magufuli

  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Zile dola milioni 30 zilizokutwa nyumbani kwa Magufuli ziliishia wapi?

    Katika zama hizi za mitandao ya kijamii, simu za viganjani zenye kila aina ya uwezo, zenye kuweza kupiga picha, kurekodi video, na kadhalika, ni vigumu sana kwa baadhi ya mambo kuendelea kuwa siri. Tuliambiwa kwamba, baada ya Rais Magufuli kufariki, kwamba nyumbani kwake zilikutwa dola za...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ugomvi wa Zitto na Magufuli ulianzia kwenye Kukata Mirija ya Ulaji kwa Zitto

    Zitto hakutoka siku wenzie wanatoka kumkataa Magufuli. Why? Aliamini Magufuli ataendeleza kama alivyokuwa anafanya kikwete. Kumpatia fungu, pesa za kujikimu. Magufuli alikuwa anajua Zitto anatumika na Kikwete akamlia bati na hakumtaka maana siku zote Magufuli alikuwa akimdharau sana Zitto. Hapo...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Jessica Magufuli anakubalika hivi, kwanini hakugombea jimbo na kuachana na ubunge wa viti maalum?

    Nimesoma kichwa cha habari kwenye gazeti la Mwananchi japo linamilkiwa na wageni kiasi cha kukosa maana yake kuwa Jesca Magufuli alivyogeuka turufu kwa CCM Kanda ya Ziwa. Kama siyo uchawa na kutaka kuuhadaa umma, kama anakubalika kiasi. hiki, kwanini ameishia kwenye ubunge maalumu wakati ana...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu

    Polepole amesema Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Proffesa Kabudi na siasa za maji ya kihaya, unamfananisha Samia na Nyerere, Hayati Magufuli na Mungu aise

    Ukinzisha biashara ya kuuza maji na kuyaita uhayani water utauza sana Najiuliza Proffesa Kabudi alirogwa na nani? Yaani anamfananisha Samia na Nyerere kama ulivyomfananisha Magu na Mungu na baadae Mungu kukuonesha hafananishwi akamtwaa.
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Alianza Magufuli kufungia mitandao sasa ametuachia a beautiful playbook ambayo mpaka leo inatumika na itaendelea kutumika sana

    Katika mambo ambayo Magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea waziwazi usiniambie ni mtandao kwa sababu alitamka kwa kinywa chake Mwaka 2018 aliifungia jamiiforums kwa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mdau: Rais Samia kwa sasa anamalizia awamu ya Magufuli, kwahiyo bado anamiaka yake 10 ya kuwa Rais

    Hii miaka aliyokuwa anaiongoza mama ilikuwa ya awamu ya 5 ya Magufuli, mama awamu yake inaaza Oktoba 2025 hadi 2030 kwa kuchaguliwa kwa kupiga kura hapo sasa anaenda kuwa rais kamili wa kuchaguliwa na wananchi
  8. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Kwanini walinzi wa Magufuli walikuwa wanavaa sare za CCM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020?

    Aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 John Pombe Magufuli alikuwa ni mtu wa drama sana. Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 aliamuru walinzi wake (PSU) kuvaa sare za CCM. Kitendo hiko hakikuwahi kufanywa na watangulizi wake. Hii ilikuwa kinyume na taratibu na miongozo ya kidemokrasia. Nini...
  9. Area 56

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Magufuli awataka Wananchi wa Isaka kuendelea kuiamini CCM chini ya uongozi wa Rais Samia

    Mitano tena kwa Jesca Magufuli =============== Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameendelea kufanya mikutano yake ya kampeni ambapo leo Alhamisi Septemba 4, 2025 ameanza katika eneo la Isaka katika Jimbo la...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

    Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa. Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana. Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%. Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Watawala Wasio Rasmi "Oligarchs" walioshutumiwa kipindi cha kikwete, Wakazimwa na Magufuli, Wamerudi kwa Samia.

    Katika siasa na uchumi wa mataifa mengi, kuna kundi dogo la watu wenye utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa ambao mara nyingi huitwa king makers (wazalishaji wa watawala) na wakati mwingine king dethroners (waangushaji wa watawala). Hawa watu huendesha siasa kwa kivuli, bila kuonekana moja kwa...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Pamoja na ubabe wa Magufuli, kwanini hakuwai kumuweka Lissu Gerezani kwa njia ya shortcut?

    Magufuli alimfungulia kesi nyingi Lissu na alijua Kuna jinsi hawezi toboa ndo maana vijana kama B…E wakaamua wampige risAsi maana hakuna jinsi , Lissu Ana ushawishi mkubwa mno akiwa anajenga hoja! 1. Magufuli pamoja na ubovu wake mwingine alikuwa na akili sana, hukati tawi la mti ukidhani...
  13. Patriot

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa vijana, Samia hana lolote! Mmiradi inayotajwa ilianzishwa na Hayati Magufuli

    Tunauliza mkakati wa ajira kwa vijana wa TZ. Hiyo ni kazi ya serikali duniani kote. Hatutaki kusikia eti vijana wajiajiri. Eti tunaweka mazingira mazuri ya ajira, NOOO! Ktk kipindi cha miaka 4 akiwa madarakani nini amekiona ktk ajira na nini atafanya? Hatujasahau yaliyofanya na Magufuli...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama angekuwa na roho ya kisasi kama Magufuli Polepole na wenzake waliotaka kupindisha katiba Samia asiwe Rais leo hii tungesema mengine

    Magufuli alikuwa na roho mbaya na ngumu. Ndiyo maana tunasema ni mtsusi. Ukimkosea hana msamaha Ndio maana tunaomjua Magufuli tunasema Polepole ni muongo na tapeli wa kiasiasa. Eti Membe alipanga mipango ya kumuua Magufuli na Magufuli na Magufuli amekaa tu anasubiri kuuwawa. Magufuli huyuhuyu...
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kimenuka nchi jirani Wananchi wadai Ruto anashughulikia mafisadi kama Shujaa Magufuli

    Leo tu taasisi ya kupambana na Rushwa imewakamata Magavana watatu na wako korokoroni hadi kesho watakapopandishwa kizimbani Waziri wa Afya amekabidhi kwa DCI mafaili ya zaidi ya mafisadi 100 waliofisadi bima ya afya Ndio Wananchi wamedai Shujaa Magufuli kafufukia Kenya
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wateule wote wa Hayati Magufuli walikuwa wanafiki kasoro Humphrey Polepole

    Hilo halina ubishi, mimi mwenyewe niliishi naye kinafiki, hata huyu wasasa naishi naye kinafiki cha msingi msimwambie sawa jamani? Ila Rais mzalendo alikuwa JPM tu, nasema uongo ndugu zangu? Shida yake ni 1 tu, aliteua mafisi yote na mwadamu 1.
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa Hayati Magufuli unavyopambana na misukule ya wanamtandao

    Kabla ya kuja kwa waarabu kuleta dini ya Kiislamu na wazungu kuleta Ukristo Tanzania, mababu zetu walikuwa wana mtazamo tofauti na wa hizi dini kuhusu maisha baada ya kifo. Wao waliamini kuna misukule na mizimu. Waliamini kila kifo kina matokeo mawili. Kama mtu atakufa kikawaida, anageuka na...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Naiona spirit ya Magufuli ndani ya Mpina

    Tatizo ni kuwa ana papala ukichanganya na mihemuko ya ujana anashindwa ku-calculate risk. Ila he is the new Magufuli.
  19. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hii picha za Hayati Magufuli msibani kwa Kijazi ilizungumza mengi sana

    Jua lilikuwa limefichwa na mawingu mazito siku ile ya mazishi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. John Kijazi. Uwanja wa mazishi ulikuwa kimya, ukitawaliwa na sauti za ndege wachache waliokuwa wakiranda angani, kana kwamba nao walihisi huzuni ya siku hiyo. Viongozi na wananchi walikusanyika, wakivalia...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ila hata magufuli pamoja na ukali wake ila bado sikumuona kama anatosha

    Rais gani unaogopa kutaja majina ya wauzaji wa madawa tu ya kulevya unaishia kusema Tu wakina Fulani hata makonda anakushinda anathubutu kuwataja.Au mafisadi unafanya nao bargain Khaa badala ya kuwafunga yaani unashindwa kufunga watu wasiozidi 500 ili uokoe watu million 50? Rais gani unawajua...
Back
Top Bottom