mahakama ya icc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mikopo Consultant

    Mawakili wa Jamuhuri wasipokuwa makini watairahisishia kazi ICC, maana wanataka kuingiza mahakamani mambo ya Oktoba 29

    Haya ni maoni yangu. Kwa yaliyotokea leo mahakamani ni kana kwamba mawakili wa serikali wanahisi ushahidi unaotolewa na mashahidi wa upande wao hauwezi kumtia hatiani Lissu, hivyo wameamua kutaka kuingiza ushahidi unaohusu Octoba 29, kwa nia ya kuongeza substance ya kumkuta Lissu na hatia. Mi...
  2. R

    Tetesi: Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea Oktoba 29, 2025

    Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea October 29,2025 By the way, hii ni ya sasa au ile ya zamani? Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, (ICC), kupitia Baraza la wanasheria wake, imetangaza kuwa ipo katika hatua za maandalizi ya kuanza uchunguzi nchini Tanzania kwa lengo...
  3. Parabolic

    Nini kinaendelea Mahakama ya ICC na Tanzania?

    Picha ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (ICC), Balozi Mahmoud Thabiti Kombo na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Mame Mandiaye Niang, pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Februari 14, 2026, imezua...
  4. Lord Denning

    Ninaapa kwa Jina la Mungu aliye hai, Mahakama ya ICC inatoa Arrest Warrant ya Samia ndani ya mwaka huu. Serikali ijiandae kwa transfer of power

    Hili ninalisema nikiwa na uhakika nalo wa asilimia zaidi ya 100. Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai( ICC) inaenda kutoa Hati ya Kukamatwa kwa Samia na watu kadhaa wa Serikali yake mwaka huu 2026 kwa matukio ya mauaji na kupoteza watu wakati wa uchaguzi na mengine kabla ya Uchaguzi...
  5. The Palm Beach

    GOOD NEWS dhidi ya kesi ya SSH mahakama ya ICC kujibu tuhuma za mauaji ya maelfu ya raia wake 29/10 . Taasisi 4 muhimu duniani zaandaa ushahidi

    https://youtu.be/L2GVEcJT2vs?si=ZwNrFhMEKZN3Z1e9 Taasisi nne zinazoheshimika duniani zimekusanya uthibitisho wa ushahidi usio na shaka juu ya uhusika wa vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania kwa amri ya Rais Samia Suluhu Hassan kupanga na kutekeleza mauji ya halaiki (genocide/massacre) ya...
  6. Keynez

    Rasilimali za nchi hatizakiwi kutumika kumtetea mtu yeyote yule katika Mahakama ya ICC

    Tanzania imekuwa na ujinga mmoja ambapo rasilimali za nchi zimekuwa zinatumika kumlinda, kumtetea na hata kufungulia mashtaka watu kwa kesi binafsi za kiongozi. Unaweza kukuta mtu anachapisha jambo fulani kuhusu kiongozi fulani, ambalo labda jamii, muhusika au vyombo vya serikali vinalitafsiri...
  7. R

    Kiongozi mkuu wa Kijeshi wa Sudan ahukumiwa miaka 20 Jela na ICC

    Ndugu zangu ICC inaendelea kuwawajibisha wale wote wanaoshiriki mauaji, unyanyasaji na adha zingine za ukiukaji wa haki za binadamu. ------------------------------------------------- Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imemhukumu Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman (Ali Kushayb) kifungo cha...
  8. Q

    PostGE2025 Shirika la Intelwatch la Afrika Kusini limewasilisha mashtaka mahakama ya ICC, kuitaka itoe hati ya kukamatwa kwa wahusika wa mauaji Oktoba 29

    Shirika la Intelwatch la Afrika Kusini limewasilisha mashtaka mahakama ya ICC, kuitaka mahakama hiyo kuchunguza madai mazito ya mauaji, utekaji na utesaji wakati wa maandamano ya tarehe 29 Oktoba 2025. Pia imeitaka Mahakama hiyo kutoa hati za kukamatwa kwa Rais.
  9. Lord Denning

    Watanganyika tutawapa ushirikiano wa kila hali na namna Mahakama ya ICC hadi wafuatao muishie jela na iwe fundisho milele

    1. Samia Suluhu Hassan 2. DGIS Selemani Mombo 3. IGP Camilius Wambura 4. CDF Jacob Mkunda 5. Mkuu wa Operesheni TISS Fadhili 6. CP Awadhi 7. SACP Mafwele 8. Mshauri wa Rais Siasa Bw. Kheri 9. Mohamed Mchengerwa 10. Abdul Ameir 11. Mkuu wa CMI Meja Jenerali Mkeremi. 12. Chief of Staff...
  10. B

    PostGE2025 Wakili Revocatus Kuuli: Hakuna nchi yoyote Mwanachama wa ICC inaweza kukwepa kuchunguzwa

    Akiongea na Wakili TV Revocatus Kuuli wakili wa mahakama ya ICC amesema "Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaweza kumshtaki hata Rais akiwa madarakani" Afafanua hali hiyo, je wafungwa waliopatikana na hatia wanapelekwa jela ipi Fedha za kuendesha kesi ICC hutoka wapi Mawakili wa...
  11. Lord Denning

    Tucheke pamoja (UTANI): Utetezi wa Samia, DGIS, CDF na IGP mbele ya Majaji Mahakama ya ICC

    Samia- Waheshimiwa Majaji, mimi sikutoa maelekezo yeyote kipindi cha Uchaguzi. Nchi ilikuwa chini ya mwanangu Abdul na Msaidizi wangu Kheri. Hawa ndo walikuwa wanawasiliana na DGIS, IGP na CDF DGIS- Waheshimiwa Majaji. Mimi sijui lolote. Hata kwenye Taasisi yangu hakukuwa na chain of comand...
  12. DuaZaMama

    PostGE2025 Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC leo Novemba 5, 2025

    Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC asubuhi ya leo juu ya kile kinachoendelea Tanzania, waandamanaji wanaitaka mahakama ya ICC kuchukuwa hatua kali juu ya Mauaji ya Tanzania.
  13. canular

    Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  14. S

    Burkina Faso, Mali na Niger zajitoa kwenye mahakama ya ICC, wataja kuwa sababu ni ukoloni mambo leo

    Burkina Faso, Mali na Niger zimetangaza uamuzi wao wa kujiondoa mara moja kuwa wanachama wa mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za uhalifu wa kivita na kibinadamu ICC,zikidai mahakama hiyo ni chombo cha kuendekeza ukoloni mambo leo na ubaguzi katika hukumu zake. Mataifa hayo matatu ya...
  15. Lord Denning

    Niko tayari kubet: Viongozi Wakuu 2 wa Nchi za Afrika Mashariki watatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC kabla ya 2029

    Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao. Aidha miezi miwili...
  16. Satirical Yet Awesome

    Trump kumuekea vikwazo Karim Khan, Jaji mkuu wa mahakama ya ICC baada ya uamuzi wake dhidi ya Benjamini Netanyahu

    🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu 🚨NEWS: Donald Trump will SANCTION a British lawyer ‘Karim Khan’ over the International Criminal Court’s arrest...
  17. 5523

    Israel kukata rufaa dhidi ya vibali vya ICC vya kukamatwa kwa Netanyahu na Gallant

    Wakuu, Israel itakata rufaa kupinga hati ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant. Majaji wiki iliyopita walitoa vibali kwa watu hao wawili pamoja na kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohammed Deif, wakisema kuna...
  18. Sigonella Island

    Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

    Mataifa ya Ulaya na Amerika yanaendelea kutoa onyo kwa Gaidi Benyamini Netanyahu zitamtia mbaroni na kumpiga tanganyika jeki atakapo gusa ardhi zao Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ============...
  19. Mindyou

    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

    Wakuu, Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita. Uamuzi huu unamaanisha kwamba nchi 124 wanachama wa ICC zinapaswa...
  20. jmushi1

    Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe

    Wanajamvi, Mongolia ni Taifa ambalo limesaini makubaliano ya kuwakamata wale wote ambao wana “arrest warrant” ya ICC, ambao watafika kwenye taifa lao. Mfano European Commission imeitaka Mongolia wamkamate Putin na kumkabidhi kwa waendesha mashitaka wa ICC Pia, soma: Mahakama yaitaka nchi ya...
Back
Top Bottom