mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

    Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali. UPDATE: Mashtaka Mwenyekiti wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama kutoa uamuzi pingamizi la Mbowe na wenzake Septemba 01, 2021

    Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kesho Jumatano Septemba 1, 2021 itaamua pingamizi la Mbowe na wenzake kama mahakama hiyo ina mamlaka ya kusikiliza kesi yao ama la. Mbowe na wenzake wameipinga mahakama hiyo kuwa haina mamlaka ya kusikiliza kesi yao kwa mashtaka ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama ya haki ya Afrika: Wagombea huru ruksa nchini Tanzania

    Ile kesi ya mda mrefu ilieanzishwa na Mchungaji Mtikila imepatiwa ufumbuzi na Sasa serikali ya Tanzania inatakiwa iruhusu Wagombea huru kwenye chaguzi zetu ikiwemo wa uraisi === Baada ya Mahakama ya Rufani mwaka 2009 kutengua uamuzi wa Mahakama Kuu uliotamka kuwa wagombea binafsi wana haki ya...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Mafao yameingia kwenye account ya mahakama ya wilaya Temeke, tumezungushwa mpaka tumechoka

    Habari ndugu, Tulikuwa na ndugu yetu alistaafu mwaka 2019 alikua nurse Muhimbili Hospital. Baada kustaafu alifuatilia mafao yake hakufanikiwa kupata. Baadae akaugua akafa 2020, baada ya kufa tunafungua na tukafanikiwa kuingiziwa mafao kwenye hiyo account ya mahakama. Cha kusikitisha ni kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe ni mepesi kuliko pamba, awaponda Waendesha Mashtaka

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amechambua mashitaka yaliyosomwa Mahakamani yanayomkabili Mwenyekiti wake Freeman Mbowe , huku akiyaita duni , mepesi na ya UONGO. Amedai ana uzoefu wa kutosha kwenye kesi za uzushi na uongo kama hii kutokana na kazi yake ya Uanasheria aliyoifanya...
  6. JamiiForums Tanzania Aibu: Watuhumiwa watatu kesi ya Mbowe wadai kuteswa na Polisi ili wakubali kuandika maelezo ya uongo

    Watuhumiwa hao watatu walioshitakiwa pamoja na Mbowe Wameiomba Mahakama kutoyatambua maelezo waliyoyaandika Polisi kwa vile waliyaandika kwa shinikizo la vipigo na mateso, hayakuwa maelezo ya kweli , bali waliyaandika ili wasiuawe kwa mateso . Ombi hilo limetolewa Mahakamani na washitakiwa hao...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama itamleta IGP Sirro na Sabaya Mahakamani kama ilivyoombwa na Wakili Kibatala

    Wakili Peter Kibatala kwa niaba ya jopo ameiomba Mahakama imlete IGP Sirro na Ole Sabaya kuja Mahakamani kutoa ushahidi katika kesi ya Freeman na wenzake Aidha. Pia Washtakiwa watatu wamekataa maelezo yaliyosomwa Mahakamani hapo na kusema sio maelezo waliyotoa. Je, Mahakama itaridhia na...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali aliowateua, yumo Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Mabalozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua wakiwemo; 1. Prof. Elisante Ole Gabriel kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania 2. Balozi Mteule, Lt. Jen. Yakub Hassan Mohamed kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki 3. Balozi Mteule...
  9. JamiiForums Tanzania Kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe: DPP awasalisha maelezo yake Mahakama Kuu, yapewa namba ya usajili 16/2021, kuendelea 23/8/2021

    Hii hapa ndio taarifa ya Chadema iliyotolewa leo
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hukumu hizi; Je, Mahakama za Tanzania zinatumia Sheria tofauti ?

    Hebu angalia hukumu hizi mbili halafu toa maoni yako
  11. JamiiForums Tanzania Kitendo cha kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law"

    Kwa elimu yetu ndogo ya uraia tulisomasoma kidogo kuhusu Equality Before the Law (The principle which requires a systematic rule of law that observes due process to provide equal justice, and requires equal protection ensuring that no individual nor group of individuals be privileged over others...
  12. JamiiForums Tanzania Nyumba za kujengewa huwa zina mazingaombwe ni bora ukapewa Pesa/Hundi Mbele ya Wanahabari na ukajenga mwenyewe

    Nimeyaona mengi Sana, Dkt. Slaa alijengewa nyumba na CHADEMA alipohama Chama hicho wakachukua nyumba yao huku walimpa bure, Tuntemeke Sanga wa Njombe alijengewa nyumba na Mwl. Nyerere alipoanza kumpinga akafukuzwa kwenye nyumba hiyo, mwaka 2004 nikiwa Dar es Salaam nilishuhudia Mkuu wa idara ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa madrasa ahukumiwa miaka 80 jela kwa kumbaka binti wa miaka 15

    Mahakama ya mkoa Mwera imemhukumu Mussa Nassibu Ismail (21) ambaye ni Mwalimu wa madrasa Kiboje wilaya ya Kati, mkoa wa Kusini Unguja kutumikia miaka 80 jela na faini ya shilingi milioni 3 kwa kosa la kushindwa kujizuia matamanio yake na kumbaka na kumtorosha mtoto wa kike mwenye miaka 15...
  14. JamiiForums Tanzania Kigaila: Inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya Mahakama na bado akawa salama

    "Amri ya Mahakama ni sheria lakini inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya mahakama na bado akawa salama. 5/08/2021 hakimu ametoa amri mwenyekiti awe analetwa mahakama ya Kisutu. Jana tarehe 13/08/2021 hakuletwa kwa sababu inayoelezwa na DPP gari la Magereza ilikuwa bovu." - Kigaila
  15. JamiiForums Tanzania Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

    Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kitumia silaha na Kupora Mali na fedha ,Lengai ole Sabaya (34)ameiambia mahakama kuwa alitumwa na rais marehemu John Magufuli kuvamia duka la Shaahid Store ili kumkamata Mmiliki wa duka hilo, Mohamed Saad. Akiongozwa na wakili Mosses Mahuna...
  16. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Mbowe wafungua kesi kuhusu Taasisi moja Kubwa nchini kuingilia Uhuru wa Mahakama

    Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu, ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao kutokana na ukubwa wa Taasisi iliyofanya hivyo. Wanaomba jambo lililofanywa na Taasisi hiyo kubwa likapate...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama zetu na Magereza wanatuangusha kama nchi

    Kitendo cha magereza kusema wameshidwa kuwaleta watuhumiwa kwasababu ya tatizo la usafiri ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu. Hizi kesi kama hii ya Mbowe inaonyesha upungufu mkubwa wa mtandao wetu wa kutoa haki. Yaani magereza wanaweza wakapewa hata mwezi halafu wanakuja na visingizio vya kijinga...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa

    Ili kukuza demokrasia Nchini na uwepo uongozi/utawala bora wenye misingi ya usawa kwa kila mtawala na mtawaliwa ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa. Nchi inavyoenda kwa mfumo huu bila chombo madhubuti ni sawa na kuendesha kikada na fikra za mtu binafsi bila...
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaamuru Polisi kumfikisha Mahakamani Neema Mwakipesile wa BAWACHA Agosti 12, 2021

    Polisi wenu wamemuachia HURU Bi. Neema Mwakipesile Sakalile baada ya mawakili wetu kupeleka Habeas Corpus mahakamani na kesi kupangwa tarehe 12/08/2021 (kesho) saa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji Mgonya, Mahakama Kuu, DSM... Muda huu wamemuachia baada siku 15.. Huu ni UONEVU! Mawakili wetu muda huu...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi; Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu. Sasa anatafute 7.5 billion za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…