mahakama ya rufani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Hoja nne za CHADEMA Mahakama ya Rufani katika mapitio kesi ya mgawanyo wa mali

    Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk Rugelemeza Nshala amefafanua hoja nne walizowasilisha katika Mahakama ya Rufani katika marejeo ya kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho, leo Machi 24, 2026. Hoja hizo ni pamoja na ukomo wa muda wa mgogoro unaobishaniwa, thamani ya mali zinazotakiwa kugawanywa...
  2. Parabolic

    Lissu awasilisha maombi kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini. Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu...
  3. G

    Mahakama ya rufani ikikataa ushahidi wa 29 kwenye kesi ya Lisu mawakilii wa serikali wataumbuka lakini ikikubali wataumbuka zaidi, haki huinua Taifa

    Kazi anayofanya Lisu ni kubwa sana kuonyesha udhaifu ulioko kwenye Muhimili wa mahakama ni aibu tupu Kadri wanavyozidi kukaa na Lisu ndivyo wanavyozidi kuumbulia hadharani Ni kama wamepigwa upofu hawajui Nini waamue Ukimeza kaa la moto kivyovyote LAZIMA uumie , ukipandisha likuunguza ukimeza...
  4. B

    Mahakama ya Rufani yatengua hukumu ya Mahakama Kuu, kesi ya madawa ya kulevya ya Okwudili Nnaman Agu

    29 December 2025 Raia wa Nigeria Okwudili Nnaman Agu leo rufani yake imekubaliwa na Mahakama ya Rufaani ya Tanzania ambayo imeamuru kesi hii iliyotolewa hukumu ya kifungo cha miaka 20 na mahakama kuu ya Tanzania, haikuwa imekamilika bila kuacha shaka yoyote. Hivyo Mahakama ya Rufani Tanzania...
  5. JanguKamaJangu

    Mahakama ya Rufani yaelekeza kesi ya Mwana FA, AY na TIGO kurudi Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya simu ya MIC Tanzania Public Limited Company, sasa Honora Tanzania Public Limited Company. Hii ni...
  6. Mshana Jr

    Je, bunge litatii amri hii ya mahakama ya rufani?

    Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa na mtetezi wa haki za binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rufaa hiyo ilisikilizwa mbele ya jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa...
  7. R

    Mahakama ya Rufani yabariki mtu binafsi kufungua mashitaka yanayohusu "Haki za Msingi na Majukumu" ( Basic Rights and Duties Enforcement )

    Sijui kama tafsiri yangu ni sahihi lakini the take home message ni hii kama nilivyoinakiri kutoka Tweeter kutoka kwa Olengurumwa Asante timu y’a mawakili na jomo la Majaji Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa...
  8. JanguKamaJangu

    Mahakama ya rufani yaamuru Vodacom kuilipa TRA kiasi cha Tsh. Bilioni 1.4

    Mahakama ya Rufani imeiagiza Kampuni ya Vodacom Tanzania Public Limited Company kuilipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya shilingi bilioni 1.4, ikiwa ni riba ya kodi ya zuio (withholding tax) kutokana na kuchelewesha kulipa kodi hiyo inayotokana na riba ya Mikopo ambayo kampuni hiyo...
  9. Abdul Said Naumanga

    Kilimanjaro: Wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kuhusika na kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa Kibosho Kirima -Titus Kimaro

    Mahakama ya Rufani ya Tanzania imebariki hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa washitakiwa watatu, Ibrahim Abubakar, Salima Abubakar, na Hadija Shio, ambao walikutwa na hatia ya kumuua kikatili aliyekuwa mjumbe wa nyumba kumi huko Kibosho Kirima, Moshi - Kilimanjaro, Mrh. Titus Sebastian Kimaro...
  10. B

    Mahakama ya Rufani Tanzania ina Majaji 31 wakati Supreme court ya Marekani ina majaji 9 tu. Tutaendelea kukopa madeni kwa sana!

    Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha. Utangulizi Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022. Tanzania ina wananchi wapatao Milioni 65+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022. Wakati Marekani ina idadi ya...
  11. Huihui2

    Mahakama ya Rufani Itoe Ratiba ya Kesi Zote Walizonazo

    Kalenda ya Mahakama kwa mwaka 2024 ilianza rasmi tarehe 1/ 02/ 2024 na inatarajiwa itaisha pengine Desemba 15/ 12/ 2024. Mahakama ya Rufani wametoa ratiba ya kesi za Februari 2024 peke yake. Halafu itakapofika mwishoni mwa mwezi Februari watatoa za mwezi Machi. Huku chini kuanzia Mahakama za...
  12. M

    Tuwape maua yenu Mahakama ya Rufani Tanzania

    Anayestahili kupongezwa basi na apongezwe! Ni jambo dogo lakini nasukumwa kuwapongeza wafanyakazi wa mahakama ya RUFANI TANZANIA hasa kitengo Cha kupokea simu. Kutopokea simu au kutojibu barua za wananchi ni jambo la kawaida Kwa taasisi za serikali Tanzania. Ni KERO kubwa inayoongeza ugumu wa...
  13. NIPOSINGO

    Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

    Usiku huu, imetolewa taarifa kuwa Rais Samia amefanya teuzi katika nafasi mbalimbali. Rejea kiambatisho hiki:
  14. Roving Journalist

    Rais Samia ateua Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewateua Majaji wa Mahakama ya Rufaa wafuatao: - Amemteua Jaji Zainab Goronya Muruke kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Kabla ya uteuzi huo, Jaji Muruke alikuwa Jaji Mfawidhi, Kituo Jumuishi cha Mashauri ya Ndoa, Talaka na...
  15. Richard

    Mahakama ya Rufani Nigeria yamruhusu Peter Obi kupinga matokeo ya Uchuguzi

    Mahakama ya Rufani nchini Nigeria imetoa ruhusa kwa mgombea wa chama kiloshindwa cha Labour bwana Peter Obi kupinga matokeo ya uchaguzi ambapo ulimpa ushindi mgombea wa chama cha APC bwana Bola Tinubu. Mapema mwezi huu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Nigeria bwana Mahmood Yakubu...
  16. Lord Diplock MR

    Mahakama ya Rufani: Maamuzi ya Rais kuhusu Wafanyakazi wa Umma ni ya mwisho

    MAHAKAMA YA RUFANI: CMA HAINA MAMLAKA WAFANYAKAZI WA UMMA Mahakama ya Rufani ya Tanzania imesema Tume ya Usuluhishi ya wafanyakazi (Commission for Mediation and Arbitration-CMA) haina mamlaka ya kusikiliza na kutolea maamuzi kesi zinazohusu migogoro ya wafanyakazi wa umma. Kupitia kesi ya...
  17. sajo

    Mvutano Mirathi ya Mengi wapamba moto. Abdiel & Benjamin wapinga kutupwa maombi yao na Mahakama ya Rufani

    Mtoto mkubwa wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, marehemu Reginald Mengi amefungua maombi Mahakama ya Rufani akitaka ipitie upya uamuzi wake wa kutupilia mbali hoja zao za kutaka mahakama hiyo isisikilize shauri lililofunguliwa na mjane wa tajiri huyo, Jacqueline Ntuyabaliwe anayepinga...
  18. Replica

    Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

    Mahakama ya Rufani leo October 13, 2021 imetupilia mbali mapingamizi ya mtoto mkubwa wa Reginald Mengi dhidi ya maombi ya mapitio ya kesi kutoka kwa Jacqueline Ntuyabaliwe. Awali Abdiel mengi na Benjamin Mengi walimuwekea pingamizi la awali la kisheria Jacqueline wakiiomba mahakama iyatupilie...
  19. Miss Zomboko

    Kenya: Mahakama ya Rufani yaweka zuio la Serikali kufanya mabadiliko ya Katiba

    Mahakama ya rufani nchini Kenya jana imekataa jaribio la serikali la kufanya mabadiliko makubwa ya katiba katika uamuzi ambao ni pigo kwa rais Uhuru Kenyatta aliyeasisi mchakato huo wenye utata. Jopo la Majaji saba limeunga mkono uamuzi wa awali uliotolewa na mahakama kuu ya nchi hiyo uliosema...
Back
Top Bottom