Ningetaka tu nimuulize alimaanisha nini aliposema "ku trape" "simu zake" . Au kama alimaanisha "ku tape " " simu zake".
https://youtu.be/b5bRxLfG44g?si=JzuSX3JoPcn6_H7R
Huenda alimaanisha " phone tapping" ile kusikiliza maongezi ya simu kwa siri. Na basi kama ni hivyo "
Ningemshauri...
Tarehe 17 Februari 2021, mauti yalimkuta katibu mkuu kiongozi Mhandisi John Kijazi. Kijazi amekufa waziri wa fedha kipindi hicho, Dr Philip Mpango akiwa mahututi hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma.
Mwezi mmoja baadaye, mauti yakamkuta rais John Magufuli tarehe 17 Machi 2021.
Some say that the...
Iko kwenye kumbukumbu, Hayati Magufuli alichukua fomu ya ndani ya CCM na kusaka wadhamini kabla ya kuidhinishwa na chama chake. Alipata wadhamini 1,023,911 katika mikoa aliyotafuta na kupata wadhamini hao.
Kwakuwa alikuwa mwanachama pekee aliyechukua fomu ndani ya CCM kwa nafasi ya Urais...
Licha ya kuitwa mbabe, dikteta na majina mengine mabaya, Magufuli alikuwa na mvuto wa pekee kwa wananchi kiasi kwamba hata hotuba zake zilivuta usikivu mkubwa sana kila kona ya dunia. Raia walimpenda kwa uamuzi wake wa papo kwa hapo na jinsi alivyonyoosha nidhamu katika ofisi ya Umma.
Kwa...
Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii.
Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile.
Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
Millard Ayo alisema interview ile ameigawa katika sehemu 4 ambazo zitatujia kwa awamu.
Sijaona awamu nyingine yoyote tangu ile awamu ya kwanza itoke. Kulikoni?
https://youtu.be/SsJYpX5saMM?si=yubCESsoyvMKCJxo
Siasa za nchi hii zinachanganya sana, wote tunakumbuka jinsi hawa mapacha watatu walivyokuwa hawaivi chungu kimoja kabisa na Magufuli mpaka wakanaswa wakiwa wanamsengenya huku wakitengeneza waraka mzito na mpango wa kuutoa kwenye vyombo vya habari kutikisa nchi. Jambo ambalo sijawahi kuelewa...
Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala.
Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe?
Polepole hajagusia kabisa!
Huenda Polepole hakuwa anaelewa dhana dhima ya karma katika maisha ya kila siku. Lakini kwa kuwa katika press ya leo mara kwa mara amemtaja mwenyezi Mungu, huku akisema yeye ni muumini mzuri wa kikristo, basi alipaswa kukumbuka lile andiko linalosema; Apandacho mtu ndicho atakachovuma!
JK huyu...
Uongozi mbaya wa Kikwete ulaumiwe kwa kukosa
1. katiba,
2. Mungu mtu Magufuli,
3. Magu na umungu mtu akaleta bunge butu maana alijiona yeye pekee ni Mungu
4. Magu katuletea Mama kujifanya malkia
5. Magu katuletea utekaji
5. Mama Samia kaendeleza yote ya Magufuli + Rushwa
6. Mama katuletea...
Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na...
Joto limekuwa kali zaidi hasa kwa wapinzani na wakosoaji bila kujali ni wa ndani au international, Yaani hata wale wa kwenye dini hakuna mwenye nafuu wala red line.
Tulidhani jua la Dar lilikuwa mwisho wa maumivu lakini jua la sasa ni la Ifakara.
-Mfumo uliowekwa hapo nyuma kuomba ajira kwa...
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020.
Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived.
Polepole anaondoka kwa maslahi yake...
GT.
Haya tunayoyana sasa ni mwendelezo wa ukandmaizaji uliopitiliza kuanzia awamu ya tano iliyoamini katika chama kimoja.
Kwenye demokrasia Kikwete hatuwezi kumlaumu sana japo ufisadi ulimshinda. Uhuni unaotendeka sasa hivi ni matokeo ya 2020 aliyopanda Hayati Magufuli..
No reforms no election.
Huyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida
Ilikuwa ni chuki binafsi
Utekaji umeisha?
Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa
Halafu anatetea watu Kama hawa
Huyu ndiye aliwaunga mkono CHADEMA walivyogomea serikali za mitaa mwaka 2019
Je Nini kimebadilika...
Kushindwa kumuelewa MTU na kukosa maono .
Kwa nature ya Magufuli., he was not a good politicians .
Kwahiyo mambo ya ndio na hapana even criticism ,those things need high level of emotional intelligence. Unfortunately JPM never had those attributes.
Kama tungekuwa na jicho zuri JPM could be...
https://www.facebook.com/share/1ECrkUXYWT/
Hii hotuba ya Hayati John P. Magufuli kuhusu utekaji na upoteaji wa watu inafikirisha sana..
Nimejiuliza swali moja, kwamba, hivi inawezekana mambo ya utekaji, upoteaji na kuuwawa kwa watu wasio na hatia na watu wasiojulikana Rais wa nchi ikawa hajui...
Wasalaam
Hayati Magufuli alifanya nini kumaliza ajali za barabarani?Hii sio kitu kwa watawala na wanaowajibika kwa usalama barabarani?
Au tutolee mfano familia za watawala kama swala la utekaji?
Pole wote wanaojeruhiwq lakini wapumzike kwa amani wote waliotangulia kwa ajali hizi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Alhamisi Juni 26, 2025, ametoa hotuba ya kuhitimisha Mkutano wa 19 wa Bunge la 12, huku akimkumbuka hayati Rais John Magufuli na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza vyema licha ya kuachiwa nchi katika kipindi kigumu...