mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania TFF yaitwa tena mahakamani kesi yakumfungia kocha Liston Katabazi

    Mchakato usikilizwaji wa kesi ya madai inayolikabili Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), iliyofunguliwa na Kocha Liston Katabazi akihoji uhalali wa kanuni za maadili zilizotumika kumuadhibu kifungo cha maisha kutojishughulisha na soka, sasa umeanza rasmi upya. Tayari Mahakama ya Hakimu...
  2. JamiiForums Tanzania Waliovunjiwa Nyumba Bagamoyo wakwaa kisiki Mahakamani

    Huzuni imetawala kwa wakazi wa Mtaa wa Udindivu Kata ya Mapinga, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani baada ya Mahakama ya Wilaya hiyo kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wananchi hao katika shauri na 18330/2025. Wananchi hao wakiongozwa na Agnes Lupembe walilofungua kesi mahamamani hapo...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Afisa Mtendaji wa Kata ya Lionja afikishwa Mahakamani kwa makosa ya rushwa

    Mnamo Septemba 18, 2025 katika mahakama ya wilaya ya Nachingwea limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 22689/2025 mbele ya Hakimu Mwandamizi Mkuu Mh.J.Mnguto, Jamhuri dhidi Seleman Ajibu Chimogo ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Lionja Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea. Mshitakiwa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Polisi kuvuruga taratibu za Mahakama, wapigwe marufuku kufika Mahakamani, Isipokuwa wale tu Walioidhinishwa na Mahakama

    Sote tunafahamu juu ya utendaji mbaya kabisa wa jeshi la polisi linapokuja suala la haki. Polisi walio wengi hakuna chochote wanachoelewa, zaidi ya kuoiga watu. Kuna matukio mengi kwenye mahakama ambapo polisi wamefanya vitendo vya hovyo vya kydhambulia watu, na kuvifanya vounga vya mahakama...
  6. JamiiForums Tanzania Jaji Makaramba “polisi wasipochukuliwa hatua kwa kuwapiga Mawakili pamoja na wanachama wa CHADEMA ipo siku Jaji atapigwa akiwa Mahakamani”

    https://youtu.be/tkcyjSzgmK8?si=N65ZIQymjU_4md7z
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA imethibitisha kufanya mipango ya kuwakusanya wananchi mahakamani kufanya fujo

  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu aomba Mahakama kuingilia suala la wafuasi wa Chadema kuzuiwa kuingia Mahakamani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amegoma kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili (kutokana na ratiba ya leo) hadi hapo hoja yake aliyoiwasilisha Mahakamani hapo itakapotolewa uamuzi na jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru Baada ya Majaji...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Huenda kipigo cha mwanachadema mahakamani ilikuwa kimkakati ndiyo maana media zote zimerusha

    Naomba kuwajulisha haya machache yatawasanua! Ile harassment ya wafuasi wa CHADEMA, jana (Septemba 15, 2025) ilikuwa kimkakati na ilipangwa kabisa ili kutaftia njia ya kuwashambulia kama ujumbe wa kutisha wanaopanga kuandamana! Ile haikutokea bahati mbaya, Ilipangwa kabisa ili wajae kwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ijayo ya Lissu, Wanachadema zaidi ya 10,000 wawepo mahakamani

    Natoa rai hii kwa Wanachadema wote nchini na wasio Wanachadema, kujitokeza kwa wingi wa maelfu nje ya mahakama kesi ijayo. Endapo Wananchi mtajitokeza kwa wingi wa maelfu basi siku hiyo itaua molari ya polisi Nchi nzima, na wote wanaofanya kampeni. Kuna kosa la kimsingi na kimkakati naona...
  11. JamiiForums Tanzania Mwabukusi akemea vurugu za polisi mahakamani, asema ni shambulio dhidi ya haki

    Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam. Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA abebwa mzobe mzobe wakimzuia kuingia mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu

    Kutoka kwenye viunga vya lango la kuingilia Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mvutano umeibuka baina ya maafisa wa Jeshi la Polisi na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao leo, Jumatatu Septemba 15.2025 wamejitokeza kwa wingi Mahakamani hapo kuja...
  13. JamiiForums Tanzania Ulinzi mkali Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani

    Ulinzi umeimarishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani hapo mchana wa leo Septemba 10.2025. Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu itaendelea tena Mahakamani hapo kesho chini ya jopo la Majaji watatu...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwasili mahakamani kwa ulinzi mkali

    Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam tunakusogezea kuona jinsi msafara uliomleta Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alivyoingia Mahakamani hapo mapema leo, Jumatano Septemba 10.2025 Lissu ambaye amefikishwa Mahakamani hapo akiwa chini ya ulinzi mkali...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama CHADEMA wazuiwa kuingia mahakamani kesi ya Lissu

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya Mwenyekiti wao inaendelea kusikilizwa, kwa madai kwamba ukumbi wa mahakama ni mdogo. Wanachama hao wamelalamika kwamba kitendo hicho...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Banksy: Leo amechora kwenye jengo la mahakamani

    Huyu jamaa ni kama mzuka Mkiamka mnakuta picha imechorwa inatafsiri mwenendo wa nchi Jana usiku allikuwa mahakamani kama kazi, walinzi wanaamka wanakuta mchoro... Naona huu ujumbe leo unatuhusu, japo picha imechorwa London, UK
  18. JamiiForums Tanzania Nyaraka za Commital Proceedings alizopewa toka mahakama ya Kisutu zipo tofauti na Nyaraka alizopewa mahakamani

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imetajwa leo, Jumatatu Septemba 08.2025 kwa mara ya kwanza kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam chini ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Ndunguru Kabla ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Jay, Mnyika, Lema na mabalozi na wanachama wamefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu

    Mabalozi na wawakilishi wa balozi mbalimbali wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A Lissuambapo leo itaanza kusikilozwa. Katibu Mkuu John Mnyika akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Professor Jay afika Mahakamani kusikiliza kesi ya Tundu Lissu

    Joseph Haule almaarufu Prof. Jay, mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwasili leo Septemba 8, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…