mahaba

  1. Nimeshiba Mahaba....💕

    Ikawa asubuhi ikawa jioni.... Habari za jioni Kasiende, nzuri. Waelekea wapi niunge tela...!! (Kwani vipi...!! Kuingia tela huko vipii...!?) isiwe ishu... Naenda kupata mlo wa jioni kisha amsha popo maana godoro limelowekwa linakauka kwa mwanga wa mwezi na nyota.... Huku na kule meza...
  2. Am Obsessed With Your Love

    Mahabuba, Mpenz, La Aziz, My Love, My Heartbeat, My Handsome, My Best Best Friend, My Soulmate, My Man, My King, My One and Only... My Pumpkin, My Darling, My Breath... Most of All, My smile.... You know what, these are sweet nothing words from me to you. With you I find peace, natural...
  3. N

    Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

    Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo .So wanaume muanze kupika ,piga deki na kufua nguo .wanawake tupo juu Sana,habari ndio hiyo .
  4. Kwenye ukoo wa kifalme Uingereza inakatazwa weza kuonyesha mahaba yao kama kushikana mikono hadharani

    PDA Is Off-Limits Although the couples in the royal family might love each other dearly, they are not supposed to show public displays of affection. Marrying a prince might seem like an actual fairytale, but you can't make a big show of it in public. Holding Hands Is Even Frowned Upon This rule...
  5. Bila subra imani na mahaba huwezi ishi kwenye ndoa

    Ndoa-bila-subra-imani-na-mahaba, huezi ishi kwa ndoa 1. Kama huna subra kwa ndoa yako basi huezi kuishi kwa ndoa na amani ndoa yajengwa na subra kusubiriyana kila moja wenu amsubiriee mwenzake kwa tabia kwa hali na mali ndio mutaeza faidika mukiwa na subraa kwa ndoa yenu ,, jitahidi uwee na...
  6. Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  7. M

    Wapenzi kutumia mswaki mmoja

    Wapenzi Kuswaki kwa Miswaki ya Wapenzi wao ni Mahaba, Ushamba, Afya Njema au Uwendawazimu? Nahitaji Majibu yenu Ndugu manake....!!!
  8. Nyimbo nzuri za mahaba

    Mapenzi ni kitu ambacho kwa asilimia kubwa kinatawala katika nafsi ya mwanadamu. Amini usiamini kubali ukatae mapenzi yana thamani sawa na uhai wako. Mimi ninapokuwa niko free napenda kusikiliza nyimbo zifuatazo kwa utulivu na kwa hisia nzito nikitafakari mengi juu ya wapendwa wanaonipa amani...
  9. Mtangazaji Maulid Kitenge mwenye Mahaba yasiyojificha na yaliyopitiliza kwa Yanga SC badilika kwani tumekuvumilia vya Kutosha

    Haiwezekani Wewe 24/7 tu Utangazaji wako uwapo hapo Wasafi FM kwa Kushirikiana na Mpuuzi mwenzio Yusuph Mkule nyie Kazi yenu Kuu ni kutafuta tu negative angle ya Kuihusu Simba SC na Kuichafua. Mimi huwa ni mgumu sana Kumsema (Kumnanga) Mtu ila ukiona hadi hivi leo nimekuanzishia hapa JamiiForums...
  10. GE2020 Kama Tundu Lissu na Maalim Seif wana 'Mahaba' yao ya 'Kisiasa' wanayotuonyesha sasa kwanini hawakuwa sehemu Moja tu Kichama?

    Kila mara nakutana tu na 'Picha' zao wakiwa 'Wamekumbatiana' na naona kama vile Maalim Seif Sharrif Hamad ndiyo anapenda mno 'Kumkumbatia' Tundu Lissu ambaye nae pia huwa anaonyesha kabisa 'Kufurahia' vile 'anavyokumbatiwa' hasa mbele ya Kadamnasi. Nashauri tu Wiki ijayo Rais Dk. Magufuli...
  11. D

    Video: Watanzania na mahaba niue ya siasa. Tafadhali tuzingatie usalama kwanza

    Mambo ni kama hivi
  12. Askofu Bagonza na Mchungaji Mwingira Siku zingine msiwe mnaonyesha 'Mahaba' yenu ya 'Kiroho' wazi wazi kwa 'Kiboko' ya 'Mkemia' wa Ziwa Victoria!

    Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake. EastAfricaTV Ngojeni sasa...
  13. Hili Gazeti kwanini lisiitwe Yanga Sports? Si kwa mahaba Haya

    Miaka ya nyuma tunanua Yusuph Manji alikuwa anawanunua sana waandishi wa habari waandike kuhusiana na yeye na Yanga. Na moja ya magazeti ambayo yalitumika sana ni MWANASPOTI. Gazeti hili limeendelea sana kuandika habari za kishabiki,zisizo na weledi kwa kuangalia sana jinsi ambavyo wataipendeza...
  14. Siasa iko moyoni

    Watu wanapenda vyama vyao
  15. Elimu/Shule ya mahaba matata uliipata wapi?

    Habari za jioni. Kizuri kula na wenzio. Ukiguswa tafadhali elezea ulijifunzia wapi mambo ya Mahaba yaani utundu na ufundi wa 6*6. Acha kujua kuchomoa na kuchomeka laah hasha ujuzi na ufundi yaani umaridadi bin ubunifu bin sanaa ya mapenzi. Ulizaliwa nayo? Ulirithishwa? Au mpaka leo hujui kitu...
  16. Simulizi: Kinu cha Mama

    KINU CHA MAMA Mussa N. Abubakari UTANGULIZI. Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu. ZINDUKO; Moja ni jibu, Ngono hutibu. 1. Romantic Star Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
  17. N

    Married But Available itanimaliza ,ushauri wenu wadau....

    Dah...haya mambo ya kuhamishiwa mkoani Dom huku familia zetu tumeziacha Dar , yana changamoto sana...yaani hii kauli ya 'ofcourse I am married but some how available' nimeshakutana nayo zaidi ya mara tatu tangu nihamie Dodoma ni toka kwa akina mama/wanawake wenye ndoa zao lakini wamehamishiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…