Tunakumbuka uliposhika uenyekiti wa chama uliunda tume ikatembea inchi nzima kukagua mali za chama na ukataka chama kijiendeshe kwani kina vyanzo vingi vya mapato na hilo tuliliona wale wote waliopanga maeneo ya chama walilipa kwa control number ili kuepuka mambo tuliyaona jamaa pale kwenye...
Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli.
Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa...
Rais wa Awamu ya 5 John Magufuli alimteua mke wa John Ndugai kuwa Mkurugenzi japo nimesahau ni Halmashauri IPI
Napenda kufahamu ni make yupi kati ya hawa wawili Fatma na Mary ambao kumezuka mtafaruku yupi ni mke halali zaidi ya mwingine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia.
Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki dunia leo majira ya saa 12...
Huwa nakaa najiuliza, hawa jamaa wanaomtaja Magufuli kwa matusi kwenye harakati za No Reform No Election, ni waoga wanaoepuka kumkosoa aliye madarakani? Maana wamekuwa wakimsema Magufuli kila mara, lakini kwa wazalendo wengi wa nchi hii, kadri mnavyoendelea kumtaja vibaya, ndivyo mnavyozidi...
Newtons 3rd law of motion inasema To every action there is an equal and opposite reaction. Kwenye kila kani kuna Kani mbadala inayolingana nayo.
Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Humphrey Polepole ni kuwa kundi analodai ni la Wanamtandao lilikuwepo tangu 1995 hadi sasa inasemekana lipo...
Hawa ni wale wanaotembea na kufuata itikadi ya Mwalimu Julius Nyerere. Hawa hawawezi kupendwa na kundi la makabila, mabepari, na wezi wa mali ya umma. Kundi hili liliweza kutawala 2015 hadi 2020 baada ya kundi la makabila kusinzia, ila hawatasinzia tena.
Polepole leo amesema kuwa wakati wa utawala wa Magufuli, yeye alikuwa akitumika kama mtu wa kati, baina ya Magufuli na Warioba, na kati ya Magufuli na Mkapa.
Akaeleza kuwa kila mara Warioba alimkumbusha juu ya katiba mpya, naye aliupeleka ujumbe huo kwa Magufuli. Magufuli alimwambia kuwa ni...
Sijasikiliza hiyo clip yote ya Nchimbi, ila kwa mtazamo wangu, kaongea hayo ikiwa ni kuitikia ushauri wa Polepole kuwa chama chao(CCM) kilipswa na kinapaswa .kukemea utekaji kama ambavyo chama enzi za Magufuli kilikemea utekaji ingawa mimi huo ukemeaji naona ulikuwa ukemeqji wa kinafiki tu...
Kipindi cha Magufuli ulikuwa ukitazama picha yake ukajisikia kwenye mafaili ujamaliza kusaini ambapo nidhamu ilikuwa kubwa, kama ulikuwa ujasikiliza watu utakimbia kusikiliza watu
Mh Polepole The Intelligent anazidi kuwafumua Wahuni kwa Uthubutu, Uzalendo na Uwezo wa hali ya juu sana.
Muda huu naondoka Hapa, Mh Polepole anakiri kua Hayati Mkapa na Hayati Magufuli walikua na Bond ilotokana na Mazingira mabaya ambayo Kila Mmoja aliyarithi kutoka Kwa Serikali iliopita.
Upande wa mashariki mwa Afrika nchini Tanzania. Hayati John Pombe Magufuli aliupiga mwingi sana enzi za utawala wake kiasi kwamba uchumi ulipanda mpaka uchumi wa kati kabla ya kurudi kwenye uchumi wa chini katika utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan. Magufuli alileta Elimu bure jambo lilionekana...
Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?
Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!
Kitendo...
Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya...
Jesca John Magufuli amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana kutoka Tanzania Bara.
Katika matokeo yaliyotangazwa leo Agosti 2 aliyeshika nafasi ya kwanza Damas Kamani alipata kura 409, Jesca...
Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi hilo kwa Tanzania bara.
Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 2, 2025, kwa upande wa Tanzania Bara...
Ahsante sana mama kwa kuonesha "utu" kumkumbuka "rafiki yako katika kazi"
Kwa uzee wangu, nimeona umetekeleza wosia wa wazee wetu wa kale "Kama ulikuwa unawatembelea wazazi wako wakiwa hai (kijijini) kwa kuwasalimu na kuwapa zawadi basi endelea na utaratibu huo hata watakapo kuwa wameondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.