magufuli

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

    Wasalaam wanabodi, Kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea ukingoni siku mbili zijazo nchi nzima. Tumeona Kila mgombea akijinadi kwa style yake na upekee kulingana na malengo na mikakati thabiti waliyojiwekea. Chama tawala CCM walianza kwa kishindo kikubwa pale dodoma na kuonesha ukubwa wa idadi ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afungua Msikiti wa Abubakar Bin Zuberi Chamwino, Dodoma

    Rais Magufuli amefungua msikiti wa kisasa unaoitwa Abubakar Bin Zuber Chamwino Dodoma leo. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Vyombo vya Dola akiwemo CDF Mabeyo, IGP Sirro, Mkurugenzi wa TISS, Diwani na makamanda wa JKT waliojenga msikiti huo. Source: Channel Ten Maendeleo...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Sumaye alihamia Upinzani kwasababu alivamiwa na mapepo

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Magufuli amesema kitendo cha Waziri Mkuu wa awamu ya tatu, Fredrick Tluway Sumaye na Mbunge mteule wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul kuondoka CCM na kuhamia upinzani ni sawa na kushikwa na mapepo lakini sasa roho mtakatifu amewashukia...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Rais Magufuli kuamua kutoa ahadi ya kutuongezea mishahara wafanyakazi wa nchi hii wakati huu wa kampeni, haoni kuwa ndiyo anaharibu zaidi?

    Wananchi tumemuona ndani ya hii miaka hii 5 ya utawala wake kuwa ni mtawala ambaye hawasikilizi wananchi wake wanataka nini na analoamua yeye ndiyo huwa. Tujikumbushe maneno ambayo amewahi kuyatamka katika utawala wake wa kipindi hiki cha miaka 5. Ati sisi wananchi hatuna uwezo wa kumpangia la...
  5. JamiiForums Tanzania Kikao cha Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu, Dkt. Hussein Mwinyi na Maalim Seif Sharif Hamad ni muhimu kabla ya utangazaji matokeo

    WanaJF,Salaam! Ninapendekeza kifanyike kikao cha haraka kitakachowakutanisha wagombea wenye nguvu kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika ikiwezekana hata wasiokuwa na nguvu wahusishwe. Kikao hicho kiwe na uwezo wa kuwajenga kisaikolojia, kuwaangaliza na kuwataka kuheshimu katiba ya nchi, utashi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Kama uwezo wako wa kuhimili stress na shock ni mdogo mpigie kura Dkt. Magufuli uwe na amani matokeo yakitangazwa

    Kuna stress kubwa sana wakati wa kufuatilia matokeo ya kura na hasa kama mgombea wako anashindwa kila sehemu. Wengine stress hizi zinawaumiza sana kiafya na hata kukatisha maisha yao depending na level ya matarajio yao. Leo naomba kutoa ushauri kwa watanzania wanaofahamu kuwa uwezo wao wa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Asante Magufuli: MV Amani yaanza majaribio ziwa Tanganyika

    Mtanzania, ungana nami kusherehekea mafanikio katika sekta ya usafiririshaji ambayo haya ni maendeleo ya vitu yanayochochea maendeleo ya watu. Serikali ya awamu ya tano inaleta meli kubwa ya kisasa iitwayo Mv Amani ambayo itafanya safari zake katika ziwa Tanganyika na hivyo kuwa msaada mkubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni uhuru upi wa kujieleza wanaoutaka CHADEMA?

    Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara warudisha imani kwa CCM

    Hali ya mambo 2015 ilikuwa ngumu kwa CCM hasa baada ya Mh. Edward Lowassa kuhamia CHADEMA jambo lilolopelekea kura ya hasira dhidi ya CCM. Mwaka huu ni tofauti kwani Upinzani umekosa mwanaCCM maarufu na mwenye mtandao ndani ya CCM ambaye angeweza kuyumbisha chama. Wakazi wa Kaskazini wameamua...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Chagua Dkt. Magufuli kazi ziendelee

    MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE Na Emmanuel J. Shilatu Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeyaona haya yakitokea na kufanyika;- 1. Mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Namuombea kura Dkt. Magufuli

    Binafsi nimevutiwa Sana na namna Rais Magufuli alivyoishape na kuiendeleza nchi yetu kwa kipindi cha miaka mitano alichokuwa madarakani. Kuna mambo mengi Sana ambayo kayafanya na yanaonekana kwa macho ni mambo mema sana. Tuna kila sababu ya kumpa miaka mingine mitano ili akamilishe kazi yake...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

    Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni" Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu anawataka wampigie kura Rais Magufuli kwa sababu ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Askofu Gamanywa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Kampeni wa Dkt. Magufuli - Babati

    Mgombea urais kwa tiketi CCM, Dkt. Magufuli yuko mkoani Manyara akiendelea na mkutano wa kampeni Alipokuwa Minjingu akielekea Babati amekataa kuingilia Uhuru wa mahakama baada ya mama mmoja aliyedai kudhurumiwa mali zake ambaye uamuzi ulitolewa mahakamani kuomba kusaidiwa, aidha amemshauri...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

    Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani. Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa...
  15. JamiiForums Tanzania For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

    Wanabodi, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, ni keshokutwa tuu, siku ya Jumatano ijayo, kwa mazingira ya the political dynamics za siasa za nchi yetu, hali halisi ya uwanja wetu wa siasa ulivyo, katiba yetu ilivyo, sheria yetu ya uchaguzi ilivyo, Tume yetu ya uchaguzi ilivyo, hali ya...
  16. JamiiForums Tanzania Je rais Magufuli, Mahakama na polisi ndio wamekushinda?

    Rais wangu kipenzi cha watanzania,najua kuwa unakwenda kushinda urais kwa kishindo kizito. Hii ni dalili kuwa watu wana imani kwako. Natolea mfano tu leo umezindua reli ya Arusha Dar ambayo ilikuwa imekufa kwa zaidi ya miaka 30. Kwa hiyo wewe kwa watu wa Arusha ni shujaa na jembe lao,maana sasa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Oktoba 28 ni Dkt. Magufuli tu ndio chaguo la Watanzania

    October 28 ,2020 Watanzania twendeni tukamsimike Dkt. Magufuli Kwa ushindi wa kishindo ,miaka mitano mingine ya kazi, Afrika inajua ,Dunia inajua kazi ya Mtoto wa Afrika kutoka Chato ,mwana Mageuzi ya kweli. Tunajua nchi za Magharibi hawapendi Juhudi za mwamba JPM kuipeleka nchi katika...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Leo nitalala Karatu, inawezekana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu

    Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha. Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na kuonyesha uwezekano wa kujumuika na wakazi wa Karatu usiku mitaani na kuwahimiza wafanye biashara...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Mungu amekupa nafasi nyingine kuishi uushuhudie ukuu wake katika taifa hili

    Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake. Habakuki 2:4 Imani ni neno ambalo tunatumia sana, lakini wakati mwingine tunaweza kufanya liwe ngumu sana. Imani ina maana tu “imani au tumaini kamili”; neno pia lina maana ya uaminifu na kujitolea...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Natamani kufika kila eneo kufanya kampeni lakini siwezi

    Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete na Jakaya Kikwete mikoa ya lindi na Mtwara na tayari hilo limefanyika. Kwa uamuzi huu Rais ameona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…