mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu anapaswa akemee matumizi mabaya ya Mhimili wa mahakama kukomoa wananchi wasiokuwa na hatia

    Kumekuwepo na kesi za kisiasa ambazo kimsingi hazina ushahidi wa kuthibitisha madai husika. Raia wamekua wakikaa mahabusu muda mrefu kwa kesi za kubumba kabisa. Ushahidi wa hayo ni kesi za sabaya ambazo zilifunguliwa kisiasa tu na imethibitika hivyo baada ya mahakama kuona katika kesi zote...
  2. JamiiForums Tanzania Dar: RC Makalla atembelelea Masoko ya Simu 2000 na Mahakama ya ndizi Mabibo

    *RC MAKALLA AFANYA MAAMUZI MAGUMU, AAGIZA MABORESHO YA KWANZA SOKO LA SIMU 2000 NA SOKO LA MABIBO - Asema hoja Za Wafanyabiashara zina uzito hivyo waboreshewe kwanza kisha kamati ya soko Na serikali wakae kupendekeza vibanda uniform rafiki kwa wafanyabiashara. - Wafanyabiashara wapongeza...
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama yamuhukumu miaka 30 jela kwa kumbaka mama yake. Mtuhumiwa na mdhamini wake hawajulikani walipo

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mama yake mzazi. Hata hivyo mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 30 pamoja na baba yake Joseph Mkusa ambaye alimuwekea...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada Ajira Portal ya Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Wakuu Portal ya Tume ya Utumishi wa Mahakama ni Pasua kichwa, kila ukijaribu ku register ili ufanye application haikubali ukipiga simu ya maulizo unajibiwa "linafanyiwa kazi na watu wa IT" na deadline imekaribia. Kuna ambaye amejaribu amefanikiwa kutuma application anisaidie ? Au ndio janja...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama Yatupa Maombi Ya Kupinga Uteuzi Wa Askofu Mwakihaba

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya kupinga kusimikwa Askofu mpya mteule, Geofrey Mwakihaba na kupinga kuondolewa madarakani kwa Askofu Dk Edward Mwaikali katika mkutano Mkuu wa Dayosisi uliofanyika Machi 22, 2022. Kesi hiyo iliyofunguliwa na askofu aliyeondolewa...
  6. JamiiForums Tanzania Idara za TAMISEMI, Mahakama, Ardhi, Elimu na Afya zaongoza kulalamikiwa Mara

    TAKUKURU Mkoa wa Mara imepokea Malalamiko 139 ndani ya miezi mitatu (Januari - Machi 2022), na Idara zilizolalamikiwa zaidi ni pamoja na TAMISEMI (58), Mahakama (15), Elimu (14), Ardhi (13) na Afya (12) Katika Malalamiko hayo, 106 yalihusu Vitendo vya Rushwa na mengine 33 hayakuhusiana na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hatari: Mwalimu anayetuhumiwa kulawiti watoto 8 Kinondoni amepataje dhamana nje ya Mahakama?

    ITV imeripoti Mwalimu wa Global International school ambaye ni raia wa Kenya kutuhumiwa kuwalawiti watoto wadogo 8 Wazazi wa watoto hai wamedai wamkamata Mwalimu huyo na kumfikisha Oysterbay Police Station lakini walipomfuatilia siku ya pili wakaambiwa amepewa dhamana. Inawezekana mtuhumiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Yajue Mamlaka (Jurisdiction) ya Mahakama ya Mwanzo (Primary Court)

    Hello, naitwa Zakaria (lawyer by profession).🎓 Leo napenda tujifunze kuhusu MAMLAKA YA MAHAKAMA ya Mwanzo (Primary Court). Kwa ufupi, Mahakama ya mwanzo ni Mahakama ya chini kabisa katika mfumo wa Mahakama nchini Tanzania. Mahakama hii imeanzishwa kwa mujibu wa section 3 ya sheria ya Mahakama...
  9. JamiiForums Tanzania Ijue Mahakama ya Mwanzo na Sheria zinazotumika Mahakama ya Mwanzo (Primary Court)

    Mahakama ya Mwanzo na Sheria zake: Mwandishi: Zakaria - Lawyer by profession). Watu wengi hata waliosoma sheria huwa wanachanganya kati ya sheria zinazotumika Primary Court na Sheria zinazotumika Mahakama zingine kama District Courts, Courts of Resident Magistrate, High Court n.k., hii ni kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kutotambua Matokeo ni Kutomtambua Rais, Serikali na Bunge. Rais Akiishaapishwa ni Rais! Tutaendelea kuruhusu hali hii Mpaka Lini?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye maswali fikirishi Swali la Leo ni Je wajua kutotambua matokeo ya uchaguzi wa rais, ni Kutomtambua rais, serikali na Bunge?. Rais akiisha apishwa ni rais!, umtambue, usimtambue, it doesn't...
  11. JamiiForums Tanzania Nyaraka ya Mahakama Kuu Kuhusu zuio la Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake 18

    Haya ni maamuzi ya Mahakama Kuu mbele ya Jaji Mgetta kuwa 1. Maombi ya zuio la muda la kina Halima Mdee kuendelea kubaki na Ubunge wao hadi kesi yao itakapokubaliwa. 2. Kesi ya msingi itasikilizwa Juni 13, 2022 saa 4:00 Asubuhi.
  12. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  13. JamiiForums Tanzania Mahakama isitumike kulinda wizi, ufisadi na uvunjifu wa Katiba ya JMT

    Wasalaam. Nakumbuka july 26 mwaka 2017 aliekuwa spika wa bunge JMT mh ndugai aliwavua ubunge wabunge 8 wa CUF mara baada ya wabunge hao kuvuliwa uanachama na barua ya kuvuliwa uanachama kupokelewa na bunge japo wabunge hao walifungua kesi mahakamani. Spika ndugai alisema nanukuu 'unapovuliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama kuzuia kuvuliwa Ubunge ni kuingilia maamuzi ya Spika na ni kinyume na Sheria. Ingedili na uanachama wao tu

    Leo Spika angekataa kuwavua ubunge akina mdee Chadema wasingeweza kwenda mahakamani kupinga uamuzi wake. Kupitia Sheria ya kinga kwa spika Basi mahakama isingeweza kabisa kuingilia maamuzi yake. Kunasheria zilitungwa ili kutumika kwa wapinzani tu. Mfano ile iliyoweka zuio la Spika kushitakiwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?

    Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata. Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama inaweza kuliamuru Bunge?

    Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika. Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze? Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama itende haki, haiwezekani ndugu zetu tangu 2016 wako rumande, lakini kesi za kisiasa zinamalizwa haraka haraka, first in first out!

    Haki ionekane pande zote, masheikh walikaa rumande miaka tele, hata Sasa tunapoongea ndugu zetu wanaozea rumande, kesi hizi za kisiasa zinapangwa tarehe za karibu. Mahakama mnakwama wapi? First in first out. Haki ni kwa wote. Tunatarajia kesi hiyo ya akina Mdee na yenyewe ipangiwe miezi...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kuhusu faini za Barabarani na Mahakama zake

    Habarini Wadau!! Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani. Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya kukusimamisha then anakuandikia faini bila ridhaa yako. Sometimes ukigoma anakutisha aukwa baadhi...
  19. JamiiForums Tanzania Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Halima Mdee na wenzake kukimbilia mahakamani wajikumbushe kesi ya Zitto iliyotupiliwa mbali na Mahakama Kuu

    Mwaka 2014, Zitto Kabwe aliitwa na Kamati Kuu ya Chadema akitakiwa kujibu tuhuma za usaliti dhidi ya chama lakini hakuitikia wito huo. Badala yake Zitto kupitia kwa wakili wake Arbert Msendo alifungua kesi Mahakamani akiomba zuio la muda asivuliwe uanachama wake ambapo mahakama ilikubali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…