mahali

Mahali, Mahle, Mahili are an ethnic group in India, Nepal and Bangladesh. The Mahali are local peoples to the states of Jharkhand, West Bengal and Odisha. They mostly reside in areas of West Bengal and Odisha near the Santhal Pargana division of Jharkhand. Mahali people form a different tribe which is sometimes grouped together with the Munda tribe. They speak the Mahali language, which is considered a dialect of Santali. The language only had around 33,000 speakers in 2007.

View More On Wikipedia.org
  1. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kuna muamala ulikosewa kutumwa mahali, bila uoga akasema sirudishi asante kwa kuniokoa.

    "Mtu akapigiwa simu, samahani kuna muamala umetumwa kimakosa kwako, tunaomba uurudishe. Akajibu poleni sana, kwakweli hii ni bahati yangu, siwezi kurudisha 😆 Na ni mwanamke" Kwa sasa ukikosea muamala jiandae kisaikorojia, watu hawana muda na hawaogopi chochote, hii nchi imechangamka kwa sasa. 🤣🙌
  2. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuandika maandishi mahali na kuyahifadhi ili baadae kuyachapisha au kuyahamishia mahali pengine

    Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote. Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kama waziri kuonana na Rais ni changamoto hivi, kuna shida mahali

    Msikilize, Prof Mkenda akilalamika mbele ya Rais kwa kunyimwa nafasi ya kuonana na Rais. Au labda ni kuhimarisha ulinzi wa Rais? Wanajukwaa mna maoni gani kuhusu hili.
  4. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Kila kwenye kundi la watu, Kuna mtu huniambia nafanana na mtu aliyewahi kumuona mahali au anayemfahamu

    Ni matumaini yangu mpo salama kabisa. Wakuu hii tabia ya kuwa kwenye kusanyiko lolote au unakutana na watu tofahuti Kila mara halafu wananambia nimefanana na mtu eidha aliyewahi kumuona au anayemfahamu imenichosha na naona kabisa inanikera. Hivi Kuna mtu yeyote aliyewahi au anayekutana na hii...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Vijiji Vyote sasa Vina Umeme na Smart Phone, Tundu Lissu Samia wanajulikana Kila Mahali

    CCM Hapo zamani walikuwa wanatumia udhaifu wa elimu ndogo na mawasiliano dhaifu kudanganya na kuhujumu mambo ya uchaguzi, sasa mambo yamebadilika , serikali hiyo hiyo ya ccm imefikisha umeme kila kijiji na kuboresha mawasilino karibia vijiji vyote 13,000. CCM wapiga kura wao wengi walikuwa ni...
  6. U

    JamiiForums Tanzania "Lakini wana wa masuria aliokuwa nao Ibrahimu, Ibrahimu akawapa zawadi, naye akawaondoa katika mahali alipokaa Isaka Mwanawe, wakati wa uhai wake"

    Wadau hamjamboni nyote? Ukweli uko wazi na lazima usemwe hata kama unakera Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Siku njema Genesis 25:6
  7. albab

    JamiiForums Tanzania Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

    Kwa mara ya kwanza nafika nilifurahia mazingira mazuri, ukijani mwingi na Hali ya hewa tulivu kabisaaa ikiambatana na mvua hasa nyakati za asubuhi. Baadhi ya Maeneo yana muonekano mzuri wa ziwa hivyo kufanya Mkoa huu kuwa kuwa na view nzuri hasa Kwa wageni. Kwa kuwa ni mzee wa Fursa Cha kwanza...
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,msikilize Mkuu wa Mkoa wa Tabora! Chukua hatua Jimbo la Moshi Mjini Kuna shida mahali!

    Sitaongea mengi! Huu ni mwaka mpya! Sikiliza
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unaweza kusafiri kwenda mahali usiyoijua lugha yao?

    Chukulia kuwa hujui Kingereza, utdhubutu kwenda kwenye nchi wasioongea Kiswahili bali English pekee bila kuwa na mkalimani? Jipe hiyo changamoto uone matokeo yake. Nenda labda Zambia au Malawi. "Hutakufa", badala yake utajua wewe ni mbunifu zaidi ya ulivyokuwa ulivyojikadiria. Mwisho wa siku...
  10. Dr hyperkid

    JamiiForums Tanzania Unakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter

    unakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter,huyo bar med atakusaidia nini zaidi kujizalilisha..wengine wakunywa pombe kali hawajala matokeo yake wanajisaidia haja kubwa mitaani mambo ya hovyo kabisa. kesho tena linaingizana likiwa timamu watu wanalisanifu tuh. huu...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Je mahali ulipo unapata huduma za simu kama onavoatahili?

    Kwa takribani wiki nzima sasa mawasiliano ya mtandao wa Vodacom ni mabovu kupindukia. Kila simu unayotaka kupiga lazima ujaribu mara mbili au tatu ndo simu inaunganishwa.
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Yesu atakuja kila jicho litamwona angalieni mtu asije akawadanganya mkisikia yesu ameonemana mahali flani msisadiki hatokuja kwa siri

    imeandikwa kurudi kwa yesu hakutakuwa kwa siri yeye atarudi kila jicho litamwona na mtu akikwambia yupo mahali flani msisadiki wala msimsikilize yesu atarudi na ufalme wote wa mbinguni atakuja kama bwana wamabwana, mfalme wa wafalme, mungu wa miungu na jeshi kubwa sana na nguvu nyingi sana na...
  13. dogman360

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na graduate wa ualimu asiyejua maana ya curriculum

    Kuna jamaa yangu mmoja aligraduate mwaka jana chuo. Mwezi wa Oktoba akaomba kazi kwenye shule moja ya kimataifa Arusha. Wakati wa usaili, aliulizwa kama ana uzoefu wa kufundisha international curriculum. Akajibu “yes.” Wakamuuliza tena aseme specifically, “Which curriculums can you teach?”...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya UN Women yabainisha Nyumbani ni Mahali Hatari Zaidi kwa Wanawake

    Ripoti mpya ya UN Women inaonyesha kuwa wanawake na wasichana 85,000 waliuawa kimakusudi na wanaume mwaka 2023, ambapo asilimia 60 (51,100) ya vifo hivyo vilitokea mikononi mwa wenza au wanafamilia wa karibu. Hii inathibitisha kuwa nyumbani, mahali ambapo wanawake wanapaswa kuwa salama zaidi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Walimu wa kiswahili wa shule za sekondari kuna mahali mnafeli pakubwa

    Hivi mtoto wa fomfour miaka 17 hadi 20 inakuwaje hawezi kutofautisha Kati ya "r" na "l" "Karibu" mtoto anaandika " kalibu" 👉Kwenye matamshi ya lugha binafsi siwezi tupa lawama hii ni kutokana na athari za kimakabila/kilugha Lakini swala zima la maandishi imekuwa ni changamoto sana 👉Matumizi...
  16. Baba Benson

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kujua mahali naweza pata nafasi Quality assurance officer

    Habari wana JF katika jukwaa letu hili pendwa, Nina shahada ya sayansi katika kemia UDOM. Sijabahatika kupata kazi serikalini kama mnavojua ugumu ulivo lakini nimefanya kazi katika kitengo cha ubora ( Asst lab tech na Quality supervisor) katika kiwanda cha kuchakata samaki ambapo kimsingi...
  17. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kubwa,ishi mahali popote ulipokuwa ukifanyia kazi kuliko kwenda kuishi kwenu,utadharirika!

    Je Wajua ya Kuwa Bugger Kwa Kiswahili fasaha uitwa "SANGWEJI ?" Ndiyo,chukua hiyo kama ulikuwa haujui! Kumekuwa na tatizo la waastafu wengi kupata shida kurudi mikoani,wilaya kwao kuanza maisha upya pindi wanapostaafu! Tanzania yetu ni kubwa mno na hamna haja wastaafu kurudi mkoani kwenu...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa

    Wanaukumbi. Redio ya Jeshi la Israeli: Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa.. ========================= Israeli Army Radio: A 7.7-decare area on Mount Herzl will be transferred to the...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua utaratibu wa kuwa afisa usalama mahali pa kazi Kuna mambo mengi nayashuhudia mazuri na mabaya ila nimekosa platform

    Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali) Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa Mwenye kujua anipe mwongozo
  20. excel

    JamiiForums Tanzania Kila weekend Kuna mtu mahali anagongewa mtu wake

    Thats the truth.. Yani From Friday evening mpaka Sunday Evening kuna mahali mke/mume wa mtu anachepuka mahali😅😅 Kuchepuka kwa % kubwa hufanyika siku za mapumziko (weekend) Hata zile video 400 za Legend Engonga kutoka Gine ya ikweta zilirekodiwa Siku za week end😅😅😅
Back
Top Bottom