magufuli

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

    Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020. Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana...
  2. JamiiForums Tanzania Imperialism And Patriotism: Their Relevance In The Current Tanzania’s General Elections

    The incumbent President of the United Republic of Tanzania, H. E. Dr. John Joseph Pombe Magufuli, has on a number of occasions expressed his scepticism on imperialism and concern over it’s camouflaged multifaceted manifestations in the country. For many people ‘imperialism’ (in Swahili...
  3. JamiiForums Tanzania JPM the towering pillar of African renaissance

    On 28th, October 2020, Tanzanians will be deciding the destiny of their nation through ballot box, in the sixth general elections since the East African nation opted multiparty democracy in the early 1990s. However, this elections is not the same as the other last five elections since 1995...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Ndoto, maono na fikra za Dkt. Magufuli katika awamu yake ya pili kuelekea mikoa mbalimbali

    Generally ni Tanzania kuwa kama Ulaya Arusha kuwa Calfonia Kigoma kuwa lango la biashara Maziwa Makuu Mbeya kuwa Chicago Dar kuwa Birmingham Tabora kuwa Toronto Zanzibar kuwa Dubai Dodoma kuwa kama San Fransico Singida kuwa kama London Mwanza kuwa lango la biashara Tanga kuwa kitovu cha...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Gambo sikumfukuza Ukuu wa Mkoa bali aliniomba akagombee Ubunge baada ya kuona Arusha inakwama

    Rais Magufuli amesema kuna watu wanadai anamchukia Mrisho Gambo na kwamba alimfukuza kazi ya mkuu wa mkoa wa Arusha lakini hiyo siyo kweli. Gambo alinifata akaniomba agombee ubunge ili aiokoe Arusha ambayo inaonekana kukwama, amesema Dr Magufuli. Ningekuwa namchukia ningempitisha kugombea...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Bunge lina kazi gani kama kila anapokwenda kwenye kampeni, Rais Magufuli ndiye anayeahidi kujenga miradi mbalimbali?

    Tunavyofahamu katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977. inaeleza wazi majukumu ya kila mhimili wa Dola, ikiwa Bunge ndilo lililopewa jukumu la kupanga bajeti na kupanga miradi hiyo ipelekwe wapi. Lakini nashangazwa mno na namna Katiba ya nchi inavyosiginwa siginwa, kwa Rais...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya na Kilimanjaro ni ngome za upinzani. Kwanini Magufuli alipiga magoti kuomba kura Mbeya, lakini hakufanya hivyo Kilimanjaro?

    Nilidhani wakati huu wa uchaguzi wapiga kura ni WAFALME. Kitendo cha Magufuli kupiga magoti na kuwaomba Wanambeya kura kilionyesha unyenyekevu na heshima kwa wapiga kura. Wagombea lukuki wa CCM wamekuwa wakijishusha na kupiga magoti kuomba kura. Nadhani ni utaratibu mzuri. Nimeshangazwa na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tunaomba ufanye interview na media. Usikae tu baba, mataifa wanahitaji kukusikia

    Hili ni ombi langu kwa Rais John Joseph Pombe Magufuli, tunahitaji kusikia unaongea ma media iwe BBC, Aljazeera au Sauti ya Amerika au media za hapa ndani. Toka umeingia madarakani hatujasikia ukiongea nao ili utupe maono yako na ujibu maswali mbalimbali ambayo tunahitaji kujua. Ahsante kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Zungu awaambia wanafunzi wampigie kura Magufuli

    Katika muendelezo wa michezo ya uvunjifu wa sheria, makada wa CCM wameanza utaratibu haramu wa kuwachukua watoto wa shule na kuwaelekeza kumpigia Magufuli kura Huku watoto wakiwa kwenye uniform za shule wanafundishwa namna ya kumpigia kura Magufuli. Tunaitaka NEC ije iuelezee umma kama...
  10. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli 28/10 tutakupa kura. Kama haya hayatafanyiwa kazi tutakutana tena 2025

    Kampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza. Tumekaa na kufikiria tumeona tukupe kura as the last warning kwa CCM. Kama haya hayatafanyiwa kazi basi 2025 CCM isihangaike hata kuweka mgombea. 1...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joshua Nassari amuomba radhi Rais Magufuli kwa mabaya yote aliyomtendea akiwa CHADEMA!

    Mbunge mstaafu wa Chadema Dkt. Joshua Nassari ameomba radhi rasmi kwa Rais Magufuli kufuatia mambo maovu aliyomfanyia kabla hajahamia CCM. Nassari ambaye alikuwa akiongea kimasai amewaomba radhi wanaccm na wana Arusha wote kwa machukizo aliyowasababishia akiwa CHADEMA. Nassari amewataka...
  12. JamiiForums Tanzania President Magufuli exploits his incumbency

    Tanzania’s election is scheduled for October 28, and although there are 15 parties in contention only two have any real chance of victory. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the ruling party since independence in 1961, has never lost an election. It is led by incumbent president Dr. John Magufuli who...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli amfuta rasmi Freeman Mbowe jimboni Hai

    Leo hii Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM bila ya huruma yoyote na kwa zaidi ya dakika 23 alimkaba Mbowe akiwa chini na kumwekea goti shingoni kwa muda wote huo na kusababisha kifo chake cha kisiasa kwa Mbowe kitu ambacho kimetafsiliwa kuwa ni uuaji kama...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Kama Watanzania hatuwezi kumuunga mkono Lissu kwa hali zozote"tumpe tu Magufuli kura zote"

    Huenda wengi wasinielewe kwenye hili. Nani anakumbuka 2018 harakati za Mange? Sasa kama bado tuko na akili na uoga huo basi bora tumpigie Magufuli kura kwa sababu hizi. 1. Sehemu zenye Wapinzani maendeleo hayataletwa(Magu mwenyewe anasema sana) 2. Kutakuwa na wimbi kubwa la waunga mkono...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua Kiwanda cha bidhaa za ngozi Kilimanjaro, aitaka mifuko ya hifadhi kuwekeza kwenye viwanda badala ya majengo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli anazindua kiwanda cha bidhaa za ngozi kilichopo mkoani Kilimanjaro. Rais ameshafika na kwa sasa ni wimbo wa Taifa kabla ya kuanza shughuli Rasmi. Kuwa nami. ====== TAARIFA FUPI YA MRADI Mkurugenzi PSSF: Ujenzi wa mradi huu ni utekelezaji...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

    “Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe. “Miaka...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

    Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea. Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli amevunja kabisa ngome ya Chadema Kilimanjaro. Wanakilimanjaro wameguswa sana na maendeleo yaliyofanywa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Nashangaa sijamsikia Lissu, Magufuli wala Lipumba 'wakilisemea' hili ila huyu Mwanamke 'amelisemea' vyema mno

    "Lakini TFF lazima niifute kwanza, ninawaomba Watanzania mnipe ridhaa yenu nikaifute TFF ndio inayotuletea migogoro, hizi timu zetu zisingekuwa na migogoro, mara migogoro na wawekezaji mara migogoro na wachezaji lakini chanzo ni wao".Cecilia Mmanga. ITV Tanzania Japo Rais wa TFF Wallace Karia...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Itokee Lissu akashinda Urais, akakupa nafasi ya kutoa pendekezo, ni kitu gani alichofanya Magufuli utamwomba akiondoe mara moja?

    Wengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka. Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Ziara ya Dkt. Magufuli Kilimanjaro imebeba ajenda za msingi

    Na Thadei Ole Mushi. Watu wa Kilimanjaro sio wajinga kiasi hicho, watamchagua Rais Magufuli kwa Kura nyingi Sana kuliko wagombea wengine wa uraisi. Twende sawa na agenda zetu.... 1. Kilimanjaro ina makabila mawili makubwa, Wachaga na wapare. Kwa silka ya makabila haya yapo profit oriented...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…