mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. Dalton elijah

    SI KWELI Iran imesababisha mlipuko mkubwa umetokea kwenye jengo la mahakama georgia Marekani

  2. M

    Dodoma: Mahakama ya Rufaa kusikiliza maombi ya CHADEMA kutaka kesi ya mgawanyo wa mali kufanyiwa marejeo

    Leo Machi 24, 2026 Mahakama ya rufaa itaanza kusikiliza maombi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ya kutaka yafanyike marejeo (revision) ya mwenendo wa kesi ya mgawanyo wa mali za Chama iliyofunguliwa na Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili. Ikumbukwe kuwa, Chadema kupitia kwa...
  3. I

    Tibaijuka, umekosa haya? Mahakama ni chombo huru na muhimu, omba kadi ya CHADEMA lakini sio kuhamasisha vurugu

    Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya. Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea...
  4. Parabolic

    Lissu awasilisha maombi kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini. Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu...
  5. M

    Mwanza: Jopo la Majaji wa Mahakama Kuu lawatia hatiani watu sita kwa 'UGAIDI'

    Washtakiwa sita jana walipatikana na hatia na mmoja kuachiwa huru katika kesi ya ugaidi inayohusishwa na tuhuma za kuwa sehemu ya mpango wa kuipindua Serikali na kuanzisha dola ya Kiislamu nchini. Jaji Godfrey Isaya, akiongoza jopo la majaji watatu katika Divisheni ya Makosa ya Rushwa na...
  6. MamaSamia2025

    Mahakama yaamuru Baba wa Kambo kuendelea kulipia matunzo ya watoto wake wa kambo mara baada ya talaka na single mama

    Daah! Wakuu sisi tunaoishi na SINGLE MOTHERS tuwe makini sana. Mwenzetu huko Afrika Kusini aliyekuwa akiishi na single mama yamemkuta. Kaamriwa kuendelea kulipia matunzo ya watoto wa single mama. Ni hela mingi laana. =========================== Court Orders Divorced Man to Pay R40,000 in...
  7. O

    Mahakama ya Rufaa yampa Ruto afueni katika kesi ya washauri huku mjadala kuhusu ‘Baraza Lisilo la Kikatiba’ Ukizidi

    Rais William Ruto amepata afueni ya muda baada ya Court of Appeal of Kenya kusitisha uamuzi wa Mahakama Kuu uliokuwa umetangaza kuwa Baraza lake la Washauri 21 halikuwa la kikatiba, hatua inayowawezesha washauri hao kuendelea kuhudumu na kupokea mishahara yao wakati rufaa ikiendelea kusikilizwa...
  8. R

    Kila kesi ni Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi

    Ndiyo mwendo na siyo coincidence, ni deliberate move from the so called judiciary! Takataka
  9. Waufukweni

    Kanye West atakiwa kumlipa mkandarasi wake wa zamani Tsh milioni 365.4 kwa kesi ya jumba la Malibu

    Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati wa ukarabati wa jumba lake la kifahari huko Malibu. Fundi huyo, Tony Saxon, alimshutumu rapa huyo...
  10. M

    Kufilisika kwa Sahara Media: Kodi kubwa za TRA zinaua Biashara au ni Usimamizi Mbovu wa kina Diallo?

    Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara imeamuru kufilisiwa na kufungwa rasmi (winding up) kwa Sahara Media Group Limited, kampuni ya Kitanzania inayojishughulisha na vyombo vya habari, huduma za uchapishaji, matangazo, na uhusiano wa umma. Wengi mtakuwa mnaifahamu kupitia Star Tv au Radio Free...
  11. Manyanza

    Uamuzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwa Serikali ya Tanzania

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo jijini Arusha imetoa uamuzi muhimu unaoitaka Tanzania kufanya marekebisho ya baadhi ya vifungu vya Katiba vinavyohusiana na masuala ya uchaguzi na haki za kidemokrasia. Uamuzi huo umetolewa Machi 6, 2026 katika kikao cha 80 cha mahakama...
  12. M

    Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!

    Anaandika Jebra Kambole AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC. Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
  13. Dalton elijah

    Vigogo CHADEMA wadaiwa kukiuka amri ya mahakama, wafunguliwa kesi

    : Katika hali isiyotarajiwa, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaweza kujikuta kwenye wakati mgumu baada ya uwepo wa taarifa zinazodai kuwa wamefunguliwa kesi nyingine ya jinai kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakidaiwa kukiuka...
  14. A

    Swali la Kizushi je mtu akipinga mgawanyo wa mali kwenye Muungano serikali itasimamishwa na Mahakama

    Kabla ya uchafuzi WA 2025, migogoro au hisia ya kudhulumiwa Kwa upande moja ulisababisha Chama Fulani kusimamishwa kufanya shughuli za kisiasa nk. Sasa katika nchi hiyo hiyo ikitokea jimbo moja au sehemu moja ya nchi hiyo ikapeleka Mahakamani tuhuma kama hizo. Na serikali hiyo itasimamishwa...
  15. M

    Mahakama ya Afrika yatupilia mbali shauri la kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa uamuzi wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kuhusu shauri lililopinga uhalali wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020. Katika hukumu yake, mahakama hiyo imetupilia mbali kesi hiyo kwa kukosa mashiko ya kisheria na ushahidi thabiti. Wapinga...
  16. La MaGique

    DOKEZO Asilimia kubwa za Mahakama ili upate msaada au huduma lazima utoe RUSHWA

    WAkuu habari, Moja ya taasisi ambazo ni muhimu nchini ni MAHAKAMA ambazo kisheria zinawajibu wa kusimamia haki na Sheria. Sambamba na Hilo raia wanategemea Kuona unafuu wa kupata haki/ huduma/msaada wa Haki zao ukitoka MAHAKAMANI, lakini katika Hali ya kawaida inavyotakiwa kuwa sivyo badala...
  17. G

    Mahakama ya rufani ikikataa ushahidi wa 29 kwenye kesi ya Lisu mawakilii wa serikali wataumbuka lakini ikikubali wataumbuka zaidi, haki huinua Taifa

    Kazi anayofanya Lisu ni kubwa sana kuonyesha udhaifu ulioko kwenye Muhimili wa mahakama ni aibu tupu Kadri wanavyozidi kukaa na Lisu ndivyo wanavyozidi kuumbulia hadharani Ni kama wamepigwa upofu hawajui Nini waamue Ukimeza kaa la moto kivyovyote LAZIMA uumie , ukipandisha likuunguza ukimeza...
  18. H

    Ni vema Mahakama na Chama cha Mawakili wamfungie Katuga na genge lake kutoa huduma za Uwakili kutokana na uhuni walioifanyia Mahakama

    Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama. Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
  19. Waufukweni

    Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi

    Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo. Yaliyojiri Mahakamani; Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa...
  20. Carlos The Jackal

    PostGE2025 Tume ya Chande wanasubiri Mahakama imuhukumu Lissu kuwa na Hatia, ili nao waje na hitimisho la MO29 ílisababishwa na Lissu. TUJIANDAE KWA MAANDAMANO

    Jamaa wameimgia Mitini kwa sababu WANAJUA Watanzania tunawasubiri kwa Hasira walete ushenzi wao wa kutupia jumba bovu Chadema ya Lissu. Sasa wameona wataingia kwenye 18 za WATANZANIA. NAO Wameamua kuingia Mitini, Lengo wanataka kusubiri MAHAKAMA YA SAMIA SULUHU, Mahakama ya kipuuzi, itoe...
Back
Top Bottom