magufuli

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ameondoka na Neema zake?

    Ukweli ndugu zangu, kila nikihangalia naona Mheshimiwa Al Marhemu Magufuli ni kama ameondoka na neema zake kwani hata radhi yalikuwa hayatusumbui. Je hii serikali iliyoingia na kurithi madaraka imeingia na nuksi au ina nuksi? Karibu Tanzania itakuwa nchi hatarishi kutokana na gonjwa la Korona...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Iramba hatumtaki tena Mwigulu Nchemba

    Huyu bwana Dkt. Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025. Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025...
  3. JamiiForums Tanzania Nipo Zambia, kila Mzambia ananiulizia habari za Rais Magufuli

    NIPO ZAMBIA,KILA MZAMBIA ANANIULIZIA HABARI ZA RAIS MAGUFULI. Nipo Zambia now kununua Soyabeans, JPM anakubalika vibaya mno (kumbuka tenda ya kuuza Soyabeans alituombea JPM mwezi Wa 12 mwaka Jana kwa Waziri Wa mambo ya nje Wa China alipozuru Tanzania- ambapo China ilikubali kuijumuisha Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Leo nimemuota Magufuli Amekufa, usiku wa kuamkia leo, Nikafadhaika sana. Hii maana yake nini?

    Wakuu Kwema! Usiku wa leo nimefadhaika Sana, nimesononeshwa mno, nimepatwa na uchungu usioelezeka mpaka usingizi ukakata nikaamka yapata saa saba na dakika ishirini na mbili Kwa saa ya ukutani. Mwaka Jana niliota ndoto ya namna hii hii lakini nikashindwa kuipandisha hapa kutokana na sababu...
  5. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hili baraza la sasa siyo lako, ni la Magufuli akishauriana na Majaliwa, tengeneza baraza lako!

    Ndugu rais Kiungwana niseme kwamba nimefarijika angalau kidogo kwa wewe kuchukua hatua ya kurejea makato ya miamala na kutoa muongozo kuwa makato hayo yaangaliwe upya. Binafsi naona kwamba huo ni usikivu na ni ukomavu. Kwa sababu kiukweli kabisa hii kitu ilikuwa imetukalia vibaya sisi wananchi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu wa CHADEMA, Hayati Magufuli alikuwa sahihi kizuia siasa uchwara

    Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo. Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA. Leo...
  8. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli alichangisha matajiri na wasaidizi wake, hao ndio wenye hela

    Kama itashindikana kuiondoa kwa kuwa ipo tayari kwenye budget basi na iwe fixed amount. Kodi ya uzalendo ingekuwa na tija kama ingekuwa ni fixed amount. Mfano wangesema wakate Tshs. 10 kila siku kwa mtumiaji wa simu. Maana kwa mwezi (siku 30), kila mtumiaji wa simu angechangia Tshs. 300. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kinachomtesa Rais Samia ni kivuli cha Magufuli

    Mama Samia Mke wa Mzee Awadhi Hafidhi kutoka Makundi Zanzibar Ni mama mpole, mnyenyekevu lakini mvumilivu asiyetaka makuu ni mama mwenye Upendo. (Hapa nitapingwa lakini ndivyo alivyo). Ni kweli binadamu huwezi kuwa na tabia moja labda uwe Zezeta, hata Zezeta hupiga watu, hutukana watu na muda...
  10. JamiiForums Tanzania Miezi 4 bila Hayati Magufuli: Kwanini Magufuli aliweza kuijenga nchi bila tozo ya mshikamano?

    MIEZI 4 BILA JPM:KWA NINI RAIS MAGUFULI ALIWEZA KUIJENGA NCHI BILA TOZO YA MSHIKAMANO!? Leo 12:50hrs 18/07/2021 Mwana wa kweli wa Afrika, Son of the soil, Hayati Rais Dr. John Pombe Magufuli,ndani ya miaka mitano aliifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati bila tozo ya mshikamano akifanya...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Magufuli Haiwezi Kufutika kwa Siasa Uchwara

    Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea. Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet...
  12. JamiiForums Tanzania Hii tozo ya kuhamisha fedha ambayo sio ya Serikali ni justofiable?

    Naona makampuni ya simu yanaandika makato ya kampuni na kuyatenganisha na tozo ya Setikali lengo ikiwa ni kuonesha makato yameongezwa na tozo ya serikali. Sasa tujiulize je haya makato ya sh lets 350 unapotuma elfu 10 yanayoenda kampuni ya simu ni justifiable??? kwa nini 350 na sio 100...
  13. JamiiForums Tanzania 15 Julai, 2021; Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kasi sana na watu wa kada zote

    Kwa kweli nisiwe mnafiki. Niliacha kupenda siasa toka baadhi ya wapinzani kuanza kuunga mkono juhudi za JPM. Marufuku ya siasa ikachangia pia. Utendaji wa hayati nao nikaupenda. Kilichonifanya nisimpende Magufuli baadae ni hali ya mgawanyiko uliokuwa unaendelea nchini. Haya ni Rais wetu JPM...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Ili kumuenzi Hayati Magufuli ianzishwe Magufuli Infrastructure Development Fund-MIDF

    Salamu kwa wanaJF. Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania. Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa

    Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma. Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school. Sikiliza audio hapo. Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu. Ndalichako...
  16. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Viwanda: Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini, siyo ujenzi wa Sanamu ya Hayati Dkt Magufuli

    "Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini katika maonesho ya Sabasaba, wenzetu wakaomba tuliite Magufuli na tukafikiria kwanini isiwepo sanamu?" "Katika majadiliano hayo ndipo wanahabari wakachukua, 'Serikali kujenga sanamu kwa milioni 420" ---- Naibu Waziri Exhaud Kigahe Pia...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

    Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani. Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo. Ni miaka 60 tangu tupate uhuru, mkoa wa Tabora ulisahaulika sana...hasahasa kwenye huduma muhimu za...
  18. JamiiForums Tanzania Fitina: Nani katika hawa alimdanganya Dkt. Magufuli kuwa Drone za kuzimia moto ni Camera

    “Zana za zimamoto ziko outdated , Fikiria Moto uanze PSPF tower floor ya 20 hakuna gari litazima moto kule,Isipokuwa drones,kwa bahati mbaya waliomuelezea mkuu wetu walimdanganya kuwa drone ni camera na zimesainiwa mabilion kumbe ni ndege ndogo za kuzima moto“-Mh Kangi Lugola. Hii ni kauli ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli kuwa ni kinara wa mabadiliko nchini

    VITABU vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa kwa agizo la Rais John Magufuli havitatumika tena. Badala yake, vitaandaliwa vingine – endapo kutakuwa na umuhimu huo, SAUTI KUBWA imeelezwa. Somo hilo lilipangwa lifundishwe kwa wanafunzi wa shule za awali hadi sekondari za juu...
  20. JamiiForums Tanzania Chombo cha habari cha Diallo kilitumika sana na media za mabeberu kumchafua Magufuli

    Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…