mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Sabaya atoa machozi Mahakamani, adai aliweka rehani uhai wake kuitumikia Serikali mpaka akatumiwa watu kumuua

    Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake. "Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua"...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA kujazana mahakamani ili kurekodi mwenendo wa kesi kwa lengo la kupotosha jamii na kutengeneza chuki dhidi ya mahakama siyo sawa

    Mbona mwandishi anarukaru. Hii hapa iko mwananchi ila hapa hamna Taarifa ya Uchunguzi: Shahidi: 13/8/2020 Maabara ya uchunguzi wa Kisayansi ikipokea barua na vielelezo simu nane pamoja na simu card zake kwa ajili ya uchunguzi kubaini Mawasiliano kupitia mitandao ya kijamii Kama vule Whatsapp...
  3. JamiiForums Tanzania Sabaya aanza kujitetea Mahakamani, adai siku ya tukio alikuwa ofisini kwake Hai

    Shahidi wa 3, Lengai Ole Sabaya{35} ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro anayekabiliwa na Kesi ya Uhujumu Uchumi leo ameanza utetezi wake katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili yeye na wenzake sita na kudai kuwa januari 22 mwaka jana hakuwepo eneo la tukio alikuwa ofisini...
  4. JamiiForums Tanzania Ukarimu wa Wana - CHADEMA: Wakati wa break mahakamani kwenye kesi ya Mbowe tunagawa chakula

    Ukarimu wa wana Chadema katika kesi ya kuchonga ya Mhe Mbowe. Wakati wa break hapa mahakamani tunagawana chochote kujikimu; maji, chai, donati muhogo nk. Kesi itaendelea na leo ni yule shahidi aliyedai kuumwa kichwa ghafla. Mchana huu Kibatala atamsababishia maumivu ya tumbo...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni unaharakati mahakamani. Mmevuka mipaka. Ona Wakili Kibatala alivyonywea kuwatetea

    Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya kibanadamu tu...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye jukumu la kurekodi yanayoendelea Mahakamani?

    Mara kadhaa nimesoma kuwa wakili walimuomba Jaji awasomee alichoandika. Hivi Mahakama haina stenographers ambao kazi yao ni kuweka kumbukumbu ya kinachoendelea? Kama hiyo inashindikana, kwa nini wasirekodi kwa kutumia voice au video recorder? Mimi naona kumtegemea Jaji sio sahihi. Yeye...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je, Kabendera na Tito Magoti watafika mahakamani kama mashahidi wa utetezi? Kutajwa kwao kunalenga nini kwenye kesi ya Mbowe?

    Ukifuatilia kesi inavyoendelea yapo Mambo makuu matatu unayabaini kuhusu shahidi wa Jamhuri SP Jumanne. Kwanza, swali kwamba anatoka kabila gani na kujibu kwamba ni Msukuma Lina maswali mengi hasa likiunganishwa na awamu iliyopita pamoja na ukweli kwamba kituo chake pamoja na kuwa Arusha alipewa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

    Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani. Mambo mengi yatakaa sawa...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwandishi aliyeko kizuizini Uganda afikishwa Mahakamani

    Mwandishi wa Uganda anayetuhumiwa kutuma taarifa za kashfa kuhusu rais na mtoto wake wa kiume kwenye mtandao wa Twitter amefunguliwa mashtaka mahakamani, wiki kadhaa baada ya kukamatwa. Kakwenza Rukirabashaija alishtakiwa kwa makosa mawili ya mawasiliano ya kukera na amepelekwa gerezani hadi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kesho kama ada tukutane Mahakamani

    Kwenu makamanda watukuka mnaoyaweka matumaini yetu ya kesho bora kuendelea kuwa hai. Kwa mara nyingine, pamoja na kutotegemea dodo kwenye mnazi, wale tutakaoweza tukutane mahakamani "Law School of Tanzania," kesho. Ikumbukwe mheshimiwa Jaji Tiganga ikimpendeza, analo angalizo letu la wazi...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

    Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopord Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga. Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa ofisini kwake baada ya kupigiwa simu Stoke nje ya Ofisi, Walimshikilia kwa siku 3 kisha kumutelekeza...
  12. JamiiForums Tanzania James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
  13. JamiiForums Tanzania Siku moja na Sheikh Ponda Mahakamani Morogoro 2015

    SIKU MOJA NA SHEIKH PONDA MAHAKAMANI MOROGORO Miaka saba iliyopita siku kama ya leo. Siku nyingi zilikuwa zimepita sijamuona Sheikh Ponda si kwa kuwa alikuwa kifungoni mahabusi bali nilikuwa nje ya Dar es Salaam kwa muda mrefu. Nikaamua kwenda kumuona mahakamani Morogoro kesi yake ilipokuwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Spika wa hawezi kuishtakiwa mahakamani, hata akimtukana au kumwondoa Rais kinga itamlinda?

    Kwa kuwa Spika ashtakiwi, akitaka kumwondoa Rais aliyepo madarakani aidha kupitia Bunge au kupitia mbinu chafu zozote akabainika atafanywa nini?
  15. JamiiForums Tanzania Mahakama yaitupilia mbali kesi ya Mchungaji Mwingira

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitupilia mbali kesi ya madai iliyofunguliwa na Dk William Morris, raia wa Marekani dhidi ya mkewe Dk Phills Nyimbi na Mchungaji Josephat Mwingira. Akisoma hukumu hiyo leo Februari 26, 2018, Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amesema Dk Morris katika kesi hiyo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu ya kumdhamini mtu mahakamani

    Nimemwekea mtu dhamana Mahakamani, je, anaruhusiwa kusafiri?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tukifurika ( tukijaa sana mpaka pomoni ) Mahakamani ndiyo ataachiwa upesi au?

    "Jaji tutaendelea nae japo hatumwamini, hatumkubali na tunajua amefanya maamuzi yasiyokuwa ya haki. Tunawaomba wananchi muendelee kuja kwa wingi kufuatilia kesi hii ili kuendelea kuwaona Mashahidi wa michongo, Mawakili wa michongo na Majaji wa michongo." Mhe. @jjmnyika Chanzo: CHADEMA Tanzania...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Je, inaweza kufunguliwa kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kumwitisha Moses Lijenje aletwe Mahakamani?

    Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo. Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA msitake kupata huruma kwa kulihusisha JWTZ na uhalifu wa watuhumiwa walioachishwa kazi huko nyuma. Pambaneni mahakamani ili kupata haki

    Hata kama kusaka huruma ili mwenyekiti wa chama chenu aachiwe sio kwa namna hii sasa. Ni kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha walishaachishwa kazi. Karibu wote waliachishwa kazi baada ya kupata matatizo ya afya wao wanadai...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Watuhumiwa wakiingia Mahakamani wakiwa na furaha na bashasha usoni isipokuwa hawa akina Mbowe na Makomandoo!

    Wakiwa wanashuka kwenye karandinga utawaona wana furaha na amani hata machoni tu Wakiwa ndani ya mahakama wanakuwa Watulivu na Wasikivu sana wakifuatilia kila hatua ya mwenendo wa kesi. Wakati wa kuondoka huwapungia mikono ya " amani" Wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi yao Hakika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…