magufuli

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli alichukiwa ndani ya CCM?

    Wapinzani walikuwa na haki ya kumchukia Magufuli kutokana na mambo aliyowatenda. Lakini cha kushangaza upinzani mkubwa sana umeibuka kutoka katika kikundi kidogo ndani ya chama chake mimi nawaita wanufaika wa chama. Kukaibuka wakina KIGOGO 2014 hadi alipofariki uwanaharakati wao ukaisha...
  2. JamiiForums Tanzania Akili za Magufuli: Alidai Mwanza ni Jiji na Dar es Salaam ni Mkoa

    Salaam Wakuu Ndo Maana watu wanalalamika rais ana Mamlaka makubwa hadi kuingilia Sheria, Historia na Maisha ya watu waishije. Yule mwenda zake alishauriana na Mke wake akaona atoe tamko kwamba Mwanza na Dodoma ni Majiji na Dar es Salaam ni Mkoa kinyume kabisa na Sheria na Kanuni za TAMISEMI...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Magufuli muelewe, siasa zenu hazina nafasi tena nchi hii, ila wapinzani nao wana wajibu

    Pamoja na matatizo mengi Tanzania ilyokuwa nayo kabla ya mwaka 2016 lakini ilikuwa katika njia nzuri na ilikuwa inapiga hatua, Then akaingia Magufuli ambaye wengi, ikiwemo mimi nilidhani atatatua matatizo mengi ya nchi yetu kwa kipindi kile Lakini Magufuli alikuja na siasa mpya ambazo...
  4. JamiiForums Tanzania Mungu hapangiwi ila Magufuli alipaswa ayaone haya akiwa hai ajifunze

    Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo. Alipaswa kumuona Lissu akitabasamu na Mama Brussels. Alipaswa kumuona Mbowe akipeana na mama mkono Ikulu. Alipaswa kumuona Sabaya...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

    Kama ni kweli wale tulio kwenye ulinzi jiuzuluni tafadhali sanaaa huyo hapo chini alikuwa mlinzi wa Magufuli sasahivi ni mlinzi wa Naibu spika?
  6. JamiiForums Tanzania Je, na Rais Hayati Magufuli nae angestaafu angekuwa anaenda Bunju kwa 'Helicopter' kuiangalia Simba kama afanyavyo mwingine huko Kigamboni kwa Yanga?

    Ni matumaini yangu Makubwa kuwa hizo Helicopter huwa zinakuwa Salama na zinafanyiwa Matengenezo makubwa kwani kwa mwaka huu Watanzania hatuhitaji Kuomboleza tena. Halafu wala msihangaike kwenda huko Avic Town Kigamboni ilipo Yanga SC Kisirisiri kwani wengine tunawajua hata mlivyokuwa Uongozini...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Chuo cha Uongozi Mwalimu Julius Nyerere

    Wakuu Mama Amesema Hakuna Kupoa Wala Kutulia Chini. . Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani. . Viongozi mbalimbali wa chama tawala na Serikali wameshiriki Ufunguzi huo, wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya ANC (Afrika...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia toa tamko kuhusu NSSF kujiamulia Sheria iliyozuiliwa na Hayati Magufuli mpaka 2023

    Kuna ile sheria ya kikokoto kipya kilichoibua vurugu mpaka bosi wa nssf alitenguliwa madaraka kwa sasa NSSF wamejiamulia wenyewe kutumia hiyo sheria pasipo kauli ya Rais je huu siyo ubabe Watu wa sekta binafsi wanaumizwa na kikokotoo hicho au mnataka watu waingie barabarani na mapanga Tumieni...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Alichofanya Hayati Magufuli kwenye chaguzi za 2019 na 2020 ni udhihirisho kuwa kwenye Uchaguzi huru Upinzani wanaweza kushinda

    Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana. Hivyo CCM isibweteke na kujiamini kwamba inapendwa na wananchi kwa 84% ni kweli katika uchaguzi wa kisayansi...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Nikiomba file la matibabu ya hayati Magufuli naweza kupewa?

    Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa. lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion Research question: Could this death be prevented? Remember: Prevention is better than treatment!!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Rais Samia

    Sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura. Tunauliza where is our pride? Maneno haya ni kinyume kabisa na kujiamini alipotupa Magufuli na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Magufuli: Je, Demokrasia na Uhuru wa kujieleza vimezidi kuimarika, vimepungua au tuko palepale alipotuacha?

    Nauliza ili swali tukiwa tunaelekea kutimiza mwaka mmoja tangu Rais wa Tanzania John Magufuli afariki akiwa madarakani. Je, hali ya demokrasia ikoje? Je, uhuru wa kujieleza ukoje? Je, ubadhirifu wa mali ya umma ukoje? Je, halmashauri ufisadi hali ikoje hasa Uviko fund? Mauwaji je, hasa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli kafia Tanganyika kafufukia Zanzibar

    Kwa spidi ya kazi ya Mhe. Rais wa SMZ Dr. Hussein Ali Mwinyi, ni wazi kwamba maneno ya Mhe. Magufuli kwamba ninataka kuibadili Zanzibar hayakumaanisha kwamba atawapa Wazanzibari fedha bali kumbe sasa imedhihiri kwamba alimaanisha atawapa kiongozi mahiri wa mfano atayeibadili Zanzibar kwa muda...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

    Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha...
  15. JamiiForums Tanzania Kuelekea maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha Hayati JP Magufuli

    Wakati maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha JP Magufuli yakikaribia, ni vyema tukaangazia miradi yake aliyotekeleza na inayoendelea kutekelezwa / kukwamishwa kwa sasa.
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atawashangaza wafuasi wake, hawataamini

    Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi. Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu...
  17. JamiiForums Tanzania RC Geita awachimba mkwara waliopanga kwenda kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli

    RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli. Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

    January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi. Pamoja na...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Stend ya Mabasi ya Magufuli Vs stendi mpya ya Dodoma

    Wadau, Kama mtumiaji wa mara kwa mara wa stendi hizi kuna mambo ambayo najiuliza kwamba hawa jamaa waliojenga stendi ya Magufuli imekuwaje wamejenga stendi ambayo sifa yake ni lile ghorofa tu lakini kwa ujumla wake haikidhi mahitaji ya abiria . Rais asingekubali kuizindua na jina lake...
  20. JamiiForums Tanzania Nani aliwahi kuhoji haya kipindi cha Magufuli?

    Ndugu zangu watanzania, wakati tunaendelea kujadili siasa za nchi yetu ni vema tuangalie serikali zilizopita na ya sasa kwa kuangalia namna ambavyo kumekuwa na tofauti katika utendaji wake wa mambo mbalimbali. Leo hii napenda kuwauliza wenzetu wanaopenda kuweka ulimganyo wa utendaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…