mahabusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Kesi za mauaji zinavyowasumbua mahabusu na wafungwa wengi

    Nakumbuka kipindi nilipokuwa mahabusu na hatimaye mfugwa nilikutana na mahabusu wengi waliokuwa wanasubiri hatima ya kesi zao. Wengi wamekuwa kama vichaa au kuchoka kimwili kwa muda mrefu wanaosubiri hukumu yao. Nilikutana na mzee aliyekaa mahabusu toka 2008 anasubiri hukumu ya kumuua mkewe...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Karma: Ipo siku Mama atakuja shuhudia mwanae, mjukuu au hata Mwenza wake akienda Jela au Mahabusu

    Kwasababu malipo ni hapa hapa duniani, basi hilo litakuja kutimia huku Mama akishuhudia na wakati huo akiwa hana tena Mamlaka na nguvu alizonazo leo hii. Kama si Mama, basi ni wale walio nyuma ya dhambi hii kwa kutumia nafasi zao. Ukweli ambao wengi hamkuwahi hata kuufikiri ni kuwa, bora watu...
  3. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Sakata la viongozi wa CCM kulazwa mahabusu lachukua sura mpya

    Babati. Sakata la kukamatwa na polisi na kulazwa mahabusu kwa viongozi wawili wa CCM wilayani Babati Mkoa wa Manyara, kwa madai ya kumpiga askari Polisi limechukua sura mpya baada ya mashuhuda wa tukio hilo kudai kuwa polisi huyo hakupigwa. Viongozi waliokamatwa na kulazwa mahabusu katika kituo...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia ilikuwa haina "option" nyingine zaidi ya kumwachia Mwenyekiti Mbowe kutoka mahabusu

    Kwa kila mtu anayeifuatilia Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti Mbowe na wenzake 3 huko kwenye Mahakama Kuu, atagundua kuwa hii Kesi ni ya kubambika, kwa maana ya kuwa Majaji wake wanaopangwa ni wa michongo, mawakili wake walioko upande wa Jamhuri, walio upande wa mashitaka nao ni wa...
  5. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Tuwasemee na wale wengine wanaoozea mahabusu kwa 'ugaidi wa michongo'

    Mimi ni katika watu waliosikitishwa sana na kesi ya ugadi aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Hii inaonesha suala la haki za raia lina mushkili sana. Fikiria kama inaweza kufanyika hivi kwa mtu mkubwa kama Mbowe, vipi hali zetu sisi wa kawaida? Hata hivyo, wakati tukishinikiza...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sabaya kaenda jela watu wanashangilia, Mbowe yupo Mahabusu Taifa linavurugika. Tusubiri TCD ya michongo itumike kufuta mchongo

    Kila Kona kila kijiwe kauli mbiu ni Mbowe Mbowe Mbowe. Huyu mwamba amejua kuwatingisha. Yupo jela huku nje watu wanalipwa wakamshawishi atoke jela. Yaani unawekwa jela then qaliokuweka jela wanatafuta watu wakukutoa jela? Ishi na watu vizuri wakusaidie unapokwama. Kila Kona anajadioiwa Mbowe...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kuona mahabusu ana amani moyoni, waliomweka mahabusu wanateseka. Tuzidi kumtumaini Mungu atupe viongozi SIYO watawala

    Mhe. Freeman Mbowe yupo mahabusu kwa miezi kadhaa sasa, siyo kwa sababu ametenda kosa ya jinai bali kwa sababu amekataa kutumika kuwakandamiza watanzania. Kukaa kwake ndani naamini ni Mpango wa Mungu kutufunulia aina ya watawala tukio pamoja na namna dola inavyoshughulika na wanachi wasio na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu za wanaoshikiliwa ktk mahabusu mbalimbali, kwa tuhuma za Ugaidi, wazungumza na vyombo vya habari.

    ..kuna mahabusu 186++ wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi ktk magereza mbalimbali. ..Ndugu zao wamezungumza ktk vyombo vya habari kama wanavyoonekana hapo chini. Cc amanibaraka
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kiongozi yupi ndani ya CCM anaweza kuvumilia kukaa mahabusu japo kwa wiki moja kwa ajili ya Wananchi?

    Kati ya viongozi wote wa CCM ni yupi anaweza akatuhumiwa kisiasa akakamatwa na kuwekwa ndani kisha akavumilia kukaa huko akisubiri haki itendeke bila kutuma watu Kwa viongozi waandamizi wakamwombee msamaha? Yupi mwenye uchungu na Wananchi kiasi kwamba anaweza kuweka Taifa mbele na kuachana na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Freeman Mbowe azuiliwa kupewa chakula akiwa mahabusu

    By Godbless Lema kupitia twitter: "Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ." Also by Martin Maranja Masese kupitia twitter: "Freeman Mbowe ni mahabusu, sio mfungwa, na kuna utaratibu wa kuwapa...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wafahamu manabii waliokaa mahabusu na kufungwa jela (ikiwamo kwa sababu za kisiasa)

    WAFAHAMU MANABII WALIOKAA JELA , (WENGI SABABU ZA KISIASA) Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kipimo namba moja cha Nabii au mtumishi wa Mungu ni HAKI, Ikiwa nabii au mtumishi wa Mungu hatakuwa na sifa hiyo basi ni wazi yeye sio nabii wala sio mtumishi wa Mungu, huwaga nawaitaga wahuni tu. Mtumishi...
  12. Babe la mji

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kuweni waaminifu kwa vitu vya mahabusu mnaowaweka ndani maana vingi vinanapotelea mikononi mwenu

    Mwezi uliopita ndugu yangu aliwekwa ndani kwa kosa dogo tu tena la kusingiziwa na jamaa flani mwenye hela, kisa Cha ndugu yangu kuwekwa ndani ni kumdai huyo bosi hela yake. Kwa ufupi ndugu yangu kazulumiwa na huyo bosi Sasa kudai chake jamaa kamuweka ndani eti anadai ndugu yangu anataka...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atimiza siku 90 mahabusu

    Leo ni miezi mitatu kamili tangu kukamatwa kwenye masuala ya kongamano la Katiba Mpya na kurundikwa rumande kwa mwamba Mbowe, na baadaye kutengenezewa mashitaka ya kutunga ya ugaidi. Miezi mitatu kwa kesi ya uongo ya ugaidi ya kutengenezwa na kingai si jambo jepesi, bali ukweli uko wazi kwamba...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakina Halima Mdee wamekataa kwenda kumsalimia Mbowe Mahabusu?

    Wahenga walisema ukistaajabu ya Farao utashangaa ya Musa. Najaribu kutafuta picha kama akina Mdee na wenzake kwa jinsi walivyokuwa kindakindaki na utii ndani ya chama na mwenyekiti, wadada wa Bawacha walikuwa na makesi kibao ya kumtii Mwenyekiti lakini leo kunauadui zaidi ya ule wa chui na paka...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kuwakamata na kuwaweka mahabusu kunanachangiaje maendeleo ya Tanzania?

    Hii kamata kamata ya viongozi wa upinzani nchini inasaidiaje kuondoa umaskini? Je wanapopelekwa mahabusu wanatumika katika kufanya uzalishaji au wanakaa tu wakisubiri wapate dhamana au wahukumiwe? Lakini pia hii ipo kwenye ilani ya chama Cha mapinduzi au imeandikwa wapi kwamba ni.marufuku...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Je, tunatoa mahabusu wa awamu ya tano tupate nafasi ya kuweka wa awamu ya sita?

    Jamhuri iliweka watu watu ndani zaidi ya miaka mitatu ndani bila kusikiliza kesi zao na baada ya awamu ya sita kuingia madarakani watu wale wanaondolewa Magerezani kupitia ofisi ile ile iliyokuwa inawashikilia. Mmoja Wapo Ni kaka yangu Rwegamalila. Wakati wakina Rwegamalila wakiondoka gerezani...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

    Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbagala, Dar es Salaam: Mahabusu wadaiwa kumpiga askari na kutokomea kusikojulikana

    Mahabusu waliokuwa wanashikiliwa kwenye Kituo cha Polisi cha Maturubai, kilichopo Mbagala wilayani Temeke wametoroka baada ya kumpiga askari kisha kuvunja lango la chumba cha mahabusu na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa moja usiku, jijini Dar es Salaam...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe akitoka Mahabusu, atasema, "nimewasamehe, ila mapambano yanaendelea"

    Huu ndio utabiri wangu siku Mbowe anatoka Mahabusu. Atazungukwa na Media za kitaifa na kimataifa na ujumbe wake utakuwa ni huo au wenye kufanana na huo. Historia ya mapambano ya kudai Katiba Mpya inazidi kuandikwa, na picha za Mbowe kuwa Mahakamani na za kuachiwa huru au hata kufungwa gerezani...
  20. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Katiba ya CHADEMA inasemaje chama kutokuwa na Mwenyekiti wala Makamu?

    Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee, Je, katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu? Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki...
Back
Top Bottom