Rais Samia anaijua siasa kuliko Magufuli

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,073
Najua mpo chawa wa rais Samia na chawa wa rais Magufuli lakini, Rais Samia anaijua siasa kuliko rais Magufuli kwa kiwango kikubwa. Moja ya uthibitisho huo ni:-

1.Kuamua kufanya maridhiano na chama kikubwa cha upinzani chenye wafuasi wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo rais Magufuli aliamini adui mkubwa na hatari kwa utawala wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao maridhiano sio sahihi licha ya kuambiwa na kuombwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe wakiwa Mwanza.

Mwanasiasa anayejua siasa na anayetaka kutawala kwa amani lazima ahakikishe ugomvi na adui yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya rais Samia

Rais Magufuli aliongeza chuki kwa CHADEMA kwa kuvuruga chaguzi

Kununua wabunge na madiwani wa CHADEMA akiamini ataiua CHADEMA ili atawale bila upinzani

Kuzuia mikutano ya hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na wananchi kuwakamata viongozi wanachama na wafuasi wa CHADEMA na kuwabambikizia kesi na hata kuwafunga.

Leo rais Samia kupitia DPP wake anaziondoa kesi za kugushi na watuhumiwa wanatolewa magerezani

Rais Samia katimiza hitaji ya kikatiba kuruhusu mikutano ya vyama

Hakika rais Samia anajua siasa kuliko rais Magufuli.

Anayepinga apinge kwa hoja sio mihemuko..
JamiiForums692172956.jpg
1645032858888.jpg
20220528_225720.jpg
 
Marehemu Rais Magufuli hakuwa Makamu wa Rais kabla ya kuwa Rais. Yako mengi Rais Samia amejifunza awamu iliyopita na mengine amelazimika kuyafanya kutokana na pressure za watu watu na taasisi. Na pia marais ni watu tu,huwa hawafanani. Madaraka,Fedha na Umaarufu kila mmoja anavibeba kwa namna yake.
 
Najua mpo Chawa wa Rais Samia na Chawa wa Rais Magufuli lakini UKWELI LAZIMA USEME.Rais Samia Anaijua SIASA kuliko Rais Magufuli kwa Kiwango kikubwa .Moja ya Uthibitisho huo ni
1.Kuamua kufanya MARIDHIANO na CHAMA KIKUBWA cha UPINZANI chenye Wafuasi Wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo Rais MAGUFULI aliamini ADUI MKUBWA na HATARI kwa UTAWALA wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao MARIDHIANO sio SAHIHI licha ya KUAMBIWA na KUOMBWA na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe Wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa Anayejua SIASA na Anayetaka kutawala kwa Amani lazima Ahakikishe UGOMVI na ADUI yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya RAIS SAMIA
Rais MAGUFULI aliongeza CHUKI kwa CHADEMA kwa Kuvuruga CHAGUZI
Kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA akiamini ATAIUA CHADEMA ili Atawale bila UPINZANI
Kuzuia Mikutano ya Hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na Wananchi Kuwakamata Viongozi Wanachama na Wafuasi wa Chadema na Kuwabambikizia Kesi na hata kuwafunga.
Leo RAIS SAMIA kupitia DPP wake Anaziondoa KESI za KUGUSHI na Watuhumiwa Wanatolewa MAGEREZANI
Rais SAMIA Katimiza Hitaji ya KIKATIBA kuruhusu MIKUTANO ya Vyama
Hakika RAIS SAMIA Anajua SIASA kuliko Rais MAGUFULI.
Anayepinga apinge kwa HOJA sio Mihemuko..
View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Tunamshukuru Mungu kutuondolea yule mwovu kwenye uso wa dunia
 
JPM mwenyewe amekiri mara nyingi hajui siasa! Mimi nafikiri akili ya siasa mabingwa Taifa hili ni Philip Mangula na Kinana.

Kuna kipindi Kinana alistaafu siasa akalazimika kurudi pale Mkapa alipoona mambo yanaenda vibaya. Vile vile kwa Philip Mangula. Ukitaka siasa za diplomasia Kinana ni mfalme na siasa za kibabe Mangula ni fundi.

Naamini hawa wamekuwa injini ya siasa zetu muda mrefu na Marais hupewa sifa lakini hawa ndio masterminds.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Najua mpo Chawa wa Rais Samia na Chawa wa Rais Magufuli lakini UKWELI LAZIMA USEME.Rais Samia Anaijua SIASA kuliko Rais Magufuli kwa Kiwango kikubwa .Moja ya Uthibitisho huo ni
1.Kuamua kufanya MARIDHIANO na CHAMA KIKUBWA cha UPINZANI chenye Wafuasi Wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo Rais MAGUFULI aliamini ADUI MKUBWA na HATARI kwa UTAWALA wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao MARIDHIANO sio SAHIHI licha ya KUAMBIWA na KUOMBWA na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe Wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa Anayejua SIASA na Anayetaka kutawala kwa Amani lazima Ahakikishe UGOMVI na ADUI yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya RAIS SAMIA
Rais MAGUFULI aliongeza CHUKI kwa CHADEMA kwa Kuvuruga CHAGUZI
Kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA akiamini ATAIUA CHADEMA ili Atawale bila UPINZANI
Kuzuia Mikutano ya Hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na Wananchi Kuwakamata Viongozi Wanachama na Wafuasi wa Chadema na Kuwabambikizia Kesi na hata kuwafunga.
Leo RAIS SAMIA kupitia DPP wake Anaziondoa KESI za KUGUSHI na Watuhumiwa Wanatolewa MAGEREZANI
Rais SAMIA Katimiza Hitaji ya KIKATIBA kuruhusu MIKUTANO ya Vyama
Hakika RAIS SAMIA Anajua SIASA kuliko Rais MAGUFULI.
Anayepinga apinge kwa HOJA sio Mihemuko..
View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Tofauti ys magufuli na wapumbavu ni moja tu magufuli alikuwa anajenga uchumi wakati wapumbavu wanajenga siasa na kuua uchumi...swali ukiambiwe uchague kiongozi mwenye kuangaika na siasa au kiongozi mwenye kuangsikia uchumi utachagua nini ?
 
Hatuna uhakika zaidi ila wengi wanasema Jiwe yawezekana alifanya vizuri kwenye mambo ya udhibiti na ufualiliaji wa masuala matumizi fedha za umma nk, lakini kwenye siasa alifeli vibaya sana. Ngoma ilitengeneza maadui wengi ndani na nje ya CCM which was so risk kwake yeye mwenyewe na kwa Taifa pia.

Kama Mungu angemuweka hai na akatawala miaka mingine 14 kama walivyotaka iwe basi tungekuwa Taifa la watu waoga, watu wa kuburuzwa kama kondoo na wachache wasio na woga wangeishia kukimbia nchi ama ndani ya shimo la tewa.
 
Najua mpo Chawa wa Rais Samia na Chawa wa Rais Magufuli lakini UKWELI LAZIMA USEME.Rais Samia Anaijua SIASA kuliko Rais Magufuli kwa Kiwango kikubwa .Moja ya Uthibitisho huo ni
1.Kuamua kufanya MARIDHIANO na CHAMA KIKUBWA cha UPINZANI chenye Wafuasi Wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo Rais MAGUFULI aliamini ADUI MKUBWA na HATARI kwa UTAWALA wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao MARIDHIANO sio SAHIHI licha ya KUAMBIWA na KUOMBWA na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe Wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa Anayejua SIASA na Anayetaka kutawala kwa Amani lazima Ahakikishe UGOMVI na ADUI yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya RAIS SAMIA
Rais MAGUFULI aliongeza CHUKI kwa CHADEMA kwa Kuvuruga CHAGUZI
Kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA akiamini ATAIUA CHADEMA ili Atawale bila UPINZANI
Kuzuia Mikutano ya Hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na Wananchi Kuwakamata Viongozi Wanachama na Wafuasi wa Chadema na Kuwabambikizia Kesi na hata kuwafunga.
Leo RAIS SAMIA kupitia DPP wake Anaziondoa KESI za KUGUSHI na Watuhumiwa Wanatolewa MAGEREZANI
Rais SAMIA Katimiza Hitaji ya KIKATIBA kuruhusu MIKUTANO ya Vyama
Hakika RAIS SAMIA Anajua SIASA kuliko Rais MAGUFULI.
Anayepinga apinge kwa HOJA sio Mihemuko..
View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Samia ana akili na busara ndiyo maana nchi imetulia. Magufuli alikuwa na kichaa kilichomjaza HASIRA na KIBURI.

Aendelee kuungua na moto huko jehanam
 
Najua mpo Chawa wa Rais Samia na Chawa wa Rais Magufuli lakini UKWELI LAZIMA USEME.Rais Samia Anaijua SIASA kuliko Rais Magufuli kwa Kiwango kikubwa .Moja ya Uthibitisho huo ni
1.Kuamua kufanya MARIDHIANO na CHAMA KIKUBWA cha UPINZANI chenye Wafuasi Wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo Rais MAGUFULI aliamini ADUI MKUBWA na HATARI kwa UTAWALA wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao MARIDHIANO sio SAHIHI licha ya KUAMBIWA na KUOMBWA na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe Wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa Anayejua SIASA na Anayetaka kutawala kwa Amani lazima Ahakikishe UGOMVI na ADUI yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya RAIS SAMIA
Rais MAGUFULI aliongeza CHUKI kwa CHADEMA kwa Kuvuruga CHAGUZI
Kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA akiamini ATAIUA CHADEMA ili Atawale bila UPINZANI
Kuzuia Mikutano ya Hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na Wananchi Kuwakamata Viongozi Wanachama na Wafuasi wa Chadema na Kuwabambikizia Kesi na hata kuwafunga.
Leo RAIS SAMIA kupitia DPP wake Anaziondoa KESI za KUGUSHI na Watuhumiwa Wanatolewa MAGEREZANI
Rais SAMIA Katimiza Hitaji ya KIKATIBA kuruhusu MIKUTANO ya Vyama
Hakika RAIS SAMIA Anajua SIASA kuliko Rais MAGUFULI.
Anayepinga apinge kwa HOJA sio Mihemuko..
View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Watu wanawaza maendeleo wew unapigia promo siasa?
 
Back
Top Bottom