Nikiwa nimechili zangu, kidume Sina hili wala lile maeneo ya Kwa Sadara ghafla anatokea Mzee anae kadiliwa kuwa na miaka zaidi ya 82.
Mzee ni wa makamo ila anaonekama kuwa very upstea kichwani mwake.
Katika mazungumzo yetu Mzee anamsifia Rais wa awamu ya sita Kwa mengi mazuri anayoyafanya...
Asanteni JF Kwa maua maua kuelekea mwisho wa mwaka
Na ikawe heri next year panapo majaliwa
Bwala la mto Rufiji dedication ni kwa Magufuli na Nyerere. Hawa Ndiyo washika maono wetu.
Wamechukua maamuzi magumu kuhakikisha Tanzania iwe na umeme wa uhakika.
Bwawa hili Nalibatiza Kwa jina la
"...
Wote waliohusika kumsema Magufuli kwenye zile sauti zilizovuja, wote walipotezwa kisiasa kasoro Nape na Makamba.
Ngeleja japo hakuwa mshiriki mkubwa na kuwa wa kwanza kuomba msamaha lakini alipotezwa kwenye ubunge baada ya Magufuli kumfadhili mshindani wake.
Membe alifukuzwa, Kinana nae akawa...
Moja Kwa moja nikupongeze Kwa kupiga chini bonaza la ufunguzi wa bwawa.
Mama tumekuwa tunasikitika na kuumia mno pale unapokuwa mwalikwa kwenye haya mabonanza ya CCM, matokeo yake marehemu mumeo anasimangwa hovyo hovyo.
Tumejitahidi Sana mara kadhaa kukushauri kutupilia mbali haya mtamasha ya...
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS na Jeshi la Polisi.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe, tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na siyo iendelee kutumiwa...
Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kukamilisha miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake, kuna watu walisema kwamba miradi imesimama lakini Rais Samia Suluhu alisema miradi yote inaendelea na hakuna mradi uliosimama sisi wenyewe ni mashahidi tunaona utekelezaji unaendelea na moja...
Hivi ndivyo ninavyoweza kusema, naona unapiga makelele tu na impact ni sufuri bin sufuri.
Lugha rahisi ninavyoweza kutumia ni kwamba unapuyanga tu, watendaji wa serikali hawakuogopi hata kidogo.
Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa Maji, tatizo ni serikali unayoisimamia haina makucha hata...
Kupitia taarifa ya habari jana Jumatatu saa mbili usiku Azam TV imeripoti habari ya kiwanda kimoja cha kuzalisha vifaranga cha mjini Moshi kuteketeza mamia ya vifaranga kwa kuwatosa kwenye moto mkaili eti kisa tu vifaranga hao wamekosa soko!
Kweli japo kuku wanaliwa kila siku lakini kitendo...
KAMA HAYATI MAGUFULI ANGEKUWA HAI,ZITO KABWE ANGETUELEZEA VIZURI DENI LA TRILIONI 91 LIMEFANYA NINI TANZANIA.
Leo 13:15hrs 11/12/2022
Mara ya mwisho kusikia habari ya deni la Taifa ilikuwa kwenye bunge la budget mwaka huu nilipomsikia Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba...
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
Hili liko wazi kuwa Bashiru kuendelea kuwa katibu Mkuu CCM baada ya kuwa katibu Mkuu Kiongozi ilikuwa ngumu. Magufuli alikuwa tayari ana plan B ya kumpata Katibu Mkuu CCM pamoja na Katibu Mwenezi CCM, maana Polepole tayari alikuwa ameshasukumizwa bungeni tayari.
Sasa mimi nauliza ni kina nani...
Walipoanza ilionekana kana kwamba hawa jamaaa ni marafiki sana but mambo yalikuja badilika. Kagame kama Magufuli hana rafiki wala adui wa kudumu.
Kuna sehemu maslahi ya hizi nchi mbili yalipishana. Kagame akaamua kunyamaza maana alishaambiwa Magufuli alikuwa anamlia timing ajichanganye tu...
Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea...
Sikumbuki ni mwaka gani lakini nakumbuka kwenye moja ya bajeti zake aliitekeleza kwa ufanisi Kwa kiwango ambacho hata Mbowe na wenzie walikosa kabisa cha kukosoa wakaishia kusifia tu.
Kwa jinsi hiyo hata CHADEMA wangekuwa na mtu kama Magufuli wasingeacha kumpa bendera agombee Urais kwa chama...
Tangu akiwa Waziri Magufuli alifahamika kama mtu mkurupukaji mwenye kufanya maamuzi ya pupa kwa hasira na kukomoa.
Hii sio iliumiza watu wengi tu bali pia kuitia hasara serikali pale ambapo aliyechezewa rafu na mwendazake ni wa kimataifa na anaishtaki Serikali.
Leo tena tumeona ndege ya...
Salaam Wakuu,
Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.
Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili...
Only those of us who truly knew him will remember him as being the sadist he was. A power-hungry man who was willing to shoot his own fellow soldiers to gain power. A man willing to play with the hunger of the poor to gain support and ultimately power. A man willing to turn half a country into...