maono yake kuhusu machi 17 na ajali ya ndege kule bukoba Au 'wenyewe' wamekuzuwia kuanika ndoto kuhusu jamhuri hadharani!? U wapi ndugu yangu!?
  12. H

    Soko la maharage Dar

    Wapendwa tupeane mchongo ndugu zangu. Je ni soko gani kwa hapa Dar linaongoza kwa biashara ya maharage? Yaani kama naleta kutoka mkoani naweza kupeleka soko gani ambapo wanachukua bila usumbufu mwingi? Pia ni aina gani ya maharage inayonunulika sana. Na kama una idea ya bei kwa mwezi April 2025...
  13. D

    Nauza Mchele mzuri na Maharage kutoka Mbeya kwa bei nafuu

    Wakuu kwema! Nina mchele mzuri wa kutosha pamoja na maharage ya njano Mchele Jumla 2400 tsh kuazia kilo 100 Rejareja 2700 tsh Maharage Jumla 3000tsh kuazia kilo 100 Rejareja ni 3400 tsh Wenye maduka ya rejareja pia tueasiliane Location nipo Tabata Majichumvi (kwa mkuwa) Nakuletea popote...
  14. anxto

    Kilimo cha maharage

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia kama mboga kwa binadamu. Katika ekari moja unaweza kupata Kg...
  15. M

    Wali bila maharage ni uharibifu wa mchele

    Jionee mwenyewe👇
  16. Half american

    Ipi mbegu nzuri/bora kwa kilimo cha maharage soya ya njano?

    Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa aina nzuri ya mbegu ya maharage soya ya njano, nmeambiwa zipo aina zaidi ya moja itapendeza mkiweka na bei yake. Mbegu ambayo inafanya vizuri shambani na sokoni. Natanguliza shukrani.
  17. Yoda

    Haya maharage ni ya matajiri?

    Wakuu Hivi haya maharage ni ya matajiri?
  18. Mr Beach Boy

    Nimenunua pressure cooker, Cha ajabu natumia saa moja na nusu kupika maharage. Nakosea wapi?

    Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie Mwanaume nimeamua kupika Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na nusu ila maji hayajauki mpaka kupungunza Nakosea wapi wakuu
  19. D

    Bei za maharage

  20. Magical power

    Pythagoras tajiri alie kufa kisa kuogopa maharage

    Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba Kutokana na umaarufu na utajiri wake...
Back
Top Bottom