Urusi inatia huruma kwa kweli, yaani ilianzisha huu ubabe halafu leo inataka ihurumiwe kwenye baadhi ya maamuzi, leo inalalamika kuhusu zuio la magari yenye usajiri wa namba za Urusi kutokuruhusiwa kuingia bara Uropa, inasema wananchi wake raia wa kawaida watateseka, eti ionewe huruma kwenye...