magufuli

  1. W

    JamiiForums Tanzania Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

    Habari wana jukwaa. Leo nikiwa katika harakati za kutafuta, kuchakata na kusambaza habari kwenye mtando wa kihanaharakati wa Twitter nilitembelea katika ukurasa wa hayati Magufuli ila nilisitaha ajabu kutokukuta kwa tiki ya blue ambayo inaonesha uthibitisho wa ukurasa husika kuwa ni sahihi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Utitiri uliombeba Tembo kwa kasi ya Duma

    Mke wangu aniamsha, usiku saa sita, Machozi aomboleza, simu anonyesha, Habari mbaya napata, usingizi unakata, Akili yangu kataa, Magufuli amekufa. Tarehe kumi na tano, ndoto ninaota, Aniijia Raila Amolo, machozi analia, Dola toa tangazo, tarehe kumi na saba, Akili yangu kataa, Magufuli amekufa...
  3. JamiiForums Tanzania Utofauti wa Hayati Magufuli na Rais Samia

    Leo ni nimewaza sana nikagundua mambo mawili kwanza people we differ kama alivyosema msomi wa kitambo hicho hayati TUTEMEKE SANGA(MAKETE) Lakini pia nikakumbuka ule mstari wa biblia unao sema kuna matoashi wa kuzaliwa na kuna matowashi wa kutengenezaa lakini hayo yote yalianzia mbalibasi...
  4. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa raia wa nchi za Afrika wanaoishi Ulaya na Marekani juu ya Hayati Rais Magufuli

    Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM. Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha...
  5. JamiiForums Tanzania Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

    MIEZI SITA BILA JPM: WATANZANIA WALIISOMA NA KUIELEWA DHAMIRA YA RAIS MAGUFULI ILIYOTIRIRIKA KAMA MAJI. Leo 10:15hrs 19/09/2021 Rais John Magufuli, alikuwa Mzalendo mwenye mapenzi ya kweli kwa Nchi yake,hakuijua China,Marekani wala Ulaya toka achaguliwe, yeye ni Morogoro, Arusha, Iringa...
  6. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kiongozi asipendelee kwao kama Hayati Dkt. Magufuli alivyoipendelea Chato?

    Ni wazi kuwa rais Magufuli aliipendelea sana wilaya ya Chato katika kupeleka maendeleo. Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa, alijenga hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, alijenga chuo cha Veta, alianza kujenga hoteli ya nyota tatu, mipango ya kujenga uwanja wa mpira. Na mambo mengine mengi...
  7. JamiiForums Tanzania Daraja la Busisi-Kigongo; Hongera sana Rais Samia, hongera Hayati Magufuli huko uliko

    Tuzidi kumuunga mkono Mama Samia anazidi kuchapa kazi kimya kimya. #mimi na magufuli ni kitu kimoja#
  8. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli aliletwa duniani mahsusi na Mungu ili kuleta masomo fulani tujifunze

    Mungu Kuna watu anawatumia hapaduniani Kama shule kwa umma wake ili uongoke au ujifunze Jambo fulani magufuli ni mmoja wao. Somo la kwanza Ndugu pataneni mnapogombana maana mkishindwa mnampa nafasi adui kuneemeka na ugomvi wenu.Mtifuano wa kina lowasa ndani ya ccm ndio uliompa JPM kula kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania leader reinstates minister sacked by predecessor

    Hii ndio habari ya kuvutia kwa vyombo vya habari vya Magharibi kuhusu cabinet reshuffle? ----- Tanzania leader reinstates minister sacked by predecessor Mon, September 13, 2021, 4:06 PM Hassan put Makamba in charge of the strategically important ministry of energy (AFP/-) Tanzania's...
  10. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli aliwatumia wamachinga ili kujizolea umaarufu wa kisiasa, hakuwa na huruma na wamachinga

    Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye. Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana huko ndiko zitokazo bidhaa wanazouza. Serikali ya Magufuli iliwatumia wanyonge kama mtaji wake...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Siwaoni wana CCM kindakindaki wakimtetea Rais Samia kama walivyofanya kwa Hayati Magufuli

    MATAGA waliojulikana kama ‘Praise Team’ enzi hizo walikuwa mstari wa mbele kusifia chochote alichofanya Magufuli hata kama kilikuwa kibovu. Leo mama Samia kaachwa peke yake akijitetea mwenyewe, hata viongozi kina Shaka hatuwaoni wakimtetea kama tulivyokuwa tunashuhudia wakijitoa ufahamu kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

    Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!! 1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion...
  13. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 John Pombe Magufuli, Rais aliyeacha alama kwenye mioyo ya wanyonge na kuacha kovu kwenye kidonda cha Katiba

    Na Elivius Athanas. Ni takribani miezi mitano na siku ishirini na nne (24) sasa, tangu hotuba ya dharura ya Rais Samia Suluhu Hassan itutoe machozi Watanzania, alipokuwa akitangaza kifo cha Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli aliyefariki Jumatano jioni tarehe 17.03.2021 kwa tatizo la...
  14. JamiiForums Tanzania TRA kwanini Wamehamishia akaunti ya malipo KCB, siyo tena NMB? Ni ufisadi baada ya Magufuli?

    TRA na BOT watajitetea kwa sababu zozote zile lakini sisi tunaolipa kodi ktk nchi hii, kwa kujua nani anamiliki KCB (Kenya Commercial Bank) hii ni chini ya kiwango cha uzalendo uliohubiliwa miaka mitano iliyopita. Nalinganisha malipo niliyofanya 2020 na mwaka huu, yakielekezwa benki tofauti...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru utazimwa Chato mkoani Geita ukiambatana na Misa takatifu ya kuwaombea mahayati Magufuli, Mkapa na Nyerere katika Kanisa Katoliki

    Waziri Jenister Mhagama amesema Mwenge wa Uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki...
  16. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

    RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3 Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya...
  17. JamiiForums Tanzania IGP wa Zambia ashindwa kumaliza kiapo kwa kutetemeka, nawaza angekuwa hayati Magufuli

    Nchi ya Zambia baada ya mabadiliko ya chama tawala na Rais, wameamua kulifumua Jeshi la Polisi ikiwa ni kutekeleza ahadi ya Rais wakati akiomba kura. Katika hali ya kustaajabisha, IGP Remmy Kajoba alishindwa kumaliza kiapo baada ya mtetemo kuzidi wakati akiapa. Rais Hakainde Hichilema alitoa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kuiga na kuendeleza matendo ya Hayati Dkt. Magufuli, itasadifu?

    Nifahamuvyo mimi kila zama na kitabu chake Kinachoendelea nchini kutoka jeshi la polisi na wanasiasa waliojificha nyuma yao kwa kuwabana wapinzani wao katika siasa ni kutaka kuendeleza ya hayati lakini nawaza kwa sauti itawezekana? Hayati Dkt. Magufuli ni yeye tu kuwa kama yeye ni kuiga na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kosa kubwa kama Hayati Magufuli kuhusu upinzani

    Ni miezi michache tu toka Hayati Magufuli afariki lakini historia yake huwezi kuandika bila mabaya aliyowafanyia raia wake kwasababu tu ni wapinzani. Naona kwa mwendo huu wa Polisi wanampeleka Rais Samia hukohuko huyo aliye mdanganya kwamba kunyanyasa wapinzani itasaidia kamshauri vibaya na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania CCM na Polisi wanajisiakiaje pale wanaposikia maneno haya ya Hamza akiwasifia Raisi Magufuli na Samia?

    Kitu kinachoendelea sasa ni jitihada ya Polisi na serikali kujaribu kutoa picha kwa Watanzania kwamba Hamza hakuwa mtu mzuri na Polisi ni watu wanaofanya kazi yao vizuri. Polisi na serikali hata wamekuwa wakijitahidi kuonyesha Hamza alikuwa mtu hatari angeweza kuua raia wengi kama Polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…