Leo Machi 24, 2026 Mahakama ya rufaa itaanza kusikiliza maombi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ya kutaka yafanyike marejeo (revision) ya mwenendo wa kesi ya mgawanyo wa mali za Chama iliyofunguliwa na Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili.
Ikumbukwe kuwa, Chadema kupitia kwa...
Rais William Ruto amepata afueni ya muda baada ya Court of Appeal of Kenya kusitisha uamuzi wa Mahakama Kuu uliokuwa umetangaza kuwa Baraza lake la Washauri 21 halikuwa la kikatiba, hatua inayowawezesha washauri hao kuendelea kuhudumu na kupokea mishahara yao wakati rufaa ikiendelea kusikilizwa...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu iliyokuwa inaendelea Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka pale shauri la mapitio lililowasilishwa Mahakama ya Rufaa na jamhuri kukamilika.
Leo Februari 24, 2026 baada ya...
Jaji Mkuu George Masaju, Desemba 23, 2025, akiwa Mbeya amesema kuwa kuanzia mwezi Februari 2026 Kanda za Mwanza, Mbeya, Arusha na Dar es Salaam zitakuwa na majopo ya majaji 4 kila moja (Dar itakuwa na majopo 4) kwa jili ya kuongeza kasi ya usikilizaji mashauri/ kesi za rufaa nchini.
Hii ni...
Mahakama ya Rufaa Tanzania wamekuwa wakijinasibisha kuwa wanatumia kanuni ya FIFO (First In and First Out) kushughulikia mashauri ya madai mahakamani jambo ambalo si kweli.
Nina madai ya rufaa namba 700/2023 ambayo mpaka sasa hata kuwekwa kwenye mfumo wa tehama hayajawekwa, lakini ukiangalia...
Nchini Albania katika Mji wa Trianna Jaji Astrit Kalaja ameuawa kwa risasi baada ya mtuhumiwa katika kesi aliyokuwa akiendesha kufyatua risasi wakati kesi ikiendelea katika 'Mahakama ya Rufaa mjini Tirana'. Kwa mujibu wa taarifa za maafisa wa serikali, Jaji Kalaja alifariki dunia akiwa njiani...
NY appeals court throws out $500M penalty against Trump in Letitia James civil case
NY appeals court throws out $500M penalty against Trump in Letitia James civil case
Hahahaa!
Watu ambao tuko fair-minded tuliliona na tukasema kwamba hiyo faini ya dola milioni 500 ni excessive na si haki, hata...
Wakuu,
Kwa wale wapenda demokrasia na utawala wa sheria leo itakuwa siku nzuri sana kwao
===========
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imeamua kufuta vifungu vya sheria vilivyokuwa vinazuia watu kufungua kesi zilizobeba maslahi ya umma.
Uamuzi huo umetolewa katika kesi Rufaa Na. 134 ya mwaka...
MAHAKAMA ya Rufani nchini, leo Tarehe 4 June 2025, imetupilia mbali maombi ya rufani namba 658 ya 2023 yaliofunguliwa na kampuni ya Mwananchi Communication na Mhariri wa Gazeti la The Citizen.
Kampuni ya Mwananchi Communication, ilikata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kumlipa fidia ya...
Kigali, Rwanda
RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI
https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa ya Asasi za Kiraia Kupinga Kufutwa kwa Kesi Dhidi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
Wakuu,
Mwanasiasa na mwanaharakati mashuhuri, Dkt. Wilbrod Peter Slaa, ameomba Mahakama ya Rufaa ya Tanzania impatie dhamana akisubiri rufaa yake ya jinai kusikilizwa.
Ombi hili limewasilishwa chini ya hati ya dharura kubwa na wakili wake, Hekima Mwasipu, likieleza kuwa Dkt. Slaa amewekwa...
Naibu wa Rais aliyeondolewa Madarakani amekimbilia Mahakama ya Rufaa kupinga Naibu Jaji Mkuu kuteua Majaji watatu wa kusikiliza kesi yake Mahakama kuu...
Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241 .
Tarehe 13/09/2024 Mahakama ya rufaa imeelekeza kuwa mtoto wa nje ya ndoa anatakiwa kupata urithi.
Imeelekeza kuwa urithi wake utakuwa sawa kabisa na watoto wengine ambao wamezaliwa kwenye ndoa. Hakutakuwa na tofauti katika mgao(share).
Imesema jambo la...
Mwabukusi apigwa na kitu kizito!
Mwendo ule ule! kama wa Dyansobera!
Mwenye kujua kimombo asome mwenyewe
Kesi imetupiliwa mbali kwa vile eneo bishaniwe halikuwekwa bayana kuweza kulitambua ukubwa wake
MY POINT IS: Bila kificho, High court ni kituko , takataka tupu! NI SERVANT OF THE EXECUTIVE...
Kwa huku iliyotolewa leo tarehe 26/07/2024 je TLS na Serikali wanaweza kukata Rufaa? Endapo watakata rufaa uchaguzi utaendelea au utasogezwa mbele kusubiri maamuzi?
Hongera Mwambukusi kura yangu unayo baada ya kusikia matamanio yako ya utekelezaji s. 4.
Nimefurahi pia kwamba umekubali kuwa...
Joran Lwehabura Bashange vs Minister for Constitutional & Legal Affairs & Another (Misc. Civil Cause No. 12 of 2023) [2024] TZHC 774 (13 March 2024)
Mahakama ya Rufaa Tanzania imeamua:
From the analysis above and fortified with the authorities cited, the Court declares, and orders as follows...
#KENYA: Mahakama ya Rufaa imeongeza amri ya kuzuia Serikali isikusanye Kodi Maalum ya Ujenzi wa Nyumba ambayo ni kati ya zinazotekelezwa kupitia Sheria ya Fedha ambayo imelalamikiwa na kuongeza Gharama za Maisha kwa Wananchi.
Zuio hilo linafuatia zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Novemba 2023...
Tangu jana Mahakama ya rufaa imeanza kutumia mfumo wake mpya wa ku file kesi online. Mfumo huu umekuwa kikwazo na pia unaflchelewesha mashauri. Mfano kwa kesi ambazo ni za rufaa kutoka mahakama kuu mfumo huu haujaanza kuzipokea.
Ukienda pale ku file rufaa yako wanakuambia uache namba ya simu...
Mwabukusi anasema kuwa mahakama imejielekeza vibaya katika hukumu yake na kwa maana hiyo wanaenda kukata rufaa.
Mwabukusi anasema professionally anaipokea hukumu, lakini legally wateja wake hawajaridhika na hukumu hiyo na ndiyo wanaenda kutafuta haki zaidi.
Hoja zake ziko hapa:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.