The National Convention for Construction and Reform – Mageuzi, popularly known by its acronym NCCR–Mageuzi, is an opposition political party in Tanzania.
Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia.
Kwa muda mrefu...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amesema ili mageuzi ya uchumi wa vijijini yawe na tija na manufaa kwa wananchi yanapaswa kuhusisha uchumi wa buluu, ufugaji pamoja na misitu na mazao yake.
Prof. Shemdoe amesema hayo Februari 26, 2026 wakati akichangia...
Ngoma inaanza hivi: Mwaka 1995 Mrema alivyotoka CCM, Edwin Mtei alimfuata ili Mrema ajiunge na CHADEMA na kugombea urais kupitia chama chao. Mrema akaweka masharti magumu kwamba: Ili ajiunge na CHADEMA ni sharti apewe nafasi ya kugombea urais na pia apewe kuwa mwenyekiti wa chama (Ikimaanisha...
MAGEUZI YA MUONEKANO WA VIWANJA VYA UHURU NA BENJAMIN MKAPA KUELEKEA CAF 2027
Imeandaliwa na, Nicolas Jovin Clinton Gabone
Serikali ya Tanzania na Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) wameshiriki kikamilifu katika ukarabati wa viwanja vikuu vya Uhuru na Benjamin Mkapa, wakiweka mkazo mkubwa...
Simbachawene analeta usanii. Yuko pale kwa vile polisi ni makatili. unadhani ataweza kufanya reforms?
BILA pressure ya wananchi na external pressure hakuna kitu!
Time will tell!
MAGEUZI KATIKA MTAALA WA UFUNDISHAJI WA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Nimepokea ujumbe huo hapo chini kutoka kwa mwanafunzi wangu mmoja:
''Leo rafiki yangu mmoja ambaye ni muhitimu wa Shahada ya Ualimu wa Historia mwaka huu amenipa habari njema kwamba habari za Abdulwahid Sykes na wazee...
Huyu mwamba anayeitwa Muliro Ukimsikiliza vizuri na kama yeye haoni shida kuhusu utekaji. Maswali yote anayoulizwa kuhusu utekaji anachukulia kama ni mzaha tu, na ni kama anatumia cheo chake kuficha uovu wa polisi wenzake na viongozi watawala.
Hajawahi kufanya kazi ambayo raia wakaisifia...
Maelfu ya watu wamejitokeza barabarani jijini Brussels, Ubelgiji, wakishiriki katika mgomo wa kitaifa kupinga mageuzi ya serikali na hatua za kupunguza matumizi, ambazo zimepelekea usafiri wa anga na wa umma kusimama
Vyama vikubwa vitatu vya wafanyakazi nchini humo vimeungana kulalamikia sera...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma, kuimarisha usalama...
02 October 2025
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma...
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, Haji Ambar Khamis, amekiri kuwa yapo mazuri mengi yaliyofanywa na serikali ya nchi hiyo, ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, lakini ameongeza kusema kuwa, baadhi ya watendaji sio wazuri hivyo...
Ladies and Gentlemen. Brothers and sisters. Our case is different.
Kama kichwa kisemavyo, naona kabisa vuguvugu hili likianzia kwa kinamama na kinadada wa Taifa hili. Sio kwamba wanaume wameshindwa, bali wanawindwa kwa hamasa kubwa hadi kupelekea woga mwingi.
Habari njema ni kuwa wao...
Dini ndiyo silaha kubwa ya mafisadi na ndiyo chanzo cha uoga wa kijinga wwakitaka fedha mnaambiwa mkafanye kazi ili mpeleke sadaka na kodi ila mkitaka mageuzi mnaambiwa liombeeni taifa na mtii mamlaka.
Kwa ujinga wa dini hizihizi hamtoboi kamwe huko Nepal wameweka dini na maombi pembeni...
Habari watanzania
Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea.
Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia tofauti akilini mwa watu,
Kiuhalisia mjadala wa NO REFORMS NO ELECTION si jambo dogo kwa kuwa ni...
Siku zote raia ndio hufanya maamuzi ya mwisho, hata mitandaoni ukosoaji uwe mkubwa kiasi gani, kama raia hawataingia kwa ground huwa hakuna kinachotokea.
Siwezi kumlaumuMbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana.
Wanaharakati wana 20% tu, lakini raia wana 80% ya mageuzi...
Mafanikio ya Mapinduzi ya umma au mageuzi ya Umma hufanikiwa pale tu vyombo vya usalama vinapokuwa upande wa wananchi.
Mpango huu umeanza wiki kadhaa sasa kuandaa utaratibu wa kuwaunganisha wananchi wote na vyombo vyetu na kuunda njia za mawasiliano na askari wetu hasa vijana.
Kila mtu...
Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc
Upande wangu, i dont think so.
ajabu
anaamini
bado
katika
kupinga
mageuzi
majirani
masikini
mganga
mtu
njiani
nyingi
siasa
taifa
topics
ukristo
upinzani
utajiri
vyama
vyama vya siasa
Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani.
Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ambaye pia ni mgombea Urais...
Imeelezwa kwamba, kwa kipindi cha Miaka Minne Sekta ya Madini mkoani Lindi imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia shighuli za uchimbaji na uwekezaji katika rasilimali madini mbalimbali zinazopatikana mkoani humo yakiwemo madini ya kinywe, dhahabu, jasi, shaba, madini ya vito na madini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.