Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hayana vimelea vinavyohusiana na magonjwa hayo, magonjwa hayo ni Kisukari, Pumu, Selimundu, Saratani, Magonjwa ya Akili, Magonjwa ya Figo, Magonjwa ya Moyo mfano shinikizo la damu na kiharusi. Kutokana...