mahakama ya icc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 5523

    JamiiForums Tanzania Israel kukata rufaa dhidi ya vibali vya ICC vya kukamatwa kwa Netanyahu na Gallant

    Wakuu, Israel itakata rufaa kupinga hati ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant. Majaji wiki iliyopita walitoa vibali kwa watu hao wawili pamoja na kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohammed Deif, wakisema kuna...
  2. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

    Mataifa ya Ulaya na Amerika yanaendelea kutoa onyo kwa Gaidi Benyamini Netanyahu zitamtia mbaroni na kumpiga tanganyika jeki atakapo gusa ardhi zao Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ============...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

    Wakuu, Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita. Uamuzi huu unamaanisha kwamba nchi 124 wanachama wa ICC zinapaswa...
  4. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe

    Wanajamvi, Mongolia ni Taifa ambalo limesaini makubaliano ya kuwakamata wale wote ambao wana “arrest warrant” ya ICC, ambao watafika kwenye taifa lao. Mfano European Commission imeitaka Mongolia wamkamate Putin na kumkabidhi kwa waendesha mashitaka wa ICC Pia, soma: Mahakama yaitaka nchi ya...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaitaka nchi ya Mongolia kumkamata Putin

    My Take 😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆 Hii ikitekelezwa itakuwa Kali ya mwaka. ========= Maafisa wa Mongolia wamesisitizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuwa na "wajibu" wa kumkamata Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ikiwa atazuru nchi hiyo wiki ijayo. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la BBC Swahili...
  6. Bams

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi Kuhusu Arrest Warrant Iliyotolewa na Mahakama ya ICC

    Kua watu hawaelewi mamlaka ya mahakama hii ya ICC. Wanadhani kwamba ili ushtakiwe kwenye mahakama hii ya ICC ni lazima nchi yake iwe mwanachama. Jambo ambalo siyo kweli. Mahakama hii ina uwezo wa kumhukumu mtu yeyote aliyetenda uovu unaoangukia kwenye makosa ambayo mahakama hii inashughulika...
  7. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin: Je, utaratibu upoje?

    Baada ya kutolewa kwa Hati ya kukamatwa kwa rais wa Urusi Vladimir Putin watu wengi wamekuwa na shahuku ya kujua hati hii itafanyaje kazi? Na je raisi huyu anawezaje kukamatwa huku akiwa madarakani tena nchi yake (Urusi) pamoja na nchi aliyotuhumiwa kuifanyia uharifu (Ukraine) zikiwa sio...
Back
Top Bottom