magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Miaka 20 ijayo sidhani kama kuna watu tutakuwa hai

    Alichosema Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo katika maadhimisho ya miaka 20 ya kifo cha baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mkoani Lindi. "Miaka 20 iliyopita baba wa taifa alikuwa hai lakini sasa ametangulia mbele za haki. Miaka 20 ijayo sidhani kama kuna watu tutakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri Kabudi Umoja wa Mataifa - UN, kwa niaba ya rais Magufuli - 27 Septemba 2019

    Leo Mh Paramagamba Kabudi amehutubia mkutano wa 74 wa Umoja 2a Taifa jijini NewYork marekani. Tanzania tumedhamiria kubadili maisha ya watu wetu: Kabudi Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania akihutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Viwonder...ni lini tutafika huku? (Tufanye nini?!)

    Kuelekea Tanzania ya Viwonder (Viwanda) ni lini tutafikia kutoa support kwa Wataalamu wetu wabuni na kutengeneza Vimashine vidogo au kubwa za kurahisisha kazi na kutengeneza ajira. Tukiwa na nia ya dhati ya kupata 'Viwanda' inabidi sapoti hizi ziwepo, fungu liwepo na hamasa iwepo. Yuko wapi...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nauza account ya admob..ina dollar 30 tayarina barua ishafika

    nauza account ya admob ambayo inaverification tayari na ina usd 30.nicheki whatsapp 0744287850
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli huhitaji kujieleza unapomtoa Waziri. Kwa January Makamba jikalie kimya

    Rais Magufuli kwenye sababu za kumuondoa January Makamba bora jikalie zako kimya. Nimekusikia Rais leo ukijaribu kuelezea sababu za kumuondoa Uwaziri Bwana January Makamba. Kwa kweli hukuwa umejiandaa na maelezo ya kuridhisha. Rais, kwenye suala la mifuko ya plastiki tunajua ukweli kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    RAIS John Magufuli amesema sababu kubwa ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni masharti magumu yaliyomo katika mkataba wa utekelezaji wa kazi hiyo. Jiwe la msingi la ujenzi wa bandari hiyo liliwekwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete mwaka 2015 na ulitarajiwa kugharimu dola za Marekani...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za biashara kwa Serikali na Wafanyabiashara

    Rais Dkt John Magufuli anaongea na Wafanyabiashara Nchini ambapo katika hotuba yake ametaja vikwazo vikuu vya biashara Nchini kuwa ni Rushwa, utitiri wa kodi na tozo, ukosefu wa mitaji, Mawakala wa TPDF na utitiri wa taasisi zinazosimamia biashara. Rais Magufuli anaendelea na hotuba na...
  8. JamiiForums Tanzania Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

    Na Kabwe Z. Ruyagwa Zitto, Mb (Makala haya kwa sehemu kubwa yametokana na makala iliyoandikwa na mtu mwengine [....]. Mimi nimeiboresha tu Katika baadhi ya maeneo) Juzi Serikali imetangaza bungeni kuwa Mradi mkubwa wa Ukanda Maalumu wa Kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) wa thamani ya Dola za...
  9. JamiiForums Tanzania Huu ndo ulinzi wa Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan

    Raisi wa uturuki Recep Tayyip Erdogan Ni Moja ya maraisi 10 wenye ulinzi mkali Duniani
  10. JamiiForums Tanzania Haya yote aliyofeli Rais Magufuli ni madogo sana, mradi wa Stiglers Gorge ndiyo utakuwa tsunami kwenye kushindwa!

    Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show. Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, usikubali huu mtego wa huyu waziri; atakuwa anatumiwa na mabeberu

    Inaonekana anatumiwa na mabeberu kukushushia credibillity kwa wanyonge. Wewe ushafanya utafiti kabla ya maamuzi kwamba tunaweza KULIPA, KUSAFIRISHA AU KUBANGUA KOROSHO WENYEWE Ulisema, hela tayari zipo benki ya wakulima, zishaingizwa. Ulisema ikibidi wanjeshi hata kwa meno watabangua. Nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

    Asema bila kujali ulianzishwa na nani na kwa malengo gani ni uwekezaji usio na tija. Ungefanywa na kampuni binafsi ingeeleweka Asisitiza, tena kwa sasa ndio haufai kabisa kufuatia Serikali kuhamia Dodoma. Amewataka NSSF kujitafakari juu ya uwekezaji huu. Amesema kama SSRA wangekuwa makini...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameshatimiza ndoto mbili za mwalimu Nyerere, kuhamia Dodoma na Stiegler's Gorge. Bado ndoto moja!

    Mwalimu Nyerere kama kiongozi alikuwa na ndoto zake na miongoni mwa ndoto hizo ni pamoja na Kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma, pili kumiliki njia kuu za uchumi na tatu kuwa na bwawa kubwa la kuzalisha umeme Stieglers Gorge. Katika uongozi wake kama Rais, Dr Magufuli ameweza kuhamishia...
  14. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais sidhani kama kupenda Kwako kila mara ' Kumtajataja ' hadharani TISS DG Dkt. Kipilimba ni sawa Kiuweledi

    ANGALIZO Naomba kama unajijua kabisa kuwa uwezo wako wa kuona vitu vya umbali / unyeti / umuhimu wake basi katika huu ' Uzi ' kaa nao mbali kabisa na waachie wenye ' akili ' zao na ' Wachambuzi ' wa masuala haya ya Kijasusi ambao wapo ( tunao ) wengi humu na Sisi Mangumbaru na Mapopoma wengine...
  15. JamiiForums Tanzania Mchora Katuni Gado Buana...ha ha ha!

    'GADO' Godfrey Mwampembwa ni Mchora katuni mwingine ambaye Namkubali sana na sanaa yake ya Uhakika na Kufikirisha. Kwa kazi zake zaidi cheki hapa Tovuti ya Gado Toons
  16. JamiiForums Tanzania How much credit does Magufuli deserve for the strong economy?

    So I’m not terribly surprised that the economy today looks pretty similar to the economy at the end of the Jakaya Kikwete administration. For example; unemployment Rate in Tanzania decreased to 10.30 percent in 2017 from 10.70 percent in 2014. Though Economic growth has slowed since the last...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi anitafute

    Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa hii muhimu. Uweza nicheck via sadickjaphari2@gmail.com
  18. B

    JamiiForums Tanzania Hivi na hili SUMATRA inalijua? Tuisaidie, pengine meno yataota

    1.Mabasi yanajaza kupita uwezo,ushahidi Upo, ni juzi tu nimesafiri kuelekea mbeya kwa basi mojawapo,wanaweka ndoo kibao. Traffic wanapewa chao mambo yanaenda kama kawaida 2. Kuna gari aina ya noa, zimebadilishwa na kuwa za abiria. Kiuhalisia ile gari ina capacity ya watu 8 ila inabeba 10...
  19. JamiiForums Tanzania Wakenya Wamshukia Magufuli Amuachie Gichana (Mfungwa wa Kisiasa kutoka Kenya)

    Kenyans online pressure Magufuli to release jailed Kenyan politician Don Bosco Gichana, a Kenyan who has been jailed in Tanzania since 2013 without trial. [Photo/Trending News Kenya] Kenyans are now piling pressure on Tanzania’s President John Pombe Magufuli to release a Kenyan who has been...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni kilio kwa Upinzani nchini

    UTEKELEZAJI wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mpinduzi (CCM) unaofanywa na Rais John Pombe Magufuli umekuwa kilio kwa vyama vya upinzani, hususan Chadema na CUF. Kubwaga manyanga kwa wabunge na madiwani wa vyama hivyo wakiunga mkono jitihada za Rais Magufuli ni ishara tosha kwamba, Serikali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…