mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi Coplo Vicent akiri Mahakamani, hakuandika kituo anachofanyia kazi, kwenye Maelezo yake ya Polisi

    Mhe. Lissu anaendelea na Cross examination. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba uwaeleze waheshimiwa Majaji kama niliyoyasoma yanalingana na maelezo yako ya police. Coplo Vicent: ndiyo yanalingana. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba nikupitishe kwenye Maeneo ambayo nataka nikuhoji. Mheshimiwa Lissu...
  2. JamiiForums Tanzania Chuki ya Wassira kwa Mh Lissu, ni ile kesi ya Ubunge Mahakamani, Lissu alilihenyesha Wassira mpaka likataka kupigana

    Hi Zeee ni Moja ya Zee lenye ROHO mbaya mnoo. Mh Polepole aliwahi tuelezea, Namna GANI Lilivyomtukana Nyerere, na namna GANI Magufuli alivyoliweka pembeni. Ni zee korofi, lenye UCHU, Zee ambalo lipotayari kufanya lolote kwa ajili ya Cheo. Kwa sasa Linatumia Nafasi yake, kumuumiza Lissu yaan...
  3. JamiiForums Tanzania BBC Swahili imekuwa too cheap hadi kuchapisha ishu za dodoso la Lissu kule mahakamani, what went wrog ?

    Ili heshimika kama chombo kikubwa cha kidunia kikiangazia ishu kubwa kubwa za kidunia na kikanda tangu ihamishiwe Kenya imekuwa garasa hadi kuhoji vitu vya kitoto kama ndoa na mahusinanaleo ukurasa mzima ni maswali ya lisu na shahidi. Kweli? Leo BBC ni kulipiza ishu za kina Hilder na Boni yai...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Serikali hii ni ya laana, imewatafuta watu wenye dhiki ya maisha na kuwafanya mashahidi wa kificho

    Kwenye kesi bandia iliyotengenezwa na watawala dhidi ya Lisu, kila mmoja alishangaa kuona wale mawakili wa mchongo wa serika wakikazania kuwa na mashahidi wa kificho. Watu mbalimbali walitoka na hisia tofauti tofauti. Baadhi mpaka walifikia kusema kuwa labda wale waliokuwa viongozi wa CHADEMA na...
  5. JamiiForums Tanzania Kesi za kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 Zanzibar, zakutana na kikwazo Mahakamani

    https://www.youtube.com/watch?v=VvgEZ6hch6A Kwa mara nyingine tena, kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar wa Oktoba 29 mwaka jana zimeambatana na kikwazo baada ya upande wa Jamhuri kuhoji uhalali wa viapo vilivyoandaliwa katika kesi hiyo. Hoja hiyo imewasilishwa mbele ya Jaji Salma...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pombe haijawahi kujua kesho ni siku ya kazi, mtihani, kikao cha familia, safari, kwenda mahakamani, n.k. weka kisa chako pombe ilipokuharibia

    Pombe kweli haina kalenda 😂 Nilisema “nakunywa mbili tu, kesho ninaamka mapema.” Zile “mbili” zikawa 3, zikawa, 4, zikawa 6 asubuhi: Alarm inalia → nainyamazisha kwa hasira Kichwa kinapiga ngoma ya mdundiko Mdomo una ladha kama niliweka betri 🌚 Nilifika kazini nikitembea kama Wi-Fi isiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania kwa shangwe waimba rais rais wakimpokea lissu mahakamani

  8. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lisu kesho: Tafadhali chukua tahadhali mtakao kwenda mahakamani. Si ajabu wamejipanga KUUA

    Wito wangu ni huo. Ya 29/10 yanaweza kujirudia. Siwatii woga hapana. HAKUNA WOGA, Chukua tahadhali! Nendeni kwa wingi kwa tahadhali. Kila mtu awe na simu ya kuchukua matukio. Ikitokea wakaua, basi kuwa na ushahidi. MUNGU WETU NI MWEMA KILA WAKATI MUNGU WETU AWE NA NABII , MTAKATIFU LISU. AMEN
  9. JamiiForums Tanzania Kesi ya jinai inayomkabili Yohana Rugembe na washtakiwa 20 yaendelea Mahakamani, Mashitaka yaongezwa kufikia 11

    Kesi ya jinai inayomkabili Katibu Mkuu Mstaafu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya Rugembe, pamoja na washtakiwa wengine 20, imeendelea leo Ijumaa, Februari 6, 2026, katika Mahakama kwa hatua ya kusomwa kwa hoja za awali. Mashitaka 2 yameongezwa na kufanya jumla ya makosa kuwa 11.Upande wa Jamhuri...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tarehe 09 Februari 2026. Twende Mahakamani kwa Lissu

    Twende kwa wingi. Kwa umoja, Kwa amani, Kwa utulivu Kusikiliza kesi ya Lisu kama itakuwepo maana wanaweza kupokea maagizo yoyote kutoka JUU. UPO HAPO MASAJU? USIRUHUSU MAAGIZO
  11. JamiiForums Tanzania Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria. Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa. Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
  12. JamiiForums Tanzania Msukuma na Mwenzake waliopogana hadharani wapelekwe mahakamani. Kama kweli sheria ni msumeno

    Walivunja kifungu namba 87 cha sheria cha kanuni ya adhabu kwa kupigana hadharani. Wakamatwe na kwa sababu ushahidi upo wapelekwa mahakamani na wahukumiwe miezi sita jela.
  13. JamiiForums Tanzania Polisi kumshikilia Mwandambo bila kumpeleka mahakamani, kumpa dhamana wala kujulikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki

    Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki. Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ? Kuna vitendo vya polisi kuuwa na kuteka watu sasa hivi wameshindwa kuficha kuwa wao ndio watekaji na waasi dhidi...
  14. JamiiForums Tanzania Hin katambi congs sana..tunaomba kujua hasa wachina walikamatwa na sh ngapi na huko mahakamani kumetajwa ngapi?

    Kuna vid ilitrend sana Baada unasikia hizi jumla bil kama 6 jama akihesabu Mh katambi naamini umeaminiwa na n mmoja wa wafuasi wako nakupenda toka ulipokuwa kwa kazi nzuri Naomba hili mtuwekee sawa else ile ka vd kalijuwa ai AHSANTE NA CONGA SANA MH WAZIRI
  15. JamiiForums Tanzania AI na ushahidi wa picha

    Kupitia AI, Picha zinaelekea kutokua ushahidi wa kutosha mahakamani hata kutoka kwa mtu mwingine tu. Kipindi cha nyuma ukisema ulikuwepo sehemu fulani au ulishuhudia tukio fulani, halafu ukaonyesha na picha bhasi utaaminika mia kwa mia. Ila kwasasa, picha ambazo zingeweza kutumika kama...
  16. JamiiForums Tanzania Mkishakuwa mnafanya biashara haramu hamuwezi kupelekana polisi wala mahakamani

    Kwa wale wanaofanya biashara ambazo zipo nje ya sheria ni ngumu sana kumpeleka mwenzake polisi au mahakamani kisa kamzulumu. Kwa uchafu wa CCM wa serikali ya Samia ni ngumu samia na wenzake wote wa ccm kuweza kukemeana au kufikishana polisi au mahakamani. Wanaomzunguka ndio wanaharamu wenzake...
  17. JamiiForums Tanzania JamiiForums kwanini hamuwashitaki TCRA mahakamani?

    Jamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025 Hadi Leo hii Taasisi unahujumu jamii forums Kwa kiburi tu bila sababu ya msingi. 1. Jamii forums ni walipa Kodi wa serikali, kwanini wazuie huduma kibabe, bila taarifa Kwa umma 2. Jamii forums imeajiri vijana...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI

    Mchungaji Godfrey Malisa, aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro akikabiliwa na kosa la uhaini. Kesi hiyo (Namba 000028333 ya 2025) inatarajiwa kutajwa kesho, Ijumaa, Januari 2, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mathias (25) afikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara limesema kuwa, jana Desemba 30,2025 lilimfikisha Mahakamani Mathias Fabian John (25) kwa tuhuma za mauaji ya Samli Napone (42) aliyekuwa fundi ujenzi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linapenda kuujulisha umma kuwa tarehe 30.12.2025 lilimfikisha mahakamani mtuhumiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaotumihiwa kuiba Bil mbil Tamesa wanafutwa kazi na kupelekwa Mahakamani. Angela Kiziga yupo Ikulu akimsadia rais Samia Kazi

    Watanzania wakiingia mitaani na kuandamana kuwa huu utawala haufaina utakiwa kuondolewa kwa nguvu za umma Wanatumia majeshi kuwamaliza. Mtu kama Angela Kiziga alifanya ufisadi ambao ni ni dharau na kebehi kwa walipa kodi. Lakini leo hii ni miongoni mwa WanaCCM ambao ambao wapo karibu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…