Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake.
Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za ushindani mkubwa ndani ya CCM, zile siasa tulizokuwa tunazisema za CCM-Asilia na CCM-Magufuli. Najua...