magufuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ni Thomas Sankara wa Tanzania. Atakumbukwa kwa kufanya makubwa ndani ya muda mfupi

    Thomas Sankara wa Bukinabe ambaye leo hii mabaki yake yamezikwa upya kwa heshima ya kijeshi ni kiongozi bora kuwahi kupatikana barani Afrika. Alifanya makubwa kwa taifa lake. Alipigania maslahi ya wanyonge na kulinda rasilimalinza taifa lake. Kwa Tanzania ni hayati Magufuli pekee aliyefanya...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nashangaa niliwezaje kujenga kipindi cha Hayati Magufuli lakini awamu ya sita najaribu mambo hayasomeki

    Kipindi cha Magufuli cha awamu ya tano pamoja na madili kuwa magumi lakini kilichopatikana kilifaa hadi nikajenga nyumba si haba Nashukuru Mungu. Siyo kujenga tu hata tuvituvitu nilinunua, watoto walikula vizuri, na walipendeza siyo haba. Maduka yangu ya vifaa vya simu kariakoo niliyafunga...
  3. JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Rais Samia atangaze rasmi tarehe 17 Machi iwe Sikukuu ya kitaifa kumuenzi Hayati Magufuli

    Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli. 17 march: Magufuli Day Kwenu wakereketwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

    Kuna mzee mmoja alikuwa na nyumba mbovumbovu mitaa ya kariakoo mtaa wa Congo mkabala na ilipokuwa Club ya Nyota Nyekundu,tuliozaliwa mjini miaka hiyo tunapaelewa. Yule mzee majirani zake waliuza vile viwanja kwa mamilioni kadhaa cha chini ilikuwa bilioni moja Ghafla afya ya yule mzee ikaanza...
  5. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuingia stendi ya Magufuli kwa Kadi walalamikiwa kuchelewesha abiria

    Zikiwa zimepita siku mbili tangu tangu Manispaa ya Ubungo, ianze utaratibu mpya wa kuingia na kadi katika stendi ya mabasi ya Magufuli, mfumo huo umelalamikiwa kuchelewesha abiria, huku baadhi ya madereva nao wakilalamikia ucheleweshaji wa safari zao. Hatua ya matumizi ya N- Card yalianza...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka sasa kuna mtu hamwelewi Rais kweli?

    Mimi naona huyu Mama kaletwa na Mungu kuwa Rais for a purpose. Hebu angalia yafuatayo; 1. Ameondoa retention fee ya loans board kwa wanafunzi ambao tulikuwa tunasuffer kwelikweli. Kila mwaka mkopo ulikuwa unakua whether unafanya kazi au hifanyi. JPM hakufilia kabisa hilo japo inasemekana...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kufikia 2025 hata Tundu Lissu ataanza kuhubiri mema ya Hayati Magufuli, Zitto Kabwe amefungua

    Hakuna mwanasiasa ataacha kumsifia Shujaa Magufuli wakati wa kuomba kura 2025. Siyo wa CCM wala Upinzani kura zimebebwa na Nyota ya Magufuli. Wale wajanja wameanza mapema na wataongezeka zaidi na zaidi. Yesu akawaambia wale wanafunzi kamwambieni Johnthebaptist kuwa Viwete wanatembea na Vipofu...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu utaratibu wa kutumia kadi ya kieletroniki Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli

    Tangu jana tarehe 20 Februari 2023 serikali imeweka utartibu mpya kwenye kituo cha mabasi cha Kimataifa cha Magufuli Bus Terminal pale Mbezi; ambao kimantiki ni utaratibu mujarabu unaoleta tija kwa jamii. Utaratibu wa kutumia kadi ya kieletronic ya N-Card kwa wananchi wanaoingia ndani. Mantiki...
  9. JamiiForums Tanzania Uko wapi ushahidi wa tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ya Hayati Magufuli?

    Tulipofika kila kiongozi anajitetea kwa wananchi kuwa anaijenga upya taasisi aliyopewa (upuuzi mkubwa huu) kila mmoja ukimuuliza atakwambia maika saba ya Magufuli hakukuwa na lolote lililofanyika, mnatuona wajinga sio? Makamba anajenga upya njia za umeme, Mchechu anajenga upya NHC, Zitto upya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya hadhara imeruhusiwa ili itumike kuua legacy ya Hayati Magufuli ya kufunika kasoro za sasa

    Kwa mara ya kwnza tunashuhudia upinzani wa aina yake nchini Tanzania, upinzani ambao unaacha kupigana na utawala uliopo na badala yake unapigana na kivuli cha marehemu Magufuli. Naomba ieleweke kuwa hili halitokei kwa bahati mbaya, Zitto Kabwe kukejeli ndege zilizonunuliwa na Serikali ya...
  11. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

    Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa majina yao kwenye mali na miradi ya nchi, hili jambo halina maana wala tija yoyote ile. Kwa mfano, si sawa kwa stendi ya mabasi ya kimataifa ya Mbezi Luis, uwanja wa soka wa Taifa, viwanja vya ndege, madaraja, vivuko, shule...
  12. JamiiForums Tanzania Abiria kulipa ushuru kwa kadi getini Stendi ya Magufuli hata kama ana tiketi

    Manispaa ya Ubungo, imeanzisha utaratibu mpya wa kuingia na kadi katika stendi ya kimataifa ya mabasi ya Magufuli ili kudhibiti upotevu wa mapato kwa abiria wanaoingia katika kituo hicho kilichopo Mbezi Luis. Hatua ya matumizi ya N- Card iliyoanza leo Jumatatu Februari 20, 2023 imelenga pia...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

    Habari wakuu, Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona. Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli? Kuna nini nyuma...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

    Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Hayati Magufuli na utawala wake. Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Hayati Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya. Nasubiri kusikia kama Serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi. Majibu ya ATCL, soma ATCL: Ndege mbili zina shida ya...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania US-backed financier has slapped the Treasury with a default notice for delayed payment of a Sh57.8 billion loan that the government guaranteed Kenya A

    Hebu jifunzeni kutoka kwa jirani ili siku nyingine msiwe mnaongea kama wagonjwa wa dementia. ===== US-backed financier has slapped the Treasury with a default notice for delayed payment of a Sh57.8 billion loan that the government guaranteed Kenya Airways. Chris Kiptoo, the Treasury Principal...
  16. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alijiona kama Baba wa Taifa na next to none

    Salaam Wakuu, Leo sionglei hela za Wahujumu Uchumi kwenda kufichwa China na mchakato wa Investigating Plea Bargaining. Ni uzi mwingine ntaweka. Kipindi anaenda kuchukua fomu ya kuomba apendekezwe kugombea urais kupitia CCM, alienda Dodoma kimyakimya kama mwizi na kwa Mjibu wa Zitto ni Mwizi...
  17. JamiiForums Tanzania CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

    Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo. Aidha, amesema madhara hayo yanaweza pia kuziathiri nchi 8 ambazo zinatengemea kupata huduma na bidhaa kupitia Tanzania hususan bandari ya...
  18. JamiiForums Tanzania Wezi wa kuku wanachomwa kwanini mafisadi yalipoadhibiwa na Magufuli watetezi wao walifurahia

    Yaaani Kuna watu wanaiba kuku na vitu vidogo vidogo mitaani wanachomwa moto wengine kupigwa vibaya Sana iweje waliofoji vyeti washughulikiwe iwe nongwa iweje watendaji wazembe washughulikiwe iwe nongwa kwa mafisadi na watetezi wake. Magufuli alilegeza kamba alitakiwa awe mkali zaidi na...
  19. JamiiForums Tanzania Katika umri wa miaka 55 tayari Magufuli alikuwa ameshakuwa Rais wa Tanzania na katika umri huo huo Tundu Lisu ni chawa wa Samia na mtumwa wa Mbowe,

    Nimeanza kumfuatilia Tundu Lisu nimegundua kuwa amezeeka ni mzee WA miaka 56 na katika umri huu akiwa babu bado ana aikli za kitoto kabisa yaani mtu mzima lakini muigizaji balaa hafu ukiwalinganisha na anayetembelea nyota yake hawafanani hata kidogo kwa umri huo Tundu Lisu hajajenga hata Choo...
  20. JamiiForums Tanzania Kuendelea kumtaja Hayati Magufuli kwa mabaya ni upuuzi wa ajabu

    Anaandika, Robert Heriel Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…