magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Wezi wa kuku wanachomwa kwanini mafisadi yalipoadhibiwa na Magufuli watetezi wao walifurahia

    Yaaani Kuna watu wanaiba kuku na vitu vidogo vidogo mitaani wanachomwa moto wengine kupigwa vibaya Sana iweje waliofoji vyeti washughulikiwe iwe nongwa iweje watendaji wazembe washughulikiwe iwe nongwa kwa mafisadi na watetezi wake. Magufuli alilegeza kamba alitakiwa awe mkali zaidi na...
  2. JamiiForums Tanzania Katika umri wa miaka 55 tayari Magufuli alikuwa ameshakuwa Rais wa Tanzania na katika umri huo huo Tundu Lisu ni chawa wa Samia na mtumwa wa Mbowe,

    Nimeanza kumfuatilia Tundu Lisu nimegundua kuwa amezeeka ni mzee WA miaka 56 na katika umri huu akiwa babu bado ana aikli za kitoto kabisa yaani mtu mzima lakini muigizaji balaa hafu ukiwalinganisha na anayetembelea nyota yake hawafanani hata kidogo kwa umri huo Tundu Lisu hajajenga hata Choo...
  3. JamiiForums Tanzania Kuendelea kumtaja Hayati Magufuli kwa mabaya ni upuuzi wa ajabu

    Anaandika, Robert Heriel Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu, lakini pia yapo Mabaya ambayo aidha aliyafanya au kuyafumbia macho, ambayo ndio yalinifanya nimuone...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na ndugu Bashe kuruhusu wakulima kuuza mazao popote wanapotaka

    Nimeona humu watu wengi sana wakiishambulia serikali Kwa kutozuia mazao kuuzwa nje ili kupunguza mfumuko wa bei. Ukweli ni kwamba serikali inaweza kuzuia mazao kuuzwa nje. Jambo hilo ni hatari sana Kwa mustakabali wa kilimo na wakulima wa Tanzania. Gharama za uzalishaji zimepanda sana, kila...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa ni ASSET au LIABILITY kwa chama na nchi Kwa ujumla?

    Kwa namna mama anavyoliponywa Taifa, Kwa namna Makamu wa Rais wa Magufuli anavyopingana naye. Na Kwa kuzingatia namna waliokuwa karibu take kuanzia Mawaziri wasivyopenda kumtaja taja kwenye hotuba zao au mazungumzo; Je, Kwa upeo wako kama mwananchi unaamini Mzee Magufuli alikuwa asset Kwa Taifa...
  6. JamiiForums Tanzania Stendi ya Magufuli Kuna kelele sana

    Sijui ni ubunifu au ni kitu Gani. Stand ya Mabasi ya Magufuli ni stand ukiwemo huwezi mpigia mtu simu akakuelewa..yaani ni makelele ya spika na matangazo mwanzo mwisho, Kariakoo Kuna uafadhali. Najiuliza kwani uongozi wa hii stand hawalioni hili? Kama ni wao ndiyo Wana regulate haya matangazo...
  7. JamiiForums Tanzania Jaribu la hayati Rais Magufuli na jaribu la Ayubu

    JARIBU LA HAYATI RAIS MAGUFULI NA JARIBU LA AYUBU. Leo 13:15hrs 04/02/2023 Jaribu la Hayati Rais John Pombe Magufuli linakuja kwenye kutajwa kwake mara kwa mara,penye hoja na pasipokuwa na hoja,lakini jaribu hili linakuja akiwa hayupo,pengine angetamani awe hai ili aweze kujibu hoja...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba sahau Urais 2030, Wewe ni Radical kuliko Hayati Magufuli

    Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana Aendelee kuwa chini ya watu wengine
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mwacheni Hayati Magufuli apumzike narudia tena mwacheni apumzike

    Hakuna mtu ndani ya system hajuwi Nini kilitokea na Nini kitatokea siku zijazo. Hayati Magufuli amelala na hawezi rudi kuja kujitetea. Kama alifanya kwa masilahi yake mtuambie kulebungeni wamejaa akina nani? Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie vyama vya siasa hivi vinaudwa na nani ? Kama...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini hayati Magufuli hakupenda ushindani wa shirika la ndege la Fastjest dhidi ya ATCL?

    Hapo zamani nauli za ndege hasa kwa upande wa fast jet zilikuwa nafuu sana hadi mnyinge kama mimi nikapanda kama mara tatu hivi. Lakini alipoingia hayati magufuli akawafukuza fast jet nchini. Akanunua ndege za kutisha lakini mpaka anafariki nauli hazishikiki. Kwanini hayati Magufuli...
  11. JamiiForums Tanzania CAG Alihitimisha awamu ya Magufuli, kazi kwa Samia

    By Luqman Maloto RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha 2020-2021, imehitimisha awamu ya Dk John Magufuli. Ukaguzi ujao utaanza kummulika Rais Samia Suluhu Hassan. Taifa lilitangaziwa kifo cha Magufuli Machi 17, 2021. Kipindi ambacho bajeti ya...
  12. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye aliwageuka wenzake akaenda kuwachoma kwa Hayati Magufuli

    Ila hii Dunia acheni tu. Huyu Nape sijui anapokutana na Bernard Membe, Makamba, Kinana et al anawasalimiaje. Katika Dunia epuka sana kuwa na ukaribu na mtu anayeweka pozi hii ya mikono anapokuwa na Boss wake/wenu. Baba yako, Mkubwa wenu au mtu flani mwenye uwezo. Anayeweka hivi mikono muogope...
  13. JamiiForums Tanzania Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

    My Take Nawaambieni ukweli mchungu. Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani. Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo. Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hayuko duniani lakini ana watetezi wengi kuliko wenye fedha walio hai

    Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana. Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaijua siasa kuliko Magufuli

    Najua mpo chawa wa rais Samia na chawa wa rais Magufuli lakini, Rais Samia anaijua siasa kuliko rais Magufuli kwa kiwango kikubwa. Moja ya uthibitisho huo ni:- 1.Kuamua kufanya maridhiano na chama kikubwa cha upinzani chenye wafuasi wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo rais Magufuli aliamini...
  16. JamiiForums Tanzania Magufuli alipanga bei ya bidhaa mkasema anaingilia soko, Mama ameacha soko liamue mnasema maharage na nyama bei moja

    Watanzania ni watu wa ajabu sana. Rais Hayati Magufuli aliamua kuoanga ama kuingilia upangaji wa bei za bidhaa kuwalinda walaji na wauzaji malalamiko yakawa mengi sana kwamba anapanga bei, anaingilia soko. Mama ameacha soko liamua bado hao hao kina Lissu wanasema Maharage na Nyama bei moja...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi Samia alivyomzidi akili Magufuli kwenye uchumi

    Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia 1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli, Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia 1Ksh=18Tshs. Na ndio kwanza hata...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto anaunga mkono busara za Magufuli

    Kutoka tovuti ya Nation: https://nation.africa/kenya/news/politics/kenya-has-only-one-president-and-it-is-me-william-ruto-tells-raila-odinga-4101572 Huku kwetu bahati mbaya busara hii ya kutenga muda wa siasa na muda wa kazi imeonekana haina maana. Kampeni zisizokwisha zinaungwa mkono sasa.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Profesa wa Chuo Kikuu Oxford amshauri Rais Samia kuhusu miradi aliyoianzisha Hayati Magufuli kwa pupa

    Profesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa yatakayoathiri uchumi wake Magufuli alipoingia madarakani alianzisha...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama awajulia hali Mama Janeth Magufuli na Mama Asina Kawawa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli mjane wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, mara baada ya kuwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…